Mambo yamezidi kuwa moto huko
Bukondamoyo kata ya Mhungula wilaya ya Kahama wakishinikiza mgombea kupitia CHADEMA atangazwe
Sijui itakuaje. Asubuhi walikamata kura feki.
Wakuu,
Mbona mambo yanazidi kukorogwa! Aliyeelewa hapa aniaeleweshe!
====
Wakati Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Freeman Mbowe akidai mgombea ujumbe wa chama chake Mtaa wa Ulongoni A, Modestus...
Wakuu,
Oneni huyu mpuuzi!
Kupata taarifa na matukio ya kimkoa kuhusu Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara...
Hayo yamebainishwa katika taarifa iliyowekwa na TAMISEMI katika ukurasa wao wa Mtandao wa X
TAARIFA KWA UMMA JUU YA UPOTOSHAJI WA UWEPO NA KARATASI FEKI(BALLOTPAPER) ZA KUPIGIA KURA KATIKA...
Akizungumza na wananchi wa Dumila jana Novemba 24, 2024 katibu mkuu wa CHADEMA John Mnyika aliwataka wafuasi wa chama hicho kutokuondoka kwenye vituo vya kupigia kura mara baada ya kupiga kura...
Baraza la Wanawake Chama cha Demokrasia na Maendeleo (BAWACHA) Kanda ya Pwani leo Novemba 27, 2024 limetembelea vituo vya kupigia kura katika mitaa mbalimbali ya Kinondoni likiwa limeambatana na...
Watu wenye ulemavu wilaya ya Misungwi mkoani Mwanza wameiomba serikali kuwawekea mazingira wezeshi ya kupiga kura kwa kuwawekea karatasi zenye maandishi ya nukta nundu yatakayowawezesha kupiga...
Msimamizi wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jijini la Dodoma ambaye pia ni Mkurugenzi wa Halmashauri hiyo Dkt. Frederick Sagamiko amesema vurugu zilizoibuka katika kituo cha kupigia...
Kata ya Nkoaranga Kijiji cha Nshupu tumeshinda kitongoji kimoja tayari na wakala wa ccm amekimbia na kura zilizopigwa tayari tumeamishia nguvu na jeshi la Polisi wamekuja na tayari matokeo...
Wakuu bado matokeo baadhi ya maeneo yameendelea kutoa. Vipi mtaani kwako mambo yapoje huko
=====================
Matokeo ya Uchaguzi wa serikali za mitaa mtaa wa Sabasaba kata ya Gangilonga Jimbo...
Watu wanne wanashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoa wa Mwanza kwa matukio matatu tofauti likiwemo la vijana wawili ambao ni makada wa CHADEMA kukamatwa wakiwa na karatasi 181 za kupigia kura...
Mbunge wa Viti Maalum kutoka Singida, Jesca Kishoa, leo Novemba 27, 2024, ametimiza haki yake ya kidemokrasia kwa kupiga kura katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa katika Kijiji cha Maziliga...
Leo Novemba 27,2024 Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Ahmed Abbas akiwa ameongozana Mkewe Bi.Riziki kwa pamoja wameungana na Watazania Wengine kushiriki katika zoezi la kupiga kura za Uchaguzi wa...
Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 ni uchaguzi usio huru na haki, tunaomba mamlaka iangalie namna ya kurudiwa kwa uchaguzi maeneo mbalimbali ambayo wagombea wa upinzani wametekwa, kupotea na...
ARUSHA: UMATI wa wananchi bado uko kwenye foleni ndefu katika kituo cha kupiga kura cha Polling Station kilichopo katika kijiji cha Manyire kata ya Mringarini wilayani Arumeru mkoani Arusha...
Wakuu,
Tunasubiri igizo la kupanga foleni wakati kwenye misafara tunakaa masaa matatu kumpisha :BearLaugh: :BearLaugh: :BearLaugh:
Kutoka Wilayani Chamwino Mkoani Dodoma Leo Novemba 27...
Kupata taarifa zote kuhusu uchaguzi wa serikali za mitaa kwa kila mkoa ingia hapa: LIVE - LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa...
Wakuu,
Uchaguzi huu umekuwa disaster! Mkuu utakuaje kwa trela hili?
Pia soma: LGE2024 - Kigoma: Wananchi wafanya vurugu kituo cha kupiga kura
Kupata taarifa na matukio ya kimkoa kuhusu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.