Askofu Emmaus Mwamakula ameonyesha wasiwasi wake mkubwa kuhusu tukio la utekaji lililotokea ndani ya basi la Tashriff Luxury Coach, ambapo Ali Mohamed Kibao alitekwa kwa nguvu. Katika taarifa...
Wakuu
Wanaojiita Wasomi na Wanafunzi wa Vyuo Vikuu wamshangaa mwanaharakati Maria Sarungi kwa kushindwa kurudi nchini Tanzania kwenye msiba wa baba yake, wamtaka asichanganye siasa na mambo yake...
Mkuu wa chuo, Mizengo Pinda, Makamu Mkuu wa Chuo, Prof. Elifas Tozo Bisanda, Mwenyekiti wa Baraza la Chuo Kikuu Huria cha Tanzania, Prof. Joseph Kuzilwa, heshima yenu wakubwa.
Prof. Elifas Tozo...
Kwa aibu niliyojiskia leo baada ya kusikiza Kiingereza cha Waziri Ulega akizungumza na Wakandarasi Wachina wanaojenga barabara ya mwendokasi huko Mwenge leo nakuomba tu Msemaji wa Serikali...
Naibu Waziri wa Nishati ambaye pia ni Mbunge wa Vijana Mkoa wa Ruvuma (CCM), Mhe.Judith Kapinga ameahidi kutoa kompyuta 139 katika Shule za Msingi 139 zilizopo Halmashauri ya wilaya ya Mbinga...
Wakati CHADEMA ikikomaa na NO REFORM, NO ELECTION, ACT WAZALENDO nao wamekuja na mpya kususia vikao vya umoja wa vyama vya siasa kwa madai kama ya CHADEMA.
CCM wao wako busy kubuni mbinu za...
Wakuu
Mawaziri George Simbachawene (Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Ajira, Vijana na Wenye Ulemavu) na Prof. Adolf Mkenda (Elimu, Sayansi na Teknolojia) wamekutana na viongozi wa Chama cha Walimu...
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Geita, Manjale Magambo, amewataka wanachama wa chama hicho kutokata tamaa au kununa pale wanaposhindwa kwenye kura za maoni...
Leo, tarehe 15 Machi 2025, Umoja wa Wanawake wa CCM (UWT) Mkoa wa Lindi umefanya uchaguzi wa kumchagua mwenyekiti wa mkoa, ambapo wagombea watatu walijitokeza kugombea nafasi hiyo. Wagombea hao...
Mwenyekiti wa Kamati hiyo Mhe. Seleman Moshi Kakoso amesema kazi iliyofanywa kwenye daraja hilo lenye urefu wa meta 525 ni kubwa hivyo Wizara ya Ujenzi na Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS)...
Wakuu
Mbunge wa Karagwe, Innocent Bashungwa, ameonyesha moyo wa huruma kwa kusaidia mtoto mdogo kumtwisha dumu la maji kichwani baada ya kumkuta akichota maji.
Kupata taarifa na matukio...
Mjumbe wa Baraza Kuu la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Joseph Haule maarufu Prof Jay amesema Rais Samia alikuwa kama Mama yake wakati akimshukuru kwa jitihada zake za kumtibia.
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda, amesema wanafunzi wa VETA, ambao leo Machi 15, 2025, wamefanya ukarabati kwenye wodi ya watoto ya Hospitali ya Taifa Muhimbili, ikiwemo...
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Godbless Lema na Mwenyekiti wa Kamati ndogo ya fedha ya chama hicho amesema endapo wanachama na wadau wakikichangia chama hicho kwa wingi...
Kampuni ya Shell’s Global yenye vitalu vya gesi Mtwara ina teknolojia ya kuibadili gesi kuwa mafuta (gas-to-liquids (GTL))
Our gas-to-liquids technology turns natural gas into high-quality...
Mwenyekiti wa Kanda ya Nyasa na ambaye ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama hicho, Joseph Mbilinyi, Ametambulisha sare mpya za Chama hicho Nchini Marekani.
Taarifa zinadokeza kwamba Mzigo huo mpya wa...
Samia kukataa Kwenda kwenye Msiba wa Sarungi inaleta picha mbaya! Ni visasi ndani ya nafsi, Taasisi ya Ikulu haina ushauri mzuri juu ya mwenendo wa Rais, tunajua kisa ni Maria Sarungi, kifupi Rais...
Kumekuwa na mchakato wa ugawaji wa majimbo ya uchaguzi hasa ya ubunge kwa kuzingatia vigezo vilianishwa na serikali
Kihoja kimejitokeza katika Halimashauri ya Tunduru ambayo ina wakazi takriban...
Wakuu,
Nimekutana na video ya Waziri wa Elimu Profesa Mkenda kwenye maadhimisho ya siku ya wanawake.
Akiwa kwenye maadhimisho hayo, Waziri Mkenda alikuwa amekunja kile kitenge na kukiweka begani...