Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Serikali limetangaza imetangaza kuanza kwa ujenzi wa barabara ya Soni - Bumbuli - Korogwe kwa kiwango cha lami. Ujenzi huo utaanza rasmi baada ya kufunguliwa kwa zabuni ya mkandarasi mnamo Machi...
1 Reactions
5 Replies
851 Views
Uchaguzi 2025: Mzalendo wa Kweli Huchagua kwa Busara! “Siasa ni mchezo wa vivuli, unapoona mwangaza, jiulize nani ameuficha giza.” Ndugu wana JamiiForums, kama mashujaa wa fikra huru...
1 Reactions
1 Replies
286 Views
Mbunge wa Bumbuli, Januari Makamba, amemshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa kumwamini na kumpa nafasi ya kuhudumu katika baraza la mawaziri, akisema kuwa ni heshima kubwa isiyofutika katika...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Hayo ameyasema Mwenyekiti wa chama cha mapinduzi mkoa wa Mbeya Cde. Patrick Mwalunenge katika Wilaya ya kilolo mkoani Iringa kwenye ufunguzi wa mafunzo ya viongozi wa chama cha mapinduzi wilaya...
0 Reactions
0 Replies
234 Views
Mbunge wa Viti Maalum Esther Bulaya akizungumza siku ya Jumatatu Februari 24, 2025 kupitia kipindi cha Power Breakfast cha kituo cha habari cha Clouds FM. "Uchaguzi ni demokrasia, kachukua fomu...
1 Reactions
2 Replies
481 Views
Wakuu, Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Amos Makalla amesema falsafa ya maandalizi ya umma inasema kuwa umma hauandaliwi kwa nguvu bali hukubali wenyewe...
0 Reactions
2 Replies
358 Views
Mambo haya.yalianza kwa Magufuli lakini.sasa yamezidi. Kila mwenye kingora kwenye gari anataka akiwashe.apishwe njia.zenyewe ziko kwenye ujenzi uchwara.wa.mwendokasi. Wananchi tuna...
9 Reactions
58 Replies
2K Views
Kabudi alitangaza kuwa Singeli ni alama ya taifa la Tanzania Maudhui ya Singeli kwa asilimia 90 yanahamasisha pombe, ufuska, kamari, mapenzi kinyume na mamumbile,inakuaje waziri anatangaza kuwa...
6 Reactions
31 Replies
1K Views
Msikilize kwa makini Dkt.Isaac Laizer Askofu KKKT Dayosisi ya Magharibi akiongea na wahumini katika Kongamano la UKWATA kuhusu mambo mbalimbali yanayoendelea "Ndugu zangu tunahitaji kuondoa roho...
0 Reactions
0 Replies
357 Views
Mfano: Maalim alikuwa na kauli mbiu ya kuwakokomboa wazanzibar kutoka Tanganyika. Alieneza sera miaka karibu miaka 40 au zaidi. Sera ilipokolewa na wapinzani na ndani ya CCM ndio upinzani...
4 Reactions
26 Replies
2K Views
Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Kinondoni, Ndugu Shaweji Mkumbula, amefungua semina maalum ya mafunzo ya uongozi iliyoandaliwa na UVCCM Wilaya ya Kinondoni kwa zaidi ya viongozi 1,200 wa Kata na...
0 Reactions
0 Replies
353 Views
Swala la kuzalisha umeme wa kuendesha gari kwa kutumia mawimbi ya redio sio utani. Nimejaribu kukagua makablasha ya physics nimepata jibu kama ifuatavyo: Formula ya Kuzalisha Umeme Kutoka...
3 Reactions
37 Replies
3K Views
Nimesikia Porojo nyingi juu ya Ajenda ambayo imepata umaarufu duniani na Africa kiujumla, Ajenda ya Nishati safi ya kupikia, iliyoasisiwa na January Makamba na hata utekelezaji wake ulianzia kwake...
3 Reactions
23 Replies
1K Views
Za ndaani kabisa ni kwamba Nape na January pamoja na wabunge 15 wa CCM hawatarudi Tena bungeni hata kama watashinda kura za maoni na kupitishwa na wajumbe,wakiwamo pia mbunge wa Sumbawanga Mjini...
2 Reactions
15 Replies
917 Views
Wakuu, Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Juma Homera ameongoza maandamano kutoka eneo la Mafiati hadi Viwanja vya Stendi ya Kabwe panapofanyika uzinduzi wa Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia...
0 Reactions
0 Replies
352 Views
Wakuu, CCM wananikumbusha mwaka jana ambapo Democrats walikuwa wanamtetea Biden kwamba hana shida yoyote na hali yake ya kiafya iko vizuri. Walidanganya watu wee siku ya debate ikafika, Biden...
0 Reactions
5 Replies
519 Views
Mwenyekiti CHADEMA Kanda Kaskazini Wakili Welwel wakati akifungua kikao kazi kilichohutubiwa na Makamu Mwenyekiti wa Chama Taifa Kamanda John Heche kilichofanyika Siku ya jana Equator Hotel Arusha...
5 Reactions
38 Replies
2K Views
Hekaheka za uchaguzi mkuu zinaendelea kushika kasi huku vyama vya siasa vikiendelea na mchakato wa kuwapata wagombea wa nafasi ya urais. Kwa upande wa NCCR Mageuzi, Mkuu wa Idara ya...
0 Reactions
1 Replies
345 Views
Mchungaji Peter Msigwa ameeleza kuwa Mweyekiti aliyemaliza muda wake Freeman Mbowe hakuwa na mpango wakuachia Madaraka ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) mpaka alipofurumshwa na...
1 Reactions
20 Replies
2K Views
Maazimio ya Halmashauri Kuu Halmashauri Kuu ya Chama cha ACT Wazalendo imekutana kwenye kikao chake cha kawaida jana tarehe 23 Februari 2025 katika Ukumbi wa Hakainde Hichilema uliopo katika...
5 Reactions
6 Replies
916 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…