Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Bahari imetanda mashariki yote. Miti imekaa, imekuwa mingi mpaka sasa vijana wa TFS wanatumia SMG kuua Watanzania wenzao wanaokata miti ya kujengwa vijumba vyao. Madini yamejaa Shinyanga, Lindi...
4 Reactions
18 Replies
875 Views
Mkoa wa Mwanza unatarajia kuzindua Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia itakayodumu kwa muda wa siku 10 kutoka Februari 18 hadi 27 mwaka huu katika Uwanja wa Furahisha jijini Mwanza...
0 Reactions
3 Replies
503 Views
Mtumishi wa Mungu Clear Malissa ametangaza kufanya maombi makubwa katika Uwanja wa Uhuru, jijini Dar es Salaam, yatakayohudhuriwa na waumini wa dini zote nchini. Maombi hayo yanalenga kuiombea...
0 Reactions
1 Replies
640 Views
Balozi wa mazingira na muhamasishaji, Ndugu Michael Msechu, amekutana na Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Petro Magoti, ambapo wamejadili mpango wa kufanya ziara ya kuhamasisha vijana na wananchi...
0 Reactions
0 Replies
416 Views
Umofia wana Jamiiforums ! Kama Mada ilivyo tajwa hapo juu, Kumekuwa na Siasa nyepesi kwenye mambo serious hasa yanayohusu wananchi wa chini kabisa. Kwa kuanza na uchambuzi wa mada, Mheshimiwa...
1 Reactions
2 Replies
466 Views
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Mahmoud Thabit Kombo amefanya mazungumzo na Prof. Jeffrey Sachs wa Chuo Kikuu cha Columbia cha nchini Marekani pembezoni mwa Mkutano...
0 Reactions
0 Replies
316 Views
Mbunge wa Jimbo la Chalinze na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Kazi Vijana Ajira na Wenye Ulemavu Mhe Ridhiwani Kikwete Jana amejitokeza katika Ofisi ya Kata ya...
0 Reactions
0 Replies
481 Views
Huenda hatma ya uanachama wa wabunge wa viti maalumu wa chadema, maarufu kama wabunge wa COVID-19, ikajulikana mara tu ya bunge kuvunjwa. Inasemekana watapokelewa kwa mapokezi maalumu rasmi...
1 Reactions
25 Replies
2K Views
Leo nimeona kioja baada ya Mkurugenzi wa Mipango ya miundombinu kuulizwa maswali na waandishi wa habari Dodoma kuhusu ujenzi wa miundo mbinu ya barabara. Hii ni kutokana na ufinyu wa uelewa wa...
0 Reactions
0 Replies
332 Views
Nimesoma makala ya Manyerere katika gazeti la Jamhuri la 23/12/15, nimegundua kuwa mwandishi hajui katiba ni nini. Tatizo la Tanzania si Katiba mpya Mwaka 2012 niliandika makala katika safu hii...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Nawasalimu katika Jina lipitalo Majina yote la Bwana Yesu Kristo Kutakuwa na Kongamano kubwa la kumuombea Rais Samia wa JMT, Kuuombea Uchaguzi mkuu wa October, Kuwaombea Viongozi Wakuu wa Vyama...
3 Reactions
41 Replies
2K Views
Mbona Lissu kapoa sana siku hizi kuhusu hizi hela? Mimi nilijua akiingia madarakani atatuonyesha kwa Vitendo namna anavyochukia Rushwa kwa kuwachukulia hatua waliopokea ndani ya Chama au kaamua...
3 Reactions
42 Replies
2K Views
Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Simiyu Ashiriki Mkutano Mkuu wa Jimbo la Maswa Mashariki Maswa, 16 Januari 2025 – Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Simiyu, Ndugu Shemsa Mohamed Seif...
1 Reactions
1 Replies
547 Views
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Rose Mayemba ametoa wito kwa viongozi wa dini nchini kutokuwa waoga na kukemea dhambi zote ikiwemo ufisadi bila kujali imefanywa...
1 Reactions
4 Replies
439 Views
Karani wa uandikishaji wa mtaa wa Kabambo huko Mwanza amebanwa baada ya kugundulika ameongeza majina hewa takribani 200 kwenye daftari la wapiga kura kwa ajili ya uchaguzi wa serikali za mitaa...
7 Reactions
50 Replies
3K Views
Mwenyekiti wa Kampeni ya 'Mama Asemewe', Geoffrey Kiliba, ametoa onyo kali kwa wanasiasa ambao wameshindwa kuthamini vizuri ya uongozi wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan. Soma Pia: Special Thread...
0 Reactions
11 Replies
709 Views
Utangulizi Katika muktadha wa maendeleo ya nishati safi, kuna haja ya kuangazia jinsi mitungi midogo ya gesi inavyotolewa kama sehemu ya ajenda hii. Ingawa nia inaweza kuwa ya kutoa suluhu kwa...
0 Reactions
3 Replies
386 Views
Hakuna mahesabu yoyote ambayo ya naweza kutoa jibu kwamba kwa muda tulio nao, nchi inaweza kufanya mabadiliko makubwa ya kikatiba. Tunajua Lissu na genge lao wana kiu kali ya madaraka wakiamini...
2 Reactions
29 Replies
1K Views
Magufuli aliwasamehe vijana aliyowahisi kuwa Wanamuhujumu hawa kina Kina Nape Nnauye, January Makamba na vigogo kama kinana na Makamba Sr, ila kumbe alikuwa anajichimbia shimo mwenyewe Kuna...
7 Reactions
28 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…