Simjui hata jina ila huyu mpambe anatakiwa kuwa na sura ya kazi.
Kwenye tuzo za comedy alikuwa akicheja cheka.
Juzi tena kule Tanga ziarani,alionekana akitabasamu baada ya yuke binti kukalia...
Salaam!
Nichukue fursa hii kukupa ushauri ewe Tundu lissu, u mtu upendwaye sana na watu na Mungu,
Lengo la mada hii ni kukustua uache kupokea utukufu wa aliye juu ya yote, Yesu Kristo. Nimeona...
Juzi Waziri Mkuu katoa kauli eti wahitimu wa degree waende VETA kujifunza ufundi ili wajiajiri. Kauli kama hizi ndizo zinathibitisha kwamba serikali yetu haijui kiini cha tatizo la ajira nchini...
Habari za Muda huu ndugu zangu na wanafamilia wa NYANZA FM COMMUNITY!?
Binafisi najua mko salama Kwa asilimia kubwa na niseme poleni kwa wenye changamoto mbalimbali zinazo wakabili.
Nimesoma...
Katika siasa za kisasa, viongozi wengi wanatumia ajenda zao kuimarisha nchi zao na kujenga mwelekeo wa baadaye. Rais Donald Trump wa Marekani alipochaguliwa mwaka 2024, alileta ajenda yake maarufu...
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), imefanikiwa kukusanya Sh. Trilioni 7.53 katika kipindi cha robo ya tatu ya mwaka wa fedha 2024/25, sawa na ufanisi wa asilimia 101.32 ya lengo la kukusanya...
Hellow Tanganyika!!
IPO Ile Sala ambayo Mungu katika mwili wa mwanadamu, Yesu Kristo aliwafundisha wanafunzi wake akisema,
Msalipo,semeni hivi:
BABA yetu uliye Mbinguni, Jina lako litukuzwe...
Vyama Nchi hii ni zaidi ya 10, Mkutano Mkuu ulikubali No Reforms, No Election.
Inawezekana Mwenyekiti Mbowe na Genge lake walikua wanafanya Siasa za udalali Kwa Lengo la kuwafanya CCM wapandishe...
Imeelezwa kuwa Shule ya Sekondari Nyang’hwale iliyopo wilayani humo inakabiliwa na changamoto mbalimbali ikiwemo Uchakavu wa Majengo , Upungufu wa walimu pamoja na Upungufu wa vifaa vya kutumia...
Wanabodi
Wahariri 200, tuko hapa ukumbi wa Kanisa Katoliki Bombambili Songea kwenye Mkutano Mkuu Maalum wa Uchaguzi wa Jukwaa la Wahariri Tanzania(TEF) kwa ajili ya kuwachagua viongozi wetu...
Mwenyekiti wa Barazaa la Makanisa ya Kipenteksote Mkoa wa Dar es Salaam, Mchungaji Emmanuel Mwasota amesema tamasha la kuombea Uchaguzi Mkuu 2025 lipo kwa ajili ya maombi ya kuombea uchaguzi...
No Reform, No Election inakwenda vizuri na muda SI mrefu mabadiliko makubwa yanakwenda kutokea katika kupiga kura, utaratibu wa Tanzania Ili uweze kupiga kura ni lazima uwe unejiandikisha katika...
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA, Godbless Lema akiwa Lindi jana Aprili 3, amesema watu wa Lindi wana Waziri Mkuu mzuri, mweupe lakini watu wake wana maisha magumu sana, na kutaka wajue kwanini...
Daraja la Pangani ni mradi muhimu unaoendelea kujengwa ili kuunganisha mikoa ya Tanga na Pwani kupitia barabara ya Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC). Daraja hili litakuwa na urefu wa mita 525 na...
Kwa niaba ya Dkt. Tulia, tuzo hiyo imepokelewa na Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais -Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Zainab Katimba.
Alizaliwa Novemba 23, 1976 kijijini Mabonde...
Hili ndilo linalotusumbua Tanzani ,yaani sisi tuko bize kumfundisha mwizi njia nzuri ya kiiba asikamatwe, lakini siyo kutunga sheria ambazo atakapokatwa atakumbana na adhabu kali.
Haya yote ni...
Laiti siasa ingeangaliwa ku muktadha wa timu za mpira wa miguu, basi CCM tunajua uwezo wao wa kusakata soka.
Timu hii ikiongozwa na nahodha machachari sana kutoka visiwa vya Zanzibar, je...
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) taifa Tundu Lissu akizungumza wakati wa mkutano kati ya CHADEMA na Jukwaa la Wahariri (TEF) unaofanyika siku ya Jumapili Machi 2, 2025...