Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Balozi Humphrey Polepole awacharukia wanaohoji kwanini anayoyasema sasa ikiwemo masuala ya utekaji hakuyasema awamu ya tano, Je wao wamewahi kusema kwenye awamu ipi? Ametolea mifano kadhaa ambayo...
14 Reactions
30 Replies
2K Views
Siku zote picha moja ni sawa na maneno 1,000 angalia Kwa makini hii na useme umegundua nini,
19 Reactions
133 Replies
10K Views
Orodhesha wanasiasa wanaharakati wote unaowajua kwa majina yao, utagundua katika ujumla na umoja wao hayupo mwenye nafuu kiuchumi, na kwahivyo wote ni dhaifu mno kiuchmi jambo linalofanya wawe...
1 Reactions
94 Replies
2K Views
Hii ni kwa sababu: 1. ataweza kufanya mabadiliko yanayopaswa kwa sababu ni ngwe yake ya mwisho. Mwingine yeyote atasita kufanya mabadiliko yeyote kwa sababu atataka na yeye amalize ngwe mbili. 2...
2 Reactions
11 Replies
492 Views
Rais Samia Suluhu Hassan kuingia madarakani mwaka 2021 kufuatia kifo cha Rais John Pombe Magufuli. Katika kipindi chake cha mwanzo, Rais Samia alijaribu kuonesha mwelekeo mpya wa kisiasa ambao...
0 Reactions
0 Replies
317 Views
Husika na mada tajwa hapo juu. October tutakuchagua kwenye sanduku la KURA kwasabu umetumalizia shida zetu, tunaishi kwa amani, si mtumishi, si mkulima, si mfanyabiashara, si mfugaji, si...
3 Reactions
62 Replies
1K Views
Habari wakuu, Leo Jumamosi, July 23, 2016 ni mkutano mkuu maalum wa chama cha mapinduzi(CCM) kumthibitisha Rais John Magufuli ili awe mwenyekiti mpya wa chama cha mapinduzi kumpokea kijiti...
14 Reactions
1K Replies
138K Views
Tanzania ya Samia imeendelea Kuandika rekodi ambazo haijawahi fikiwa hapo kabla ambapo safari hii ni uwekezaji wa kutoka Nje yaani FDI. Kwa mujibu wa ripoti kutoka shirika la Kimataifa...
1 Reactions
12 Replies
470 Views
https://www.youtube.com/live/G7yv_AM6JAA?si=n0iy7ZZrOM3x13x- Mwenyekiti wa Tume huru ya Uchaguzi Tanzania: Tume imekamilisha uboreshwaji wa daftari la wapiga kura kwa awamu mbili, awamu ya...
2 Reactions
35 Replies
2K Views
Naam wana JF hali inavoelekea sasa ni mbaya kuliko mda wowote. Serekali ya ccm kupitia mamlaka ya mapato Tanzania TRA imetangaza kua wanaofanya biashara online, wanaoishi Airbnb, na wanaochapisha...
0 Reactions
3 Replies
388 Views
Hofu ileile iliofanya Akahairisha Mkutano na kukimbilia Zanzibar. Sasa imewafanya Waitishe Mkutano Kwa njia ya Mitandaoni ! Genge la Samia limekabwa vilivyo, wanajaribu kucheza na KATIBA kijanja...
17 Reactions
79 Replies
6K Views
Humphrey Polepole akifanyiwa mahojiano na Aloyce Nyanda ameeleza kuwa kujiuzulu kwake ni kama njia ya kupinga ama kuonesha kwake kutoridhishwa na mwenendo wa serikali na chama.
4 Reactions
20 Replies
838 Views
Awali ulipangwa kufanyika tarehe 30 October 2005, Baadae ukasogezwa mbele hadi Tarehe 14 December 2005. Hiyo ni baada ya aliyekuwa Mgombea Mwenza wa Urais kupitia Chadema Kufariki, Jumbe Mohamed...
0 Reactions
0 Replies
243 Views
Ukweli usemwe, watanzania wanapenda umbea na habari nyepesi, kuwa cut off watu wanaokata kiu hiyo ni kujifanya hatuijui jamii yetu, na pia habari hizo nyepesi (umbeya) zimesaidia ku-de-fuse jamii...
4 Reactions
66 Replies
2K Views
Tumeona kazi nzuri aliyoifanya Mh Rais wetu Dr Samia Suluhu Hassan. ✓alikuta Watumishi hawajapanda madaraja kwa kipindi kirefu akawapandisha wote ✓alikuta boom vyuoni elfu 7 akapandisha kuwa elfu...
2 Reactions
29 Replies
959 Views
https://www.tiktok.com/@ma3nisisi/video/7526154389866745144
0 Reactions
6 Replies
837 Views
Kama kurekebisha Katiba yenu jambo ambalo ni kubwa Sana ndani ya mwaka mmoja mmeweza kufanya mara mbili, kwa nini hamtaki kurekebisha baadhi ya vifungu vya Katiba Tanzania pamoja na Sheria za...
7 Reactions
11 Replies
628 Views
Baada ya sakata la tour guide kuwaruhusu watalii kushuka kwenye magari kutazama kivuko cha nyumbu ni kinyume na taratibu za uhifadhi pamoja na uongozaji wa watalii lakini ucheleweshaji wa kujenga...
0 Reactions
5 Replies
369 Views
Leo CCM wanafanya Mkutano Mkuu maalum kidijitali . Niseme ukweli huu mkutano hautakuwa na matokeo chanya kama CCM wanavyotarajia. Asilimia kubwa ya Wajumbe hawajui dhana ya mtandao na hasa kule...
3 Reactions
11 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…