Muda mfupi baada ya Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana wa Chama cha ACT Wazalendo, Abdul Nondo kuchukua fomu ya kugombea ubunge Kigoma Mjini, kada wa CCM, Clayton Revocatus Chipando maarufu Baba Levo...
Mzee Kikwete alikuwa vizuri sana kupangilia vitu vya kuongea hakuwa mropokaji na mtu kwa watu. Alijua kudeal na mtu siyo watu! Yaani kama issue ya Gwajiboy, yaani waumini wala asingewapiga mabomu...
Wakuu!
Hili la Haji Manara na mke wake wa zamani Rushaynah "kujifanya wamerudiana" linapaswa kuangaliwa kwa jicho la pili.
Ni kama sehemu ya mkakati wa kupotosha fikra za Watanzania na kuwatoa...
Sikuwa namtilia maanani sana msanii huyu awali lakini baada ya kumsikiliza nimegundua ana akili sana tofauti na wanavyo mchukulia watu wengi.
Mwishoni mwa mahojiano yake katoa ushauri Kwa Makonda...
Kwenye Moja ya maelezo yake kwenye kile alichokuwa anakiita "shule ya uongozi" Balozi Humphrey Polepole aliwahi kusema kuwa wahuni wanaweza kuipiga kopi Serikali.
Hivi Serikali inawezekanaje...
Nabii Denis Asema :Watanzania hamtalia tena, Mwakani Kuna Sura mpya za Uongozi, Kuna Matukio yataendelea kutokea kwakua Mungu kawakumbuka Watanzania
https://youtu.be/-V_qMCCuYFE?si=gVQU5_fSwHiIgutx
Kuna wakati huwa najiuliza namna akili ya Polisi wetu wa Tanzania inavyofanya kazi nashindwa kabisa kuwaelewa.
Nikisema siku nikimkamata mtu anataka kumdhuru Raisi Samia kichwa chake halali...
Siamini kama fedha inaweza kununua ubunge, 2015 kulikua na mtu anajiita ‘wa soda kubwa’ alikua anatoa sana fedha lakini nilipata kura nyingi na yeye hakufika hata nusu yake,” Mbunge wa Ilemela...
Mkuu wa Wilaya ya Nyasa Mkoani Ruvuma Peres Magiri akizungumza na Wajumbe na baadhi ya WanaCCM kuhusu mchakato wa Ubunge katika Jimbo la Nyasa Mkoani Ruvuma.
Amesema walipokea takribani majina ya...
Lisu ni kiongozi wa Chama cha watu wa nje sio watanzania
Tofauti ya Chadema na vyama vingine vyote vya siasa Tanzania ni hizi
1. Vyama vingine vyote vya siasa vinawaamini watanzania .Chadema...
Kwa mara nyingi sana tumeandika humu kuhusu Uongozi wa CCM unavyoivunja na kuidharau Katiba yetu ila kila siku mmekuwa kimya.
Wameweka bungeni wabunge wasio na vyama baada ya kufukuzwa uanachama...
Kwani mkiishia kusema NO REFORM NO ELECTION haitotosha mpaka mnataka mniue na mimi !!!😱
Wanachadema punguzeni jaziba , sis sote ni watanzania sema utofauti ni upande wa kiganja tunapo pokelea...
Kiukweli kipindi huyu kijana akiwa mkuu wa wilaya alionyesha Kiburi kikubwa sana. Utendaji wa kibabe, Mabavu, jeuri na dharau .
Sitasahau siku aliyomuonyesha dharau ya wazi yule Mama aliyekuwa...
Muda huu Chombo cha Habari cha ITV wameripoti kuhusu Tume ya Uchaguzi kuwataka Watendaji kuzingatia Sheria.
Kilichonifurahisha ni maoni ya Watanzania kwenye post hii. Angalia mwenyewe...
Mratibu wa Uchaguzi na Kampeni wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) Kanda ya Serengeti Catherine Ruge ametangaza kupatikana kwa watia nia wa ubunge katika majimbo yote 10 ya mkoa wa Mara...
DAR. Mkurugenzi wetu wa Mawasiliano na Uenezi, Brenda Rupia, pamoja na Mtaalamu wa Rasilimali, Miradi na Uwekezaji Leonard Magere, wameachiwa kwa dhamana na Jeshi la Polisi na wametakiwa...
Akizungumza katika mkutano wa hadhara uliofanyika viwanja vya Matangini, Mlimba – Morogoro, Suzan Kiwanga alisisitiza kuwa haoni sababu ya chama tawala kuachwa kipite bila kupingwa, akisisitiza...
Kama kuna mambo yanakera na kuumiza ni kumuita mwanamke Malaya! Ndugu zetu wa CCM baada ya kuzidiwa points wameamua kuhamia kwenye matusi.
Huyu ni Mwakilishi wa CCM ngazi ya Wilaya huko Tarime...
Mtume (SAW) alisema:
"Majaji wako wa aina tatu: mmoja ataingia Peponi na wawili wataingia Motoni. Yule aliyejua haki na akaihukumu kwa haki, huyo yuko Peponi. Yule aliyefanya hukumu bila elimu...
Mbunge wa zamani wa Jimbo la Kilwa Kusini mkoani Lindi, Suleiman Bungala maarufu kwa jina la "Bwege", ametoa wito kwa Serikali ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuketi na vyama vingine vya siasa ili...