Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ni kosa kisheria kutumia watoto katika shughuli za kisiasa zinazohatarisha afya, elimu, au ustawi wao. Hii ni kwa mujibu wa Sheria ya Mtoto ya 2009, Katiba, na miongozo ya kimataifa ambayo...
1 Reactions
5 Replies
421 Views
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kupitia Baraza lake la Vijana (BAVICHA), kimeeleza kusikitishwa na hali mbaya ya ajira kwa walimu nchini, kikisema kuwa tatizo hilo ni “bomu...
2 Reactions
9 Replies
686 Views
sema Serikali imeshapima viwanja zaidi ya 2274. -Awataka wale wote waliovamia na kujenga kulipia viwanja hivyo mara moja kwa kuwa wamepunguziwa bei. Soma Pia: RC Chalamila afafanua video inayo...
2 Reactions
20 Replies
4K Views
Wakuu nilitegemea maandalizi na mapokezi ya kumpokea mwenyekiti wa Chadema taifa Tundu Lissu yangekuwa yanaratibiwa na mwenyekiti wa chama kanda ya kati Devotha Minja. Lakini atumuoni wakati hili...
3 Reactions
17 Replies
1K Views
Mjumbe wa Halmashauri kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa kutokea Mkoa wa Geita , Evaristi Gerevas amewataka vijana wa chama hicho kuacha tabia ya kuwa wasindikizaji na kubeba mikoba ya...
2 Reactions
4 Replies
414 Views
Wakuu, Huko Singida leo, Lissu alisimamisha mkoa wote baada ya wazee wa kimila la Kinyaturu kumtawaza Lissu kama shujaa wa Kinyaturu Wamempa ngao na kaniki kama nembo ya heshima yao kwa Lissu...
8 Reactions
24 Replies
2K Views
Wakuu Akiwa anazungumza kwenye mkutano na wananchi wa Manyoni, Lissu amesema kuwa ili kupata mageuzi kwenye chaguzi yuko tayari kufa. Lissu amesema kuwa haogopi chochote kuhusu kufa maana...
3 Reactions
6 Replies
1K Views
Wakuu Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Stephen Wasira, akizungumza katika Kongamano la Wanawake lililofanyika jijini Dodoma leo, Februari 4 amedai "Siku hizi wako watu nje ya...
1 Reactions
17 Replies
1K Views
Wakuu, Hivi kwanini hawa celebrities hudhani kuwa just because wao ni maarufu basi automatically wanakuwa na mvuto wa kisiasa? Kuna huyu mmoja anajiita Davina (kwa wale waangaliaji sugu wa Bongo...
1 Reactions
21 Replies
1K Views
Mwenyekiti Mpya wa CHADEMA, Tundu Lissu akiwa kwenye Mkutano wa Baraza Kuu la Chama ambalo limekutana leo Jumatano, Januari 22, 2025 katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam, ameanza...
48 Reactions
182 Replies
16K Views
Mnamo 2020 tuliletewa baraka na Mungu ya kuwa na mgombea kutoka CCM NDG.PRISCUS TARIMO na tukampa kura za ndio tukiamini Atafanya maendeleo japo kidogo ambapo chadema walishindwa kabisa...
3 Reactions
20 Replies
1K Views
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu na Mbunge wa Jimbo la Chalinze Mhe. Ridhiwani Kikwete amemshukuru Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia...
1 Reactions
2 Replies
413 Views
Wakuu, Ndugu zangu Tlaatlaah johnthebaptist FaizaFoxy Lucas Mwashambwa na genge lenu bado mnaona Lissu 'anaropoka' au dawa ishaanza kuwaingia? :BearLaugh::BearLaugh::BearLaugh: Ila kwa jinsi...
0 Reactions
0 Replies
421 Views
Mbunge wa Jimbo la Itilima, Mkoani Simiyu, Njalu Silanga amesema kuwa serikali imefanya kazi kubwa ya kuboresha sekta ya kilimo, ambapo Wilaya hiyo imepokea matrekta 35 kwa ajili ya kulima...
1 Reactions
2 Replies
435 Views
Kuelekea uchaguzi mkuu october 2025 no reform no election epewe airtime katika kipindi hiki , ili watawala wafanye marekebisho ya sheria zinazoitwa za uchaguzi zinazonufaisha chama tawala, Huku...
5 Reactions
24 Replies
1K Views
Habari za j2 Nimekaa nikamkumbuka chuma John Pombe Magufulu kuwa angekua hai inamaanisha huu mwaka ndio angekua anamaliza awamu yake ya mwisho na kuwa Rais Mstaafu! Kupata taarifa na matukio...
3 Reactions
18 Replies
725 Views
Huyu Tundu Lissu ni mtu wa hatari sana. Nilikuwa naangqlia live anavyochambua hoja kwa hoja kuwaelezea Watanzania kwa nini wanasema No Reform No Election. Nonso alizokuwa anatema Lissu hata uwe...
17 Reactions
25 Replies
2K Views
Wakuu, Hivi wananchi watakubali kweli kwenda kulala barabarani ili kuipa pressure serikali ili kuzuia Uchaguzi usifanyike? Hizi njia anazotaka kutumia Lissu mbona zinaanza kutia shaka? Siku ya...
4 Reactions
15 Replies
855 Views
Hivi mbunge anakosa hela ya kuchukulia fomu mpaka achangiwe? Na wanalipwa posho si chini ya laki sita kila siku huko bungeni, ni yale yale wanaomchangia Rais kila siku.. Mshana Jr weka neno hapa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Mjumbe wa Baraza Kuu la UVCCM Taifa (Viti Vitatu bara) Ndg. Shamira Mshangama amepokelewa katika Wilaya ya Musoma mjini, ikiwa ni mwendelezo wa ziara yake ya kuimarisha uhai wa Jumuiya ya Vijana...
2 Reactions
10 Replies
609 Views
Back
Top Bottom