Ukisha toa Ripoti na Kuikabidhi na kutuambia kwa mwenye Ripoti na kutueleza kuwa tunyamaze haituhusu hautakiwi kuja kutupa ufafanuzi.
Peleka ufafanuzi ulikokabidhi ripoti unatufafanulia nini...
Akizungumza leo Aprili 27 katika mkutano wa asasi za kiraia 14 zilizotoa msimamo kuhusu Tume ya Jaji Othman Chande, Mhadhiri mstaafu wa Chuo Kikuu chaa Dr es Salaam, Dk Azaveli Lwaitama amesema...
Kwanza, ni muhimu kukumbuka kwamba chanzo cha matukio haya hakikuwa vurugu zenyewe, bali ni malalamiko ya muda mrefu ya wananchi yaliyokuwa yakijadiliwa wazi mitandaoni. Kulikuwa na ishara za...
Haya nawaulizeni nyie Wazushi na Watu wenye Chuki za Kishamba na Kipumbavu kwa Rais Samia Suluhu Hassan na Serikali yake je, na hizi nchi zingine tajwa hapa katika hii Taarifa ya Reuters nazo pia...
Wakili Peter Madeleka akizungumzia ripoti ya Jaji Chande, amesema kuwa tume hiyo haikuwa na mamlaka yoyote kisheria kumwamrisha pathologist kwenda kuchunguza vifo vya wanaodhaniwa kufa kwa...
Jaji Chande ambaye ni Mwenyekiti wa Tume ya uchunguzi wa matukio ya Oktoba 29, ameyasema hayo Leo, 28 Aprili 2026 Jijini Dar es Salaam kwenye mkutano wa tume ya Uchunguzi wakati na baada ya...
Askofu Dkt. Benson Bagonza wa KKKT Dayosisi ya Karagwe ameandika haya katika mtandao wa FaceBook
NASIKIA WAJALUO WANASUBIRI..
Iko hivi:
Siwezi kusema kuwa NI NZURI au ni MBAYA maana siyo yetu...
Mwanasheria na rais wa chama cha wanasheria Tanganyika (TLS) Boniphace Mwabukusi, ameibua hoja nzito kuhusu mchakato wa maridhiano, akisisitiza kuwa Ripoti ya Jaji Chande haiwezi kutumika kama...
Akizungumza na waandishi wa habari leo Aprili 27 wakati Asasi 14 za kiraia zikitoa msimamo wao kuhusu ripoti ya Mwenyekiti wa Tume ya Kuchunguza Uvunjifu wa Amani Oktoba 29, Wakili Jebra Kambole...
Wakili Peter Madelekea amesema akiambiwa anamuamini nani kati ya Rais Samia na Jaji Chande yeye atasema anamwamini Rais Samia
Mimi siwezi kumuamini Chande kwa sababu vyanzo vya taarifa vya Chande...
Mama Samia ataunda tume kila siku bila haki ni kazi bure matatizo hayataisha kwa tume za michongo na kukusanya makada ambao ni machawa.
Kama unataka kusaidia hii nchi ni kuweka katiba ambayo...
Asasi za Kiraia (AZAKI) zimetoa uchambuzi wa awali wa ripoti ya Tume ya Jaji Chande iliyochunguza matukio ya ghasia yaliyojitokeza wakati na baada ya uchaguzi mkuu wa Oktoba 2025.
Wametaka...
Wakuu,
Mambo ni motooo, wajinga wate wanawekwa kando, huwezi ukawa mpuuzi halafu watu wakuangalie tu... akaungane na mboga mboga kushangilia mauaji ya Oktoba 29!
======
Mwanachama na...
Unaweza kudanganya lakini huwezi kudanganya miaka yote hiyo tume imepoteza kodi zetu na kuja na riport ya kijinga namna ile ? Uliona wapi mtu ambae ndo...
Wanabodi
Mimi mwenzenu mzee wa masauti wakati Watanzania na dunia tukiisubiri kwa shauku na hamu kubwa Ripoti ya Uchunguzi ya Jaji Chande, ambayo itaamua mustakabali mpya wa taifa letu la...
Wakuu naingia kwenye mada moja kwa moja na kwa ufupi bila kuwachosha. Yafuatayo ni mambo nyeti ambayo tume ya uchunguzi wa mauaji ya MO29 imeyaepuka kwa sababu ambazo wanazijua wao wenyewe:
1...
Akizungumza jijini Dar es Salaam leo, Aprili 21, 2026, wakati akifungua Kongamano la Kitaifa la Mamalishe na Babalishe, Rais Samia wafanyabiashara wadogo wa chakula, maarufu kama Mamalishe na...
Bahati mbaya tume haikutupa majibu ya nani alisimamia zoezi Zima la kuwafyatulia risasi za moto na kuwauwa wandamanaji wasokuwa na silaha.
Mimi katika family yangu Kuna kijana wa miaka 20...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.