Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Siku km mbili tatu kumekuwa na kamata kamata ya wahamiaji haramu wengi sana, ni vipi mipaka yetu hailindwi? Wahusika wako wapi, jeshi la uhamiaji imeenda likizo? Mipaka yetu hailindwi? Usalama wa...
5 Reactions
37 Replies
2K Views
Ndugu wananchi ninapohitimisha napenda kutoa wito na maelekezo yafuatayo kwanza tubadili mtazamo na namna tunavyofanya kazi na kupimana kwani dira 2050 imeweka lengo na shabaha kubwa kufikia...
2 Reactions
15 Replies
569 Views
Raisi akikaa miaka 10 lazima aondoke Hili liende hadi kwa mawaziri na wabunge Kama mtu kakaa bungeni miaka kumi iwe kwa kuchaguliwa au viti maalumu au alikuwa upinzani kama mbunge akaja CCM...
0 Reactions
5 Replies
318 Views
Alhuda Newspaper 17/07/2025 Afrika, Waafrika wajiulize kulikoni • Uzalendo umeondoka, kutumiwa kumetamalaki, uzezeta unachomoza • Utovu wa nidhamu, chuki, ubaguzi miongoni mwa vijana na...
0 Reactions
3 Replies
324 Views
Hii si ya Kukosa Wakuu!!. Wekeni Bando , Samia angekua na namna anataman hata siku hiyo Intaneti izimwe !!. Taarifa zinasema ,Polepole ,Mtumishi wa Mungu asipenda kushiriki Dhambi anaenda...
51 Reactions
113 Replies
7K Views
Yona kwenye Biblia aliambiwa na Mungu nenda Ninawi kahubiri huko watu watubu yeye akaona Ninawi nchi maskini sadaka na mafungu ya kumi na pesa hakuna akaamua aende Tarshishi kwa matajiri...
0 Reactions
3 Replies
182 Views
Wakuu Polepole kaahirisha Mkutano wa Kesho kuipa Nchi usikivu juu ya Uzinduzi wa Dira ya Taifa !! Uzalendo ndio huo, sio kwamba kaahirisha kwakua anamuogopa Rais SAMIA , La hashaa !! Kaarisha...
8 Reactions
35 Replies
2K Views
Prof Kitila UVCCM Waitara UVCCM Dr Mollel UVCCM Chadema asiyekuwa mwanaccm yawezekana na Tundu Lisu tu aliyeingia CCM kukidhi takwa la kikanuni la kujiunga JKT Enzi zetu Kwahiyo Prof...
-1 Reactions
0 Replies
185 Views
Jana EU walikuwa na kikao kwenye bunge lao. Walijadili tawala za kidikteta hapa Africa. Kwa upande wa Tanzania, kumbe Mwigulu Nchemba alidanganya Taifa kuwa Tanzania tutajighalamikia uchaguzi...
17 Reactions
39 Replies
2K Views
Team Kanukuu mambo mengi Amani ya nchi Usalama wa nchi Kuwekeza ktk raslimali watu Sekta ya viwanda kupewa kipaumbele Utekelezaji wa mipango badala ya kubaki na makablasha ya mipango makabatini...
4 Reactions
30 Replies
1K Views
🗣️Tulifuta ujinga tukiwa na chuo kikuu kimoja, lakini hivi sasa tuna vyuo vikuu zaidi ya 50 lakini tuna wajinga wengi.
7 Reactions
6 Replies
529 Views
Hii ilipitishwa pale Ndanda baada ya Shujaa Magufuli kumuuliza Cecil Mwambe imekuwaje yuko Chadema ilhali muonekano wake ni wa kiccm kabisa Cecil Mwambe huku akilia machozi alielezea jinsi...
1 Reactions
5 Replies
457 Views
My Take Kutokana na hulka ya ubinafsi na wivu wa kipuuzi wa mtu mweusi ndio maana Yuko tayari kumfaidisha Mchina ,Mhindi au Mwarabu at the expense ya mweusi mwenzie...
1 Reactions
14 Replies
524 Views
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimesema mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu anayeshikiliwa na polisi mkoani Ruvuma yupo njiani kusafirishwa kwenda jijini Dar es Salaam. Lissu...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
KUUZA LANGO LA UCHUMI WA NCHI AU KUTAFUTA WANAHISA NI USALITI MKUBWA KATIKA KUVUNJA KATIBA YA NCHI: BANDARI NI MALI ZA WATANZANIA WOTE HATUNA WANAHISA (SHAREHOLDERS) NA HATUHITAJI WANAHISA...
5 Reactions
28 Replies
3K Views
Katiba yetu inasukuma mbele utekelezaji wa Dira ya Taifa 2025? Je, Katiba yetu inadumisha amani na utulivu, nguzo kuu ya dira 2050? Je, katiba yetu inawawajibisha wavivu na wezi wa rasilimali...
0 Reactions
0 Replies
239 Views
Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) Deodatus Balile, amesisitiza umuhimu wa vyama vya siasa nchini vyenye kushiriki uchaguzi mkuu kuwa na ilani za uchaguzi zenye kuakisi malengo na...
0 Reactions
3 Replies
516 Views
Wakuu, Kupitia ukurasa wake wa instagram Askofu Gwajima ameandika kuzungumza na vyombo vya habari leo Julai 16, 2025 saa saba mchana Je leo atatoa povu gani kwa umma...
25 Reactions
236 Replies
18K Views
Tunasoma katika Mithali 29:18 "Pasipo maono, watu huacha kujizuia" Huu ni ukweli usiopingika linapokuja swala la maendeleo ya mtu mmoja mmoja au taifa kwa ujumla. Eneo moja lililotughalimu kama...
0 Reactions
1 Replies
289 Views
Asalam aleykum, kwa Waislam wenzangu. Ninaandika haya kwa masikitiko makubwa, hii ni sababu tangu Bwana Wegesa, au maarufu kwenye siasa zake uchwara akiitwa Heche. Mtu huyu, kwa taaluma...
1 Reactions
275 Replies
7K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…