Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Badala ya kuongelea mabadiliko ya katiba kuongelea tamaduni ambazo ndizo zimeleta umasikini Polepole hatutaki tamaduni za CCM zimeleta umasikini mkubwa nchini. Watanzania wanataka maendeleo na...
0 Reactions
1 Replies
251 Views
EDIT: Sio waziri tu, ni viongozi wakiwemo mawaziri, maspika, wakuu wa mikoa, wabunge, n.k. Kujua matatizo ya wananchi kwa ukaribu ni msingi wa utatuzi wa kweli. Ni muhimu kwa viongozi kuwa...
39 Reactions
132 Replies
4K Views
Wakubwa hadi wababa wazima unakuta wao ni mama, mama hata sisi tuna mama tuacheni kuleta umama kwenye mambo nyeti ya taifa tena ya msingi kweli kweli hizi ni akili za wapi ? Mbona samia alipokuwa...
2 Reactions
12 Replies
525 Views
Mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu !!! Ccm kuwatapeli vyama vingine huwa wanaona raha lkn Samia kawatapeli sasa wanahaha mpaka wanatamani kutoana roho. Haya machungu ya kina Polepole...
0 Reactions
0 Replies
254 Views
My Take Kama umeumia Kwa Kukosa Cheo Cha majukwani hupaswi Kukata tawi ulilokalia
11 Reactions
136 Replies
8K Views
Kwa ujinga unaofanyika CCM, tegemea Rais kutoka Msoga baada ya Mama...kuna mtu anamtayarisha mwanawe
0 Reactions
6 Replies
402 Views
MSIMAMIZI Msaidizi wa Jimbo la Kivule, Wilaya ya Ilala, Dk. Mussa Ally ameipongeza serikali kwa kuwaruhusu wafungwa kushiriki katika uchaguzi mkuu wa Oktoba mwaka huu kwa mara ya kwanza...
0 Reactions
0 Replies
230 Views
Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Wakili Boniface Mwabukusi amesema hatojiunga na chama chake cha kisiasa katika mchakato wa uchaguzi kwa sababu haamini kama mazingira ya sasa...
0 Reactions
1 Replies
250 Views
Hii nchi kuna mambo yanaendelea kufanyika yasiyo na maana kabisa. Sasa hivi ukipita maeneo mengi ya nchi hasa Barabara kuu kuna diversion na ni mradi wakubadilisha kalavati za kupitisha maji...
8 Reactions
31 Replies
1K Views
Je kuna utofauti gani kati ya adui na mpinzani ?. Adui- huyu yeye hawezi Ku-expose mipango yake katika kadamnasi Mpinzani - huyu anakupinga waziwazi kwa kukuonesha kuwa hiki sio au Ana-ku...
0 Reactions
0 Replies
238 Views
Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika [TLS] Boniface Mwabukusi ambae alikuwa mstari wa mbele pamoja na makamanda wa CHADEMA katika kuhubiri NRNE tayari amewageuka wenzake na sasa anahamasisha...
8 Reactions
31 Replies
2K Views
Ikumbukwe kuwa 2010 Chadema ndio iliunda Kambi rasmi ya Upinzani bungeni na baadhi ya Wabunge wao walitaka ufanyike Uchaguzi wa KUB Mbowe na Tundu Lisu wakakataa kwa madai kuwa nafasi hiyo ni ya...
0 Reactions
5 Replies
329 Views
Yeye kama anatibiwa huko India kwa Fedha za Abduli, atulie atibiwe akipona Ashukuru, Akifa, atulie !!. Katiba ya CCM Ibada ya 100 (5) Unapofika wakati wa uchaguzi, Mkutano Mkuu wa CCM wa Taifa...
13 Reactions
37 Replies
2K Views
Aliyemuelewa Kamanda Muliro hapa atufafanulie na sisi wengine wenye vichwa vigumu tuelewe Hebu soma alichouliza hapa. Halafu Toa maoni yako.
5 Reactions
33 Replies
2K Views
Hii ndio Taarifa mpya ya sasa iliyotufikia mezani, Nyingine zilizo kwenye mpango wa kudukuliwa na wadukuzi wa kukodiwa ni ile ya Sativa77 na Tito Magoti.
5 Reactions
14 Replies
820 Views
Majaliwa na Mpango ni Bata Vilema kwa sasa. Wapo wapo tu hakuna anaye wasikiliza ingawa ni viongozi. Kitu ambacho wamefanyiwa sio vizuri kwa taifa kuwa na viongozi ambao hawasikilizwi kwasababu...
5 Reactions
17 Replies
1K Views
Jakaya Kazungu Bakari ambae ajiita ni kada wa CCM, bila shaka ni mzaramo wa kutoka Pwani. Mambo anoongea yamekosa hekima na nidhamu na jamaa amekaa kishari mno. Msikilizeni...
2 Reactions
5 Replies
567 Views
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Kenani Laban Kihongosi, amewataka wamiliki na wafanyakazi wa saluni jijini Arusha kufanya kazi kwa bidii, kutunza kipato chao, na kuendelea kuishi kwa mshikamano na amani...
0 Reactions
0 Replies
239 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…