Katibu mkuu wa CHADEMA, John Mnyika, amesisitiza kuwa ni lazima Rais Samia aondolewe madarakani katika Uchaguzi Mkuu ujao. Mnyika anasema kuwa Rais ameshindwa kusikiliza sauti za wananchi na...
Ndugu zangu Watanzania,
Kwa Hakika Rais Samia ni Chaguo La Mungu,Kwa hakika Mama Ni Mpango wa Mungu Mwenyewe,Kwa hakika Mama alikuja kulipa Furaha Taifa hili ,kwa hakika Mama alikuja Kwa Makusudi...
Hellow!
Si vyema kupoteza muda kuomba mtanange na mjukuu wako TUNDU Lissu aliye upinzani ilhali ndani ya chama chake anaye Mzee mwenzie, hasimu wake tangu unajanani waliyewahi kugombea Jimbo la...
Halmashauri ya Wilaya ya Singida imekumbushia ahadi ya Katibu Mkuu wa CCM, Balozi Dk.Emmanuel Nchimbi ya kujengewa soko la vitunguu ambalo litasaidia kuongeza mapato ya halmashauri ambapo imeiomba...
"Wakati Rais Samia Suluhu Hassan anaingia madarakani aliita vyama kule Dodoma na nchi hii ina vyama 19 vilihudhuria vyama 18 kwenye huo mkutano.
"Na Rais alikuwa akizungumzia kuhusu 4R...
Wakuu,
Kunaanza kuchangamka sasa, Makonda asema wale wote waliofanikiwa kwa fedha za ushoga moto wa Mungu utawashukia.
Makonda asema inatia uchungu unamlea mtoto kwa tabu halafu anaenda kuwa...
Wakuu,
Mambo yanazidi kuchanganya, ni vuta n' kuvute.
Wasira anasema sheria za uchaguzi ni matokeo ya maridhiano, ambapo wananchi wote wakiwemo CHADEMA walishirikishwa kutoa maoni kabla ya...
Ni wazi sasa Mrisho Gambo ameanza kuchachawa na kukumbuka shuka kukiwa kunakucha.
Ameng’aka bungeni dhidi ya serikali kwa kuhoji kuwa ataenda kuwaambia nini wapiga kura wake wa Arusha mjini kwa...
Mwenyekiti wa chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA jana nimemsikiliza kiujumla hotuba yake ilikuwa imeshiba madini ya kutosha ambayo sasa ni mhimu serikali isishupaze shingo kufanya...
Habari wakuu.
Hili ni pendekezo kwa serikali na wadau binafsi kuelekea uchaguzi mkuu mwezi october
Kutokana na changamoto ya miongo mingi na malalamiko ya wananchi, mataifa ya nje ya africa...
Baada ya CHADEMA kurudisha chama kwenye Mifumo badala ya MTU mmoja , ni ishara tosha kwamba kinaweza kuongoza nchi.
Endapo kitaendelea kuimarisha Mifumo yake yote bila kumtegemea MTU mmoja ni...
Ndugu Zangu Watanzania,
Nimemsikia Mbunge wa Arusha Mjini Mheshimiwa Mrisho Gambo akisema na kulalamika kuwa ni aibu Kwa Arusha kukosekana kwa Stendi kubwa na ya kisasa Mkoani Arusha.
Lakini...
Hakiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
The Civic United Front-CUF Chama Cha Wananchi.
Katibu mkuu wa chama cha wananchi-CUF madam Husna Mohamed Abdallah Tarehe 11 February...
Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Balozi Dk. Batilda Burian, amewataka wananchi wa mkoa huo kujitokeza kwa wingi kujiandikisha kwenye Daftari la Kudumu la Mpiga Kura pamoja na kuboresha taarifa zao.
Zoezi...
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa, Tundu Lissu siku ya leo Jumatano Februari 12, 2025. anazungumza na wanahabari Makao Makuu ya chama hicho mkoani Dar es Salaam...
Wakuu,
Zamani CCM ilikuwa Ina think tanks ambao pia walikuwa ni mouthpiece za chama, sijui nini kimetokea mpaka wakachange gear na kuanza kumtumia mtu kama Baba Levo kwenye mambo yao.
Baba Levo...
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bara, John Heche, amesema kuwa Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara Stephen Wasira ana haki ya kusinziaa...
Baada ya kuona video hii ya wasanii kukusanywa kama watoto wa shule ya msingi kwenye event maalum ya kugawa mitungi kwa wakina mama, nimepata maswali mengi
Hivi kwanini CCM siku hizi hawawezi...
John Heche akitoa salamu za Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu, akiwa Tarime amesema yeye pamoja na Lissu wapo tayari kufa kwa ajili ya kulinda msimamo wa Chama chao ilikutetea maslai ya...
Wakuu,
Kuonesha kwamba yeye ni kiongozi humble na ambaye ana maisha sawa na wananchi, Bashungwa ametinga mtaani na kwenda kula kwenye mgahawa mmoja maarufu
Nimpongeze Bashungwa kwa kwenda kula...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.