Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mheshimiwa Msomi Dr Mollel, G (DDS)anafaa kuongoza taasisi ya umoja wa Mataifa kuhusu watoto (UNICEF). Kama Taifa tumpe support stahiki.
1 Reactions
13 Replies
832 Views
Amani iwe nanyi Wanabodi. Kila siku huwa nasema, mchawi katika maendeleo ya kweli kwa mwafrika ni akili. Sio rasilimali wala nguvukazi. Kati ya vitu ambavyo siku nikifika mbinguni nitakuja...
15 Reactions
99 Replies
4K Views
Wakuu, Nimeangalia tangazo la Tone Tone kwakweli nimebubujikwa machozi ya huzuni! Mmefikaje huku? Mlikuwa mnaenda vizuri lakini mnaanza kuharibu! Sawa mlitaka kuja na idea tofauti, iwe catchy...
0 Reactions
0 Replies
309 Views
Nimepta kwenye nyuzi nyingi za wakati huu wa kuelekea uchaguzi na zile za zoezi la kujiandikisha unaona kabis namna Wanasiasa walivyo na uchu na madaraka, wanaonesha jinsi gani kuna fursa huko...
1 Reactions
2 Replies
526 Views
Tutakukumbuka daima Baba. 1.SGR ( Dar-Moro-Dom-Dar), 2. Mwl Nyerere HEP, 3. ATC, 4. Rushwa (imerudi upya).
15 Reactions
73 Replies
4K Views
raisi D.Trump ametutoa tongo tongo baadhi yetu au sijui niseme wengi wetu? kumbe biden alikuwa hasaini yeye mikataba mingi na excutive orders bali ni mashine, sasa raisi D.Trump amesema hizo...
1 Reactions
2 Replies
610 Views
Baada ya ccm na serikali kuharibu kila kona hasa kuanzia awamu ya tano, sasa ccm imekuja na a very constructive strategy ya kuwahadaa vijana kwamba mpaka waende VETA baada ya kumaliza degree, phd...
2 Reactions
0 Replies
243 Views
Kama kuna kitu Tanzania inapashwa kukipa nguvu inayostahili basi ni hii PPP ya Kafulila. Nchi nyingi dunia zinanufaika na PPP hasa katika kukuza Uchumi jumuishi kwa maendeleo endelevu.
26 Reactions
98 Replies
5K Views
Au ni mpango wa kanyaga twende bora liende tu, na kwamba tone tone ni mpango wa kukusasanya pesa kwaajili ya matumizi ya chama, viongozi waandamizi na familia zao, kwa makusudi ya kazi ya...
0 Reactions
0 Replies
266 Views
Mama Samia sasa anaenda kukata mzizi wa fitna kstika rushwa zinazotokana na Ardhi. Kamishna wa Ardhi na Idara yake nxima inalalamikiwa sana katika suala la rushwa ilinkuhudumiwa kupata uhalali wa...
1 Reactions
3 Replies
549 Views
Wakuu, Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA), Anthony Kasore, amewakaribisha Watanzania kushiriki kilele cha maadhimisho ya miaka 30 ya VETA, yatakayofanyika...
4 Reactions
15 Replies
1K Views
Mama hivi , mama vile... unamwangalia huyu unamwona njaa inamsumbua na ameshamkana mama yake kwa sababu ya vipande 30 . Rais si mama wala baba yenu. mama yako akikusikia unaiya ita wa mama wa watu...
6 Reactions
21 Replies
1K Views
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Taifa Stephen Wasira amesema uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan umefanya mambo makubwa ambayo watu wengi hasa wanaume walikuwa hawaaamini kama angeweza kuyafanya...
0 Reactions
8 Replies
576 Views
Nianze kupongeza Kanisa katoliki kwa utaratibu wake wa kuwaombea na kuwakumbuka marehemu wote walio tangulia mbele ya haki kwa kanisa langu Takatifu Katoliki La Mitume Ili jambo ufanyika kila...
3 Reactions
6 Replies
628 Views
Wakuu, Mwanasiasa John Mwanga (78), aliyewahi kuwa Mbunge wa Moshi Mjini kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), amefariki dunia usiku wa kuamkia leo, Machi 5, 2025. Mwanga, ambaye aliweka historia...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakuu, Kama unafuatilia ukurasa wa Instagram wa Tulia, Mbunge huyo wa Mbeya Mjini amezidi kumwaga misaada kwa Wana Mbeya. Hivi sasa ukurasa wake umejaa video za watu wakiwa wanapewa na...
1 Reactions
1 Replies
396 Views
17 March 2021 Rais John Pombe Magufuli Rais wa awamu ya tano aliaga dunia. Pamoja na madhaifu yake kama binadamu ila ameacha legacy itakayodumu vizazi na vizazi. Ametuachia miradi mikubwa ya...
14 Reactions
72 Replies
3K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameendelea kuonesha dhamira yake ya dhati ya kuboresha maisha ya vijana kwa kutaka kuongezwa kwa uwekezaji katika ujenzi wa...
2 Reactions
5 Replies
478 Views
Mwenyekiti wa Kampeni ya Mama Asemewe, Geofrey Kiliba wikiendi hii alizindua kampeni mpya aliyoiita "Wiki Ya Mama" kwa ajili ya kutathmini na kuthamini juhudi za Rais Samia Mwenyekiti huyo...
1 Reactions
19 Replies
862 Views
Kalamu ya Samia inaongea waendelea kuyasema na kuyamulika yale yote aliyoyafanya Rais Samia kuanzia mjini mpaka vijijin kuwa kalam ya mama Samia imepita kila eneo. Leo March 17,2025 viongozi wa...
0 Reactions
6 Replies
525 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…