Ni wazi kwamba mambo si shwari ndani ya Chadema. Hiyo ni kutokana na kuibuka kwa kundi la G55 linalohusisha makada wa chama hicho wakipinga kampeni ya No Reforms No Election inayoendelea.
Kwa...
Kamati ya Siasa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Simiyu imeeleza kutoridhishwa na kasi ya ujenzi wa Chuo cha Ufundi Stadi (VETA) kinachojengwa katika Wilaya ya Busega kwa gharama ya Sh 1.48...
Watanzania wote tumepigwa na butwaa hii tabia mbaya ya kidikteta inayoota mizizi kwenye chama cha Chadema.
Baada ya kuwafunga midomo wanachama wa Chadema wasitoe maoni wala mawazo mbadala kwa...
Wakuu huyu Joram Nkumbi ulumbi wa lugha umemshinda sasa amegeukia kuwa chawa wa CCM. Amesimama jukwaani anamnadi Dkt. Nchimbi kwa Wananchi.
"Mbele yetu yupo katibu mkuu wa Chama cha Mapinduzi...
Usiku wa Aprili 07,2025, Wananchi wa kijiji cha Msanga kata ya Mitesa, Jimbo la Lulindi Wilaya ya Masasi mkoani Mtwara, wameuzuia nsafara wa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara John Heche, ambao...
Wakuu,
Mambo yanazidi kunoga huko, mtifuano juu ya mtifuano😂😂.
Leo kwenye press ya CCM B a.k.a G55 Mrema alisema kaulimbiu ya No Reforms ilianza toka 2020 lakini haikuwa na kipengele cha No...
Akizungumza kupitia Clouds FM, Julius Mwita aliyekuwa Katibu wa Sekretarieti ya CHADEMA amesema
"Kwenye tume ya uchaguzi mbaya kabisa mwaka 2000, CHADEMA ilipata viti Vinne vya ubunge na majimbo...
G55 wanaanza press conference yao muda SI mrefu ila kama lengo lao kubwa ni kukwamisha kampeni ya NO REFORM, NO ELECTION kuweni makini, yatawatokea puani.
Hawa G55 walikuwepo kwenye kikao cha...
Asubuhi hii Mwenyekiti wa Chama Taifa Mhe. Tundu Lissu akiwasalimia wananchi wa kata ya Mangaka, Jimbo la Nanyumbu akiwa njiani kuelekea Namtumbo kuendelea na Operesheni #NoReformsNoElection.
Licha ya serikali kuboresha huduma ya maji safi hadi vijijini, wananchi wa Buchosa wameiomba serikali kupunguza gharama ya kuunganishiwa maji majumbani, wakisema kuwa ni kubwa na imekuwa kikwazo...
Aliyekuwa Katibu wa Sekretarieti ya CHADEMA, Julius Mwita, amewapongeza Tundu Lissu na John Heche kwa ujasiri wao, akisema ni viongozi wanaoweza kuleta hamasa kubwa wakati wa uchaguzi. Akizungumza...
"Kwenye madhumuni ya uchumi yapo mambo 11, sisi CHADEMA kwenye uchumi inasema matumizi Bora ya rasilimali za Taifa katika kuwafanya Watanzania mmoja mmoja awe na uchumi wa kumuwezesha kuendesha...
Tuache namna Wananchi wanavyoipokea vizuri kabisa kampeni ya No Reform No Election kwenye mikutano inayoendelea kuanzia Kanda ya Nyasa na sasa Kanda ya Kusini.
Kuna namna Mungu anafanya jambo...
Chama cha ACT Wazalendo kimeainisha hoja sita muhimu ambazo kinasisitiza kuwa utekelezaji wake na Serikali pamoja na Tume ya Uchaguzi ni msingi wa kujenga mazingira ya kuaminiana kuelekea Uchaguzi...
Aliyekuwa Katibu wa Sekretarieti ya CHADEMA, Julius Mwita, amewapongeza Tundu Lissu na John Heche kwa ujasiri wao, akisema ni viongozi wanaoweza kuleta hamasa kubwa wakati wa uchaguzi. Akizungumza...
Katika siasa za Tanzania, vyombo vya habari vina nafasi kubwa ya kuathiri mitazamo ya wananchi. CCM imekuwa na ushawishi mkubwa juu ya baadhi ya vyombo hivyo, hali inayodhoofisha upinzani. Kwa...
Pamoja na kuthibitisha kushiriki uchaguzi mkuu wa 2025, Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma) kimependekeza na kuishauri Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) baadhi ya mambo ya kufanyiwa...
Viongozi wa dini mkoani Kagera wamelaani na kukemea vikali kauli ya Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Tundu Lisu aliyoitoa akihamasisha uasi na kuvuruga uchaguzi mkuu ujao...
Katika kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka 2025, ni muhimu kwa jamii yetu kuangazia na kukumbuka urithi wa viongozi wetu, hususan Rais John Joseph Magufuli.
Tunaiomba serikali, vyombo vya habari, na...
Kiukweli hili ni kundi kubwa sana sema kisiasa Wapinzani hawalipi Umuhimu unaostahili.
Kundi hili limeathirika kwa muda mrefu sana toka kipindi cha Magufuli takribani Miaka 10 kuna watu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.