Mtu anakwambia no reforms wakat reforms zimeshafanyika na bunge lilipitisha sheria tatu hivi karibuni ikiwemo sheria ya tume ya taifa ya uchaguzi na sheria ya vyama vya siasa, we kama hukusikiliza...
Ila Serikali ya CCM Ina maigizo mpaka Shetani anashangaa .
RC Chalamila aliposikika anamwambia Mjamzito kama hawezi kuchangia aende Mumewe ampasue, Kila Neno lilisemwa.
Sasa huko Arusha ...
Tayari viongozi wa juu wa CHADEMA wanaonyesha wanawagombea wao mfukoni !! Ukisema unawaita watia nia unajuaje kwamba Jimbo Moja Lina watia nia wangapi ? Mfano Mimi Niko Jimbo la Ileje na watia...
Hawa jamaa kwenye mambo yao mengi naona wanatumia salamu za kijeshi.
I am curious to understand, je hawa jamaa ni wanajeshi kamili na hayo mamlaka wameyatoa wapi?
Katika jamii zetu, kuna dhana potofu kwamba "siasa si yetu"—kwamba wale waliopo kwenye biashara au waliojiajiri hawaathiriki moja kwa moja na mwelekeo wa uongozi wa nchi. Wafanyabiashara wengi...
Namuulizia waziri wa Mkapa aliyesimamia ununuzi wa ndege ya Rais akatuzarau kwa kusema hata kama nyasi tutakula lakini lazima ndege ya Rais inunuliwe,
Nakumbuka kama inchi tulikuwa tunakabiliwa na...
Kipindi cha nyuma kidogo kabla ya utawala wa tano, CHADEMA ilionekana kuwa tumaini jipya la kuwasemea wanyonge na kuibua uozo wa serikali na pale ilipobidi waliishinikiza serikali kuwajibika...
Mwanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tawi la Mtongani, Kunduchi jijini Dar es Salaam, Romanus Romanus Mapunda amejitokeza rasmi kuchukua fomu ya kugombea uenyekiti wa Taifa wa...
Kwa namna hali ilivyo kwa sasa Mh. Mbowe anapigwa mawe sana na wanachadema wenzake na hata wasio wanachadema.
Sababu kubwa ya yeye kupigwa mawe sio kwamba watu hawatambui uwezo wake na mchango...
Kwa joto lilivyo hadi sasa 2025 CHADEMA itapoteza wanachama wengi sana hasa hasa wale wenye ushawishi na huu ndio utakuwa mwanzo wa mwisho ya CHADEMA
Hadi hapa walipofikia hakuna namna ya kufanya...
Mkurugenzi mkuu wa Shirika la Reli Tanzania Masanja Kadogosa ameahidi kutoa milioni 10 kwenye harambee iliyoandaliwa na Muhashamu Askofu Flaviani Katindi Kasala wa Jimbo Katoliki la Geita, kwa...
Kada huyu wa CHADEMA Romanus Mapunda amelimwa barua na kamati ya utendaji tawi na Mtongani kata ya Kunduchi jimbo la Kawe kwa tuhuma mbili.
Soma, Pia: Kada wa CHADEMA, Romanus Mapunda atangaza...
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA John Heche amesema Siku CHADEMA ikifa haki ya Mungu mtapigwa mnada, hiki ni chama Chenu kiwekeni moyoni mwenu”
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea...
Helow!
Kurejea kwa mwanamikakati mahiri ndani ya chama kumeleta upya nguvu iliyokuwepo kabla ya gia Ile kubadilishiwa angani .
Dr Slaa anarudisha kundi lile kubwa lililokuwa nyuma yake ambalo...
Kuna UPUMBAVU mwingi na hujuma nyingi sana zinaendelea juu ya uongozi na utawala wa Mh Tundu Lissu, ninafikiri UPUMBAVU huu unapswa kusemwa na kukemewa hadharani , ikiwa ni lazima itabidi tuongee...
Mimi ni miongoni mwa watanzania wanaokupenda sana, na kukuombea ufanikiwe.
Lakini naomba suala la utekaji na mauaji yenye mlengo wa kisiasa ulichukulie uzito mkubwa sana kabla ya uchaguzi mkuu...
Akizungumza kwenye Baraza la Eid El-Fitri kumbi wa JNICC Dar es salaam, leo tarehe 31 Machi, 2025, Rais Samia amesema nchi yetu (Tanzania) imeendelea kuwa na Umoja na Mshikamano kwasababu viongozi...