Wanabodi,
Kama kawa kila nipatapo fursa huja na makala zangu elimishi za Kwa Maslahi ya Taifa, zinazo zungumzia jambo lolote la kisiasa, kiuchumi au kijamii lenye maslahi kwa taifa. Makala hizi...
Wakuu uchawa unapandikizwa kwa nguvu mpaka kwa wanafunzi, hizi kauli za mitano tena kwa hawa watoto na za kumezeshwa na watu wasiojitambua.
====
Wanafunzi wa Kidato cha Tano na Sita katika Shule...
Chama cha ADA TADEA kimesema kuwa wanawake na wenye ulemavu watakaojitokeza kuwania nafasi mbalimbali za uongozi katika uchaguzi mkuu mwaka huu, watachukua fomu za kuwania nafasi hizo bure...
Mkuu wa Mkoa wa Arusha ameomba Mashindano ya Quran Tukufu yakafanyike Mkoani humo mara baada ya Ramadhani na usimamizi wa mambo yote utakuwa chini yake yeye.
Akitangaza kwa watanzania Shekh...
Mbunge wa Jimbo la Handeni Mjini (CCM) Kwagilwa Rubeni, amesema kuwa wabunge na wananchi wa ukanda wa kaskazini wanaunga mkono uamuzi wa serikali wa kununua umeme kutoka Ethiopia kupitia Kenya...
Mkurugenzi wa Serikali za Mitaa, Tamisemi, Angelista Kihaga, tunakuomba ufanye ziara ya kustukiza kutembelea miradi ya maendeleo inayotekelezwa na Halmashauri ya Moshi Manispaa.
Miradi hii ina...
Kundi kubwa liloshindwa kabla ya ushindani limeteleza kwenye Upotoshaji wa miradi ya maendeleo inayotekelezwa ndani ya Jimbo Moshi mjini....
Kundi Hilo limeathirika kwa kushindwa kujinadi nini...
Diwani wa Kata ya Narungombe, Mhe. Khamis Majaliwa, amechangia wanafunzi wa Shule ya Sekondari Narungombe na Liuguru kwa ajili ya futari katika mwezi huu mtukufu wa Ramadhan.
Harambee hiyo...
Hii Amani yako unayoishupalia shingo ni pale tu UHAI WA CCM unapotishiwa na UPINZANI?.
Miaka nenda miaka Rudi ,Hoja kuu ya CCM Huwa ni Amani ,Amani hii ni katika muktadha wa CCM au Taifa...
Wakuu uchawa unakomaa kila siku
==
Mwenyekiti wa Kampeni ya Mama Asemewe, Geofrey Kiliba, amewataka wanasiasa wanaopinga juhudi za Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, kuacha kupotosha...
Kuna wakati ukikaa ukatafakari maamuzi ya viongozi wa nchi hii unaweza kusema wengi hawana uzalendo wala nia ya kuiendeleza nchi yetu na wachache wenye nia hiyo hawana nafasi ya kufanya hivyo...
Hakika nimecheka sana baada ya kuona video hii ya Babu Wasira:D:D:D
Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara, , Stephen Wasira, leo Machi 15, 2025 ametembelea na kukagua ujenzi wa Hospitali ya...
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Bara, Stephen Wasira, amesema kuwa katika kura za maoni mwaka huu, wanachama wa chama hicho watapewa majina matatu pekee ya wagombea watakaoshindania...
“Kutokana na kadhia hii ambayo mmeisikia kwanza baada ya matukio haya yote kuanzia tarehe 13 mpaka leo tarehe 16 tunafanya press hii hatujasikia chochote kutoka kwa Serikali ya Tanzania kutoka kwa...
Wahitimu wa Chuo kikuu Mzumbe kampasi ya Upanga Dar Es Salaam wapo katika wakati mgumu baada ya chuo hicho kushindwa kuwapa vyeti vyao vya kuhitimu bila maelezo yanayoeleweka.
Hatua hiyo imekuja...
Siasa za kipuuzi na zi kilaghai hazina maana hata kidogo.
Wewe kama chama cha upinzani Chadema hakuna jitihada za dhati za kweli kupambana na kufa ili vijana wenu warudi au wasitekwe lakini...
Jumuiya ya Wazazi ya Chama Cha Mapinduzi CCM imesema bila kujali kauli ambazo zinatolewa na vyama vingine, Wao wapo tayari kwa uchaguzi na wamejiandaa vilivyo.
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi...
Viongozi wa dini mkoani Mtwara wametakiwa kuendelea kuwaambia waumini wao juu ya kuchagua viongozi bora watakaoleta maendeleo ndani ya mkoa na taifa kwa ujumka utakapofika uchaguzi mkuu mwaka huu...