Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Mohammed Mchengerwa amewaagiza wakuu wa mikoa, wakuu wa wilaya na wakurugenzi wa halmashauri kupanga ratiba ya...
1 Reactions
4 Replies
634 Views
Makamu wa Rais wa Tanzania, Dkt. Philip Mpango amesema baada ya kutumika vya kutosha katika nafasi mbalimbali serikalini, ameamua kukaa kando kwa hiari na kuwaachia wengine waendeleze gurudumu la...
4 Reactions
17 Replies
2K Views
Mbunge wa viti maalumu Mhe. Hawa Mwaifunga ameziomba halmashauri kuangalia njia bora za kufanya marekebisho katika baadhi ya shule ili zirudi katika ubora wake ili kuepusha maafa kujitokeza. Soma...
0 Reactions
1 Replies
322 Views
Katika Kipindi cha kuanzia mwezi Julai hadi Desemba mwaka 2024 Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imekusanya Sh Trilioni 16.5 ambapo kati ya fedha hizo, Trilioni 13 zilikusanywa katika Mkoa wa Dar...
0 Reactions
2 Replies
382 Views
Kama inavyofahamika kuwa mwaka huu 2025 ni Mwaka wa Uchaguzi Mkuu wa Madiwani, Wabunge na Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania. Mmesikia Vyama vya Upinzani wakilalamika jinsi wanavyohujumiwa...
2 Reactions
7 Replies
691 Views
Afisa Mwandikishaji wa Jimbo la Handeni Mjini Maryam Ukwaju amewataka waandikishaji wasaidizi,kuhakikisha wanatunza siri za wananchi watakaojitokeza kujiandikisha kwenye Uboreshaji wa Daftari la...
0 Reactions
2 Replies
477 Views
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Ndugu Stephen Wasira amepokewa rasmi mkoani Mwanza na kuzungumza na Kamati ya Siasa ya mkoa huo, katika Ofisi Kuu ya CCM Mkoa wa...
1 Reactions
2 Replies
514 Views
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)Tanzania Bara Stephen Wasira amesema katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu Chama kitaendelea kushika dola kwa wingi wa kura na si mtutu wa bunduki. Pia...
2 Reactions
17 Replies
1K Views
Katibu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Wilaya ya Nyamagana mkoani Mwanza, Amos Ntobi, amesisitiza kuwa CHADEMA haitakubali kufanyika kwa uchaguzi wowote wa kitaifa ikiwa...
2 Reactions
14 Replies
942 Views
Mbunge wa Jimbo la Makambako Mkoani Njombe Deo Sanga (Jah People) amesema kuwa wale wanaosema CCM kumpitisha Samia, waende Vyama vingine bado havijateua wagombea wakashauri huko Amesisitiza CCM...
4 Reactions
5 Replies
766 Views
Wakuu Wananchi tumekubaliana lini Rais Samia kupita bila kupingwa? Hivi huyu Mbunge anawazungumzia wananchi gani? Au anaongea kwa niaba ya vikao vyao vya kificho? Tena aelewe, si kila...
1 Reactions
7 Replies
963 Views
Wakuu Mbingu zimeitika, niwasalimu kila mmoja kwa imani yake, hivyo hivyo neema ya Mungu ikawe juu yenu ,kila mmoja kwa imani yake Popote ulipo. Rejea mada tajwa hapo juu , Leo namtaka msajili...
8 Reactions
46 Replies
2K Views
Ukikaa na wananchi wengi wanaunga mkono mabadiliko na wanatamani sana madadiliko nchini, wamechoshwa kabisa na mambo ya CCM pamoja na ubinafsi wa CCM , ila tatizo kubwa ambalo kama chama...
1 Reactions
1 Replies
347 Views
Timu ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia (Mama Samia Legal Aid Campaign) imefanikiwa kutatua mgogoro wa ardhi uliodumu miaka zaidi ya 30 na hatimaye kufikia tamati. Hayo yalijiri Februari 8,2025...
0 Reactions
8 Replies
693 Views
Wakuu, Kama unajua una divisheni 0 au division four una ujumbe wako hapa kutoka kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam, Albert Chalamila. ==================================== Mkuu wa Dar Es Salaam...
3 Reactions
42 Replies
2K Views
Kabla ya uchaguzi mambo huwa hivi πŸ‘‡πŸ½ Baada ya Uchaguzi mambo huwa hivi πŸ‘‡πŸ½ AKILI KUMKICHWA πŸ˜€
3 Reactions
6 Replies
518 Views
Ni matarajio yetu kuwa M23 wamealikwa kwenye joint summit ya EAC-SADC itakayofanyika Dar es Salaam Jumamosi. Vinginevyo kitawaka mapema asubuhi
5 Reactions
53 Replies
3K Views
Wakuu, Waziri wa Ardhi nyumba na maendeleo ya makazi Deo Ndejembi ameitaka Halmashauri ya Manispaa ya Bukoba Mkoani Kagera kuwasilisha ofisini kwake nyaraka inayoonesha ni wapi makaburi...
1 Reactions
2 Replies
593 Views
Wakuu, Waziri wa Fedha, Dk Mwigulu Nchemba amesema bajeti ya Serikali ilikumbwa na changamoto mwaka jana na mwaka huu, hasa kutokana na uharibifu wa barabara chini ya Tarura na Tanroads pamoja na...
0 Reactions
3 Replies
517 Views
Kwanza sipingani na watu wanaosema CCM iondoke waingie wengine. Ninachojaribu kutafakari ni kuwa ni kuwa hivi ni kweli sasa ya kubadilisha vyama ndio njia pekee ya maendeleo? Naona zipo nchi za...
0 Reactions
0 Replies
148 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…