Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Catherine Ruge pia ameeleza kuwa ameenguliwa bila kupewa taarifa rasmi, akikiri kupata taarifa za kuenguliwa kwake kupitia ujumbe mfupi wa simu (sms)na Katibu Mkuu wa Chadema John Mnyika, bila ya...
2 Reactions
43 Replies
3K Views
Waziri Mkuu Kivuli wa ACT Wazalendo, ambaye pia ni Makamu Mwenyekiti wa ACT Wazalendo Bara, Bwana Isihaka Mchinjita amesema mwaka 2025 ni mwaka kuhakikisha kuwa vijana wa Tanzania hawatalia tena...
2 Reactions
4 Replies
721 Views
Wakuu mambo vipi? Ukipata Bahati ya kumsikiliza lissu na heche kwa umakini zaidi, ukiangalia na sura zao wakati wanaongea Utagundua kitu Fulani, I think kuna mkubwa mmoja wa CCM au wa Serikali...
27 Reactions
128 Replies
6K Views
Hii Imetokea huko Ndanda leo hii Unaambiwa Maelfu ya watu wamejitokeza kusaini Nyaraka hizo kiasi cha waandishi kuzidiwa na Umati.
14 Reactions
65 Replies
3K Views
Toka Maza ameinhia madarakani kumeibuka Wapambe na Washabiki wakubwa wa Mama pamoja na CCM kwa jina Maarufu wanafahakika kama CHAWA. Lakini ukiangalia kwa jicho la pili siyo kuwa hawa wote ni...
2 Reactions
7 Replies
547 Views
Godbless Lema: Kama hakuna Mabadiliko ya Sheria za Uchaguzi, Sio tutasusa Uchaguzi bali tutaongoza watu Nchi nzina kuingia barabarani kufanya maandamano ya amani. Hao watu watakaoingia...
9 Reactions
40 Replies
2K Views
Yes tunatambua mifumo ya uchaguzi ni mibovu. Inatoa mianya ya rushwa, unyanyasaji kwa wagombea, wizi wa kura na mengine mengi yanayosababisha wapinzani kupokwa haki zao. LAKINI.. Hawa CCM...
5 Reactions
75 Replies
3K Views
Hili kitambo tulihoji ila mahaba yakizidi chongo huitwa kengeza sijaongeza......
3 Reactions
20 Replies
1K Views
Kampeni ya No Reforms, No elections imepata upinzani ndani na nje ya chama cha Chadema. Ndani ya Chadema, kuna kundi ambalo linaona kabisa kuwa kampeni hii itawatoa kwenye malengo yao ya kisiasa...
3 Reactions
12 Replies
809 Views
Duniani kote, Kanisa linalofahamika kuwakabili Waziwazi watawala dhalimu ni Kanisa Katoliki. Kutokana na kuijua vizuri dunia, Wakatoliki hawajawahi kuwa sawa na uongo, hawajawahi kuwa sawa na...
11 Reactions
57 Replies
2K Views
Mwenyekiti wa Chama Taifa Mhe. Tundu Lissu akiwasili Ndanda mchana huu kuendelea na Operesheni ya No Reforms No Election. Ndanda ipo Wilaya ya Masasi Mkoani Mtwara
43 Reactions
136 Replies
5K Views
Katika kipindi hiki cha siasa za Tanzania, mjadala kuhusu awamu ya sita unazidi kuibuka, hasa kutokana na matendo ya serikali chini ya Rais Samia Suluhu Hassan. Rais Samia anajiita yuko katika...
3 Reactions
2 Replies
404 Views
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, akizungumza na wananchi wa Liganga, Jimbo la Peramiho, Halmashauri ya Songea Vijijini, Wilaya ya Songea, alipokuwa...
1 Reactions
3 Replies
482 Views
Miongoni mwa sababu walizozitoa G-55 katika waraka huo ni pamoja kwamba wanaona haiwezekani kuzuia uchaguzi ikiwa si washiriki, badala yake wanapaswa kushiriki na kuzuia kwenye vituo...
7 Reactions
114 Replies
7K Views
ABDUL KAMBAYA: KAZI NA UTU INAAKISI MAONO YA UONGOZI WA CCM Kada wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Komredi Abdul Kambaya amesema Kauli mbiu ya "Kazi na Utu" haijaja kwa Bahati mbaya kwa Sababu...
1 Reactions
3 Replies
364 Views
Baraza la Maaskofu Katoliki nchini Tanzania katika Waraka wake wa Kwaresma limesema Wizi wa Kura na Watu kukatisha Maisha ya Wengine ni Donda ndugu nchini Tanzania na Africa TEC imesema...
15 Reactions
43 Replies
3K Views
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, akizungumza na wananchi wa Mbinga mjini, alipokuwa njiani kuelekea Wilaya ya Nyasa, ikiwa ni siku ya nne ya ziara yake...
2 Reactions
3 Replies
501 Views
Hata Mbowe angekuwa Mwenyekiti No reform no election ingepingwa na watia nia kugombea Lisu asijiliwaze kupitia Mbowe Watia nia wamejiandaa muda mrefu kugombea ubunge na udiwani kwa gharama kubwa...
2 Reactions
5 Replies
378 Views
Akizungumzia miradi ambayo inatarajiwa kukamilika hivi karibuni, Rais Samia amesema 4R kutumika utoaji Haki Mahakamani, na kuongeza kuwa Maabusu wamepungua wasio na Kesi za Msingi.
0 Reactions
4 Replies
357 Views
Sababu ziko nyingi lakini kwa uchache tu haya ndio yanayooneka waziwazi: 1. Wameshindwa kuvunja makundi waliyoyatengeneza kipindi cha kampeni za uchaguzi wao wa ndani. Makundi yanazidi kukomaa na...
2 Reactions
23 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…