Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kamati ya Ushauri ya Mkoa wa Tanga (RCC) imeidhinisha mapendekezo ya kugawa majimbo matatu ya uchaguzi ya Kilindi, Muheza, na Handeni Vijijini, kuwa na majimbo mawili kila moja katika uchaguzi...
0 Reactions
1 Replies
477 Views
Naibu Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Ndugu John Mongella, amewataka wanachama wa chama hicho kudumisha amani na utulivu kuelekea Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu. Akizungumza, Machi 24...
0 Reactions
1 Replies
523 Views
Huku Kamati ya Ushauri ya Mkoa wa Dar es Salaam (RCC) ikipokea mapendekezo ya Kamati ya Wilaya Ilala (DCC) na kuridhia kuhusu kugawanywa kwa Jimbo la Ukonga na kuanzishwa kwa Jimbo jipya la...
0 Reactions
6 Replies
893 Views
Mbunge wa Ukonga, Mhe. Jerry Silaa, ameahidi ujenzi wa barabara ya lami katika Kata ya Kivule, akisema kero hiyo itaondolewa hivi karibuni. Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi...
0 Reactions
3 Replies
649 Views
Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi ya Tamasha la Kuombea uchaguzi mkuu 2025, Alex Msama leo ameongea na wandishi wa habari kuwa Maandalizi ya Tamasha la kuombea uchaguzi yanaendelea vizuri na kuwa...
3 Reactions
40 Replies
3K Views
Mwenyekiti wa UVCCM Taifa, Mohammed Ali Kawaida (MCC) ametoa maagizo kwa Viongozi wa UVCCM mikoa yote na wilaya Tanzania kuwa na vitega uchumi ili kuondoa utegemezi. Kawaida ameyasema hayo leo...
0 Reactions
0 Replies
310 Views
Kada Godfrey Sitta wa CCM kutoka Wilaya ya Meatu, ajitokeza hadharani kufichua yaliyojificha ndani ya Chama kuelekea uchaguzi mkuu 2025. Mimi ni CCM, lakini kwa hapa tulipofikia nipo tayari kufa...
3 Reactions
26 Replies
2K Views
Wakuu, Msemaji wa Mbezi Beach leo nimeenda kuboresha taarifa zangu kwenye daftari kudumu la wapiga kura katika Ofisi ya Serikali ya Mtaa Mbezi Beach B. Wakati niko nasubiri kuandikishwa ilikuwa...
5 Reactions
58 Replies
3K Views
Mbunge wa Singida Magharibi, Elibariki Kingu amekabidhi pikipiki sita kwa ajili kuwawezesha viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kutekeleza majukumu yao hasa wakati huu chama hicho kikijiandaa...
0 Reactions
6 Replies
645 Views
Prof.Alikuwa akizungumza kwenye kongamano la kumpongeza Rais Samia na kuangazia mafanikio ya miaka 4 madarakani. -- Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Profesa Palamagamba Kabudi...
3 Reactions
57 Replies
2K Views
Sheikh wa Wilaya ya Nkasi, Sheikh Hadhi Daruweshi, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Baraza la Amani na Maridhiano katika wilaya hiyo, amesisitiza kuwa kushiriki katika uchaguzi ni jambo linalopaswa...
0 Reactions
1 Replies
343 Views
Rejea sheria mpya ya uchaguzi, Rais Samia, Serikali ya CCM na Bunge bandia la CCM, waliwadharau na kuwapuuza Watanzania wote. Vyama vya upinzani, taasisi za dini, chama cha wanasheria Tanganyika...
6 Reactions
7 Replies
653 Views
Katibu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Mwanza, Omari Mtuwa, amewaonya viongozi wa chama hicho kuacha tabia ya kuwa madalali wa siasa badala ya kukitumikia chama kwa uaminifu. Kupata matukio...
0 Reactions
2 Replies
386 Views
Mwenyekiti wa UVCCM Taifa, Ndg. Mohammed Ali Kawaida (MCC) amekabidhi gari kwa ofisi ya UVCCM mkoa wa Singida ili kusaidia shughuli za kila siku. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa...
0 Reactions
3 Replies
448 Views
Kuelekea katika Uchaguzi mkuu wa mwaka 2025 viongozi wa Dini mkoani Shinyanga wamekemea vitendo vya ukatili wanavyofanyiwa watu wenye Ualibino ikiwemo mauaji ambayo hushamiri wakati wa uchaguzi...
0 Reactions
1 Replies
326 Views
Ule Mkutano ,Wajumbe walijua wanaenda kumchagua Makamo wa Chama tu . Ikapigwa chenga ambayo ikawaacha Wajumbe, kama lilivyo Bunge, kupiga makofi ,mayowe na mapambio mengi na kuwaondoa kwenye...
5 Reactions
13 Replies
699 Views
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana UVCCM Mkoa wa Mara, Mary Joseph amewataka vijana kuacha kujihusisha na vitendo vinavyochafua picha ya umoja huo, badala yake wawe sehemu ya ulinzi wa amani na...
0 Reactions
0 Replies
297 Views
Mjumbe wa halmashauri kuu ccm taifa (NEC) Ndele Mwaselela amewaambia wananchi wa mkoa wa kagera kuwa kazi nzuri za Dkt Samia Suluhu Hassan kwa miaka minne katika sekta zote zimefanya wananchi wa...
0 Reactions
3 Replies
496 Views
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Profesa Palamagamba Kabudi amesema Tanzania imepiga hatua kubwa chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan, kwani kwenye Sheria ya Uchaguzi wa Rais...
0 Reactions
8 Replies
709 Views
Aliyewahi kuwa Mbunge wa Iringa Mjini kupitia CHADEMA, Mchungaji Peter Msigwa, ambaye ni Kada wa CCM kwasasa, ameweka wazi msimamo wake wa kisiasa huku akiwataka wananchi kupuuza taarifa zozote...
1 Reactions
13 Replies
904 Views
Back
Top Bottom