Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kwenye nyakati Ngumu mzee Mkapa ndio alikuwa Kimbilio la chama kwa sababu aliamini kwenye Ukweli na Uwazi na hakuwa Ndumilakuwili Mlale unono 😄🙏
12 Reactions
59 Replies
2K Views
Hii ni tofauti na mtangulizi wake alivyofanya, licha ya kutolewa fomu moja tu kwaajili ta mgombea wa Urais.
17 Reactions
57 Replies
5K Views
Hebu niambeni, nyie wote mnaoshabikia na mnaotarajia Polepole akamatwe, akamatwe kwa kosa gani alilofanya? Hadi sasa hebu tuseme wazi, Polepole amevunja sheria ipi ya nchi? Kusema hawezi kufanya...
6 Reactions
25 Replies
1K Views
Huyu jamaa simkubali kwa tabia zake za dharau na ubabe ila naona atakua waziri Mkuu. Atadhalilisha sana mawaziri wenzake.
19 Reactions
167 Replies
8K Views
Kamishna wa chama cha ukombozi wa umma CHAUMMA kwenye mikoa ya Katavi, Kigoma na Tabora Masanja Mussa katambi Amesema taarifa za kuwa wamenunuliwa kwenda CHAUMMA Ni uongo na walichokifanha ni...
1 Reactions
11 Replies
553 Views
1.Kiongozi Dikteta ni Kiongozi wa Namna Gani? Kiongozi dikteta ni mtu anayeshikilia madaraka makubwa ya kisiasa bila mipaka ya kikatiba au ridhaa halali ya wananchi. Mara nyingi:- •Anapora...
0 Reactions
0 Replies
342 Views
Chaumma wanaonekana kukomaa kisiasa kwa sababu wamejikita na namna ya WAO watakavyoshiriki Uchaguzi mkuu Ndugu zetu Chadema wamejikita kutafuta makosa ya wagombea wa CCM kwenye Kura zao za ndan...
2 Reactions
20 Replies
758 Views
Uonevu, utekaji, rushwa sio siasa ni wizi na uhalifu. Hivyo mtu yeyote asisingizie chama cha mtu kufanya haya. Kwanini unaibia kura watu ambao unasema wanakupenda, kwanini unakula rushwa au kuteka...
1 Reactions
1 Replies
270 Views
Leo nilikuwa Ofisini Ila nimeambiwa kuna MTU anaitwa Kiparangoto je huyu ni nani wakuu?.
3 Reactions
21 Replies
2K Views
Rais Samia ni mgombeaji batili wa uraisi kwa kupitia CCM mchakato wa kumpata mgombea huyo haukuwa wa kikatiba nimeshangaa nilipo msikia hivi karibuni anahamasisha mchakato wa kupata wabunge uwe wa...
5 Reactions
14 Replies
1K Views
waTanzania katika umoja na mshikamano tunajivunia uongozi wa Dr.Samia Suluhu Hassan ambao ni tunu ya amani na umoja wetu kama taifa, lakini pia Dr. samia suluhu hassana ni chachu ya mabadiliko na...
5 Reactions
168 Replies
4K Views
Kumekuwepo na mjadala kwa muda mrefu dhidi ya muungano wetu Tanganyika na Zanzibar . Hivi karibuni ukiacha malalamiko ya upande wa Tanganyika kumekuwa na utulivu mkubwa. Sababu kuu ni kwa vile...
10 Reactions
104 Replies
5K Views
Mkurugenzi wa Fedha, Mipango na Uchumi wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Catherine Ruge (Msubhati) amesema ameamua kusimama na kugombea ubunge wa Jimbo la Serengeti Mkoani Mara, kwa lengo...
2 Reactions
32 Replies
2K Views
Hamjambo! Mimi sikuwa najua kuwa ili uwe Rais wa Tanzania itakupasa a) udhaminiwe na Chama chako. Kwa hapa ili ugombee mwaka 2025 utadhaminiwa na CCM au chama chako b) Adhaminiwe na idadi...
4 Reactions
36 Replies
2K Views
Ndugu zangu Watanzania, Liwake jua au inyeshe mvua, Dunia isimame au Dunia izunguke katika mhimili wake. Kamwe na katu maamuzi ya CCM ya kumpitisha na kumuidhinisha Daktari Mama Samia Suluhu...
0 Reactions
78 Replies
2K Views
Kamanda wa Polisi wa Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro amesema kauli mbiu ya No Reforms No Election inayitumiwa na CHADEMA, haipo kisheria na haiwezekani kabisa. Ameyasema hayo leo...
1 Reactions
34 Replies
2K Views
Wakuu, Muliro anatema cheche muda huu. Yuko live Anasema ni ngumu au highly improbable kwa CHADEMA kuzuia Uchaguzii maana kufanya hivyo ni kwenda kinyume na Katiba...
2 Reactions
61 Replies
3K Views
Vyombo vimezibwa mdomo vinaamriwa nini vijadili na nini viandike!! Maskini Nchi yangu!! Najiuliza mtanziko kama huu ungekuwq Kenya vyombo vya habari vingefanya namna gani!
16 Reactions
55 Replies
3K Views
Natoa tu angalizo kwa mgombea Urais wa Chadema Mh Tundu Lisu asiwaamini wapambe wanaotaka kupata Ubunge kupitia Nyota yake Naona Chadema wana mipango ya kurudi uchaguzini ndio nikamkumbuka...
-1 Reactions
31 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…