Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wakuu, Kuna kampeni ya "Mama Asemewe" tena tena ina mpaka Mwenyekiti?😲😲😳 Kuna watu wanakosa huduma huko kwa umasikini mpaka wanaambiwa waende nyumbani wakajipasue wenyewe ili wajifunge halafu...
1 Reactions
4 Replies
526 Views
NGOJA TUONE HII VITA KATI YA MAJINI NA ROHO MTAKATIFU -------------------------------------- Mtumishi wa Mungu Tundu Lissu katika Misa ya Shukrani kijijini Mahambe Ikungi hakika Bwana wa Vita...
14 Reactions
38 Replies
2K Views
Ndugu zangu Watanzania, Kwa Sasa Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania jasiri Muongoza Njia Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan,Ndio Kinara wa kupigania Nishati Safi...
4 Reactions
128 Replies
4K Views
Ni wajomba zake kutoka Oman ndo maana wamepata.........,.... Hapo amewaleta makusudi wajomba zake hao Ili wavune na wanyama wetu pia............. Nchi inauzwa hii.................... 2025 arudi...
5 Reactions
10 Replies
763 Views
Naiomba Serikali ya Tanzania ifanye jambo Congo, kwa haya yanayoendelea pia Tanzania haipo salama hata kidogo na sijui ni kwanini Tanzania inaonekana kama kuna kitu nyuma yake ni kama imerudi...
0 Reactions
0 Replies
153 Views
Ni kosa kisheria kutumia watoto katika shughuli za kisiasa zinazohatarisha afya, elimu, au ustawi wao. Hii ni kwa mujibu wa Sheria ya Mtoto ya 2009, Katiba, na miongozo ya kimataifa ambayo...
1 Reactions
5 Replies
421 Views
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kupitia Baraza lake la Vijana (BAVICHA), kimeeleza kusikitishwa na hali mbaya ya ajira kwa walimu nchini, kikisema kuwa tatizo hilo ni “bomu...
2 Reactions
9 Replies
686 Views
sema Serikali imeshapima viwanja zaidi ya 2274. -Awataka wale wote waliovamia na kujenga kulipia viwanja hivyo mara moja kwa kuwa wamepunguziwa bei. Soma Pia: RC Chalamila afafanua video inayo...
2 Reactions
20 Replies
4K Views
Wakuu nilitegemea maandalizi na mapokezi ya kumpokea mwenyekiti wa Chadema taifa Tundu Lissu yangekuwa yanaratibiwa na mwenyekiti wa chama kanda ya kati Devotha Minja. Lakini atumuoni wakati hili...
3 Reactions
17 Replies
1K Views
Mjumbe wa Halmashauri kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa kutokea Mkoa wa Geita , Evaristi Gerevas amewataka vijana wa chama hicho kuacha tabia ya kuwa wasindikizaji na kubeba mikoba ya...
2 Reactions
4 Replies
414 Views
Wakuu, Huko Singida leo, Lissu alisimamisha mkoa wote baada ya wazee wa kimila la Kinyaturu kumtawaza Lissu kama shujaa wa Kinyaturu Wamempa ngao na kaniki kama nembo ya heshima yao kwa Lissu...
8 Reactions
24 Replies
2K Views
Wakuu Akiwa anazungumza kwenye mkutano na wananchi wa Manyoni, Lissu amesema kuwa ili kupata mageuzi kwenye chaguzi yuko tayari kufa. Lissu amesema kuwa haogopi chochote kuhusu kufa maana...
3 Reactions
6 Replies
1K Views
Tundu Lissu akiwa Arusha leo asubuhi imeibuliwa tena hoja ya ushoga na huu ndiyo msimamo alioutoa "Wanaleta vihoja kuwa naunga mkono ushoga, katiba ya JMT inasema kila mmoja ana haki ya kulindiwa...
65 Reactions
240 Replies
31K Views
Wakuu Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Stephen Wasira, akizungumza katika Kongamano la Wanawake lililofanyika jijini Dodoma leo, Februari 4 amedai "Siku hizi wako watu nje ya...
1 Reactions
17 Replies
1K Views
Kuna tatizo kubwa sana kuhusu uchaguzi huru wazi na wa haki nchi hii kiasi cha kwamba kila mwananchi amekata tamaa na suala hili. Mimi na wananchi tunajiuliza tatizo ni kukosekana kwa utashi wa...
0 Reactions
0 Replies
284 Views
Kama taifa ingependeza kama tungekuwa na Baraza la Ushauri la Viongozi Wakuu wastaafu Mzee Kikwete Dr Bilal Mzee Karume Dr SheIn na Mzee Salmin Komandoo Nawatakieni Sabato njema 😀
0 Reactions
42 Replies
1K Views
Tega sikio sikiliza!
1 Reactions
11 Replies
837 Views
Habari wadau! Leo maeneo ya Dodoma kwenye round about ya kuingia uwanja wa ndege wa Dodoma, kuna tangazo limewekwa chini kwenye hiyo roundabout likiisomeka: Siku ya kondom duniani(kama sio...
1 Reactions
3 Replies
459 Views
Sina mashaka na Jeshi letu tukiamua kulipa Hilo jukumu Tuna HISTORIA nzuri sana tangu ukoloni Hadi leo Kwa Dunia ya leo vita kubwa ni ya kiuchumi Kila mmoja ana angalia mwenzake atampa Fursa...
3 Reactions
33 Replies
1K Views
Wakuu, Hivi kwanini hawa celebrities hudhani kuwa just because wao ni maarufu basi automatically wanakuwa na mvuto wa kisiasa? Kuna huyu mmoja anajiita Davina (kwa wale waangaliaji sugu wa Bongo...
1 Reactions
21 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…