Wakuu,
Uzuri wa Lissu huwa hakwwepeshi. Yaani hanaga chujio anawachana hapo hapo
Huyu shahidi kaharibu hadi Lissu kaonesha kabisa hapendezwi na kinachoendelea
==========
Mhe. Lissu: umesema...
Wakuu,
Baada ya media kuanza kuripoti kinachoendelea mahakamani na statements wanazotoa mashahidi kuchekesha na kuonekana ni za ajabu ajabu jamaa wameona sasa waanze kubana na kukataza hizo...
Wakuu,
Haya ndugu zangu huyu shahidi yeye anasema CHADEMA ni IMANI kwa hiyo hana kitambulisho wala kielelezo chochote kuwa yeye ni mwanachama
Hivi wameshindwa hata kutengeneza kitambulisho...
Wakuu,
Huyu shahidi anasema mara tu baada ya kuangalia video ya Jambo TV kuhusu kauli ya Lisu kuwa atakinukisha, alifuatwa na Polisi na kukamatwa na kisha akapelekwa kwa RCO ambapo alipewa kosa...
Mwenyekiti Mstaafu wa Baraza la Vijana wa CHADEMA (BAVICHA) Taifa, Patrick Ole Sosopi amehoji ukweli wa dhamira ya chama tawala nchini Tanzania, Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuhusu maridhiano...
Wakuu,
Kesi inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, imeahirishwa na Mahakama hadi kesho Februari 19 saa tatu asubuhi.
Upande wa Serikali uliieleza...
Mzee Wasira akihojiwa na Mwananchi amesema wajumbe wa kuchunguza yaliyotokea Oktoba 29 hawapaswi kuwa questioned zaidi ya intergrity yao. Kama ni suala la kuapa kulinda katiba, hata Lissu na Heche...
POLENI WATANZANIA, TUJISAHIHISHE
Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) linafuatilia kwa karibu na limepokea kwa masikitiko makubwa taarifa za vifo vya Watanzania wenzetu, wakiwamo wanahabari na...
Mzee Wasira akihojiwa na Mwananchi amedai kuwa yale matukio yaliyotokea Oktoba 29 huwezi kuyaita maandamano bali uhalifu kwani wananchi waliharibu mali, kuiba pesa kwenye ATM.
Wakuu
Hiki ndicho Kizimba cha mashahidi wa kificho Kesi ya uhaini Kesi Na. 19605/2025 inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa, Tundu Lissu ambacho Mahakama...
Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) imeanza utekelezaji wa zoezi la kuteketeza nyaraka za Uchaguzi Mkuu uliofanyia Oktoba 29, 2025 ambapo zoezi hilo limeanzia Kisiwa cha Pemba na baadae Kisiwa cha...
Waziri wa Mambo ya Nje, Mohamed Thabit Kombo, amesema "Viongozi wa Afrika wamempa moyo Rais Samia kwa yaliyotokea oktoba 29, na wamempongeza kwa ushindi Mnono alioupata kwenye uchaguzi mkuu wa...
"Chadema na watanzania tunataka serikali ya mpito isiyoongozwa na Samia itakayowekwa chini ya uangalizi wa taasisi huru za kimataifa kwa kuwa serikali haina uhalali wowote CHADEMA inataka...
Askofu Josephat Gwajima wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, leo katika Ibada kanisani kwake ametoa ushuhuda wa binti aliyepigwa risasi Oktoba 29, 2025 na kupona baada ya oparesheni nne.
Askofu Gwajima...
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) mkoa wa Kagera, Faris Buruhani, Samia tayari ameifikisha Tanzania kwenye nchi ya asali na maziwa kama alivyotamani John Magufuli
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) mkoa wa Kagera, Faris Buruhani, amejibu kauli ya Nape Nnauye kuhusu chama hicho kuondoka madarakani akisema "Ndani ya CCM anaweza kuondoka yeye, lakini...
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) mkoa wa Kagera, Faris Buruhani, amesema chama hicho kitaendelea kubaki madarakani na hakitotoka kamwe.
Akizungumza Februari 14, 2026 wakati akihojiwa...
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) Mkoa wa Kagera, Faris Buruhani, amesema hayo Februari 14, 2026, wakati akihojiwa na Chief Odemba kupitia kipindi cha Medani Kuu.
"Ushawishi wa CCM...
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) mkoa wa Kagera, Faris Buruhani, amesema CHADEMA haina ukubwa huo, sasa hivi kimepata Platiform kinasemea Mahakamani na Misibani, ikitokea Msiba kwao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.