Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo ambaye pia ni Msemaji wa Serikali, Gerson Msigwa akifanya mahojiano na Bongo FM leo Mei 15, 2026
Mwandishi: "Kwenye hili swala la...
Ndugu zangu Watanzania,
Soma hapa ujumbe wa Mheshimiwa Stephen Wasira Makamu Mwenyekiti wa CCM
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira amesema kabla ya...
"Wamesema vifo na vilitokea vipi... mimi naamini vifo vilikuwa vingi zaidi kuliko wanavyosema. Lakini wanasema kulikuwa na vitendo vya uvunjaji wa sheria, na wanapendekeza iundwe tume nyingine...
Wakuu, baada ya kelele nyingi mtandaoni, Jeshi la Polisi Ofisi ya Chang'ombe limemwachia Fortunatus Buyobe kwa dhamana.
Enyi jeshi la Polisi msiosikia, mbona mmegoma kuwa wastaarabu na kufuata...
Wakuu,
Baada ya wananchi kuwakataa waandishi wa habari sasa relikali inakuja na mbinu ya kuwarudisha wakongwe ili kurudisha imani na kuendeleza uchawa? Miaka tu ya wao kuwa kazini inatosha wao...
https://youtu.be/0niFxKMdOSI?si=AQnb1lDVaELvbk05
ANASEMA:
Nchi hii si mara ya kwanza kushuhudia ukatili na mauaji ya watu (raia) wasio na hatia uliofanywa na vyombo vya ulinzi na usalama chini ya...
Mwenyekiti wa Chama cha ACT-Wazalendo ngazi ya Taifa, Othman Masoud Othman, amesema kuwa kile kilichofanyika nchini katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025 haikuwa uchaguzi, bali ilikuwa ni "upangaji...
Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mnyika, leo Mei 16, 2026 akiwa Katoro amesema;
"Niseme mambo machache mawili tu. Moja, niseme ni kweli tumeandikiwa barua hiyo na...
Wakili Peter Madeleka amesema Jaji Shande anaeleza ukweli kuhusu madai ya jaribio la mapinduzi lililoratibiwa, kufadhiliwa na kutekelezwa, ingawa hakufafanua waliohusika moja kwa moja. Amesema...
Wakili Peter Madeleka akiwa kwenye Mjadala wa Kitaifa kuhusu hatma ya Nchi uliofanyika leo Mei 16, 2026 amesema;
"Nchi yetu ipo kwenye msiba. Na kwa mara ya mwisho tangu mwaka 1907... mwaka 2025...
Akizungumza leo Mei 16, 2026, Katika Mjadala wa kitaifa kuhusu mwelekeo na khatima ya Tanzania, uliokusanya makada na viongozi wa chama hicho, wasomi, wanadiplomasia na waandishi wa habari jijini...
Mwenyekiti wa Chama cha ACT-Wazalendo ngazi ya Taifa, Othman Masoud Othman, Othman, leo Mei 16, 2026, jijini Dar es Salaam, akizungumza katika Mjadala wa Kitaifa kuhusu Mwelekeo na Khatima ya...
OFISI YA MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA IDHIBITIWE KABLA HAIJASABABISHA MAAFA KWA MARA YA PILI.
Tumeshauri sana na tunaendelea kushauri. Ofisi ya Msajili wa Vyama ndiyo chemichemi ya vurugu za...
Uchunguzi wa Tume umebaini kuwa vijana wengi walidanganywa na kushawishiwa kushiriki ghasia baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025.
Baadhi ya wanasiasa na wanaharakati walitumia mitandao ya...
Kamati ya Bunge ya mambo ya Nje ya Bunge la Ulaya imepiga kura ambapo kura 53 zimeunga mkono pendekezo la kusitisha Euro Milioni 156 kwenye mpango kazi wa Tanzania kwa mwaka 2026 huku kura mbili...
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi, Kenani Kihongosi amesema Chama hicho hakijawahi kukosea na kwamba maamuzi yote yanayofanywa ndani ya...
Kuna msemo wa wenzetu wa kusini usemao, "kukaa nchale, kusimama nchale." Kwa maoni yangu hapo ndipo tulipofikia sasa baada ya ripoti ya Jaji Chande.
Kama umepata nafasi ya kumsikiza Jaji Chande...
Sheikh Ponda Issa Ponda akizungumza katika kipindi cha Kasri cha Crown FM amesema uchaguzi wa mwaka 2025 ulionekana kuwa ni wa kati ya Jeshi la Polisi na vyama vya upinzani, akidai kuwa vyombo vya...
Je Kukataa wito wa tume ya uchunguzi wa matukio ya oct.2025, kuna dhihirisha ukweli juu ya ushiriki wao katika kuchochea vurugu na ghasia hizo za oct.2025?.
Sote ni mashuhuda wa namna viongozi wa...
Hizo ni sauti za wanawake wakisema hawataki fidia wanataka watoto wao waliouawa kwenye Uchaguzi Oktoba 29, 2025 na baaada ya Uchaguzi,
kifupi mgeni hataki soda anataka 700 yake
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.