Kwa nilivyomsikia Tundu Lissu jana akitema madini kwa ufasaha wa hali ya juu na akili iliyotulia bila hata papara huku akiwa anaishi na kuteswa Gerezani na namna nilivyomsikia Rais Samia leo...
Sasa ni rasmi, Tanzania imeanza kula matunda ya Wanasiasa kuwa juu ya Utendaji/mifumo na Siasa kuwa juu ya Utaalamu. Kwa sasa rushwa imekuwa jambo la kawaida nchini Tanzania na inafanywa waziwazi...
Wananchi wa jamii ya kimasai zaidi ya 1000 wamekusanyika katika mtaa uhurudini na kuvunja uzio katika eneo wanalodai lilokuwa likitumika katika kukuza vijana wa rika mbalimbali wa kimasai baada...
Karibu mabalozi mia sita wa Chama cha Mapinduzi CCM katika manispaa ya kigoma Ujiji wametembelea miradi mikubwa inayotekelezwa na serikali ya awamu ya sita katika mji wa Kigoma ili kujionea...
Wakuu
====
Haya ni maneno aliyoyaandika Ndugu yetu Steven Nyerere anafaa kuwa msemaji nambari 2 wa serikali Kwa namna Moja ama nyingine na picha utakazoona ndizo alizoweka Bwana Steven katika...
Kwa ufahamu wangu mdogo wa mambo yanayohusiana na sero nilidhani Tundu Lissu atakuwa SEHEMU nyeti na salama zenye ulinzi na chakula Bora kabisa
Nasema hivi kwa sababu niliwahi kufika pale...
Katika zama hizi za dunia kiganjani hata yule mtu aliyekijijini kwanza anataka kujua kipi kinaendelea mitandaoni.
Kupitia mitandao ya kijamii chama cha siasa kina uwezo wa kupata uungwaji mkono...
Kama una kichwa kibovu pita mbali na huu uzi.
Napenda kutumia uzi huu kuunga Mkono kauli ya Mh Dr Samia Suluhu Hassan kuhusu suala zima la ukuaji wa uchumi kama ifuatavyo.
Inafaa ieleweke kuwa
📊...
Watanzania msimchague mtu anayewapa kanga, tshirt, fedha na baiskeli hajitambui huyo na hawezi kuwa kiongozi bora .
Kuna watu wanataka tu madaraka yani ilimradi tu, ndio maana hawana hoja wala...
Ndugu zangu Watanzania,
Hii ni picha ya wiki kati ya Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan pamoja na Mama Janeth Magufuli Mke wa...
HALI YA WATANZANIA NCHINI ISRAEL NA IRAN KUFUATIA MASHAMBULIZI BAINA YA TAIFA LA ISRAEL NA JAMHURI YA KIISLAMU YA IRAN
DODOMA, 19 JUNI 2025
Kufuatia mashambulizi yanayoendelea kati ya Taifa la...
Mtu wenu ametekwa, jeshi la polisi limekana kuwa hawahusiki. Mpaka hapo ina maana yeyote anayemshikilia mtu wenu ni jambazi kama jambazi mwingine yoyote, mnayo haki ya kumdhibiti mkimpata...
Rais wa Zambia afuta maombolezo ya kitaifa ya kifo cha mtanguliizi wake marehem Edgar Lungu kisa ujeuri wa familia ya marehemu.
Msiiilize
https://www.youtube.com/live/5kDTxVCWtys?si=RwfoFzIxu08AyIFK
Kuna mkutano mkubwa wa CHADEMA. Heche amemwambia Dj apige audio ya mmoja wa Mawaziri wa CCM akiapa kumnyoosha Heche kwa kumdhuru.
Je, huyu Waziri ni nani na kwa nini awe anatishia watu maisha...
Kama mgombea ameamua kugombea lazima awe tayari kukumbana na kila aina ya upinzani, Kujivua na kujivika kofia ya mgombea urais na hapo hapo Rais wa nchi, kisha unajivua na kujivika uamiri jeshi...
Katika vikao vya ndani vya uamuzi wa kisiasa ndani ya Chama cha Kijani, kulitoka taarifa kwamba mmoja wa viongozi waandamizi, ambaye kwa sasa tutamtaja kwa jina la X, "amechoka uongozi" na hivyo...
Nadhani Mzee Raila Odinga kabwia Asali ya uzeeni yaani anamtetea ADAN kuliko hata AG mwenyewe
Mpinzani Africa mashariki kabakia Tundu Lisu pekee na mdogo wake Heche
Magufuli alibadili baadhi ya majina ya wagombea ubunge walioshinda kura za maoni na kuteua wengine ili kuweka mambo sawa ndani ya chama na kwenye majimbo husika.
Sababu ni kwamba baadhi ya...
Kata ya NYAMIGOGO inaziunganisha wilaya ya biharamulo na chato lakini tangu Mungu kuumba dunia ilikuwa haina umeme na wananchi wa hapa walipata shida sana na kuichukia serkali yao kwa kushindwa...
Wakuu,
Wananchi sio wajinga, wanao uelewa wa kuchambua kati ya mbichi na mbivu.
Licha kuwa wamepewa baiskeli mpya za CCM lakini bado wanaonekana kusimama na kuamini katika kile kilichosema na...