Wakati wewe unaimbishwa wimbo wa "OKTOBA TUNATIKI" mnao waimbia wako busy kujiwekeza kiuchumi wao na watoto wao pamoja na familia zao kwa ujumla kupiti mgongo wa ninyi mnao imbishwa huo wimbo...
By the way kila Binadamu ana ukichaa fulani ndio sababu hata Adam mwenyewe alilishwa na Hawa kwa ushirika wa shetani lile tunda ambalo Mungu wa mbinguni alimkataza asilile na atakapokula atakufa...
Mashekh wetu wao wana Mchango gani kuhusu nchi yetu.?
Ni nadra Sana umkute Shekh anapambania mambo ya msingi ya nchi .
Inawezekana Mashek ni rahisi kutekwa na wanasiasa. hii inaweza kuchangiwa...
Ruto kampa live Samia kuhusu maandamano
Niongezee hili la imani
Mwanzo 9:6 BHND
Share
Amwagaye damu ya binadamu, damu yake itamwagwa na binadamu; maana binadamu aliumbwa kwa mfano wa Mungu.
Ukiwa huku mtaani Vijana wa CCM wanadhani Chama chao ndicho "Chama Tawala".
Chama kama taasisi haiishii tu kwa watu, bali Ilani, sheria, kanuni, taratibu na miongozo ya chama, kisha Wanachama na...
Siku Moja baada ya mgombea mwenza wa CCM Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi kutoa kauli ya 'kumtaka' Luhaga Mpina kurejea kwenye chama hicho kutoka ACT Wazalendo aliko hivi sasa, Mpina amesema vigogo wa...
Naam.....sio kwa kauli yangu bali ya kwake Lema Mwenyewe.
=====
Lema: Magufuli alipoondoka tu nikampigia Rais Kikwete simu, nikamwambia mheshimiwa mwendazake kashatembea, ongea na mama mimi...
Wakuu
Nimepitia page ya mange kiukwel kama mtanzania mzalendo nafsi inaniuma sana yn watu wanajikusanyia ukwasi wa hali ya juu
Watanzania wanateseka barabara mbovu,hospital hakuna dawa,usafiri...
Moja kati ya mambo yanayokera katika nchi hii ni changamoto ya kukatika kwa umeme.
Nakumbuka nikiwa kule kusini mwaka jana, nikiwa kwenye hotel Moja, umeme ukikatika ghafla. Pembe yangu kulikuwa...
Happy Wednesday Guys,
Niende kwenye Mada Kwa ufupi (remember this article is full of figures of speech for a purpose)
Nimewaza kwa kina sana tena sana kuhusu hiki kikundi cha Utekaji na Kuua -...
Chini ya Rais Samia Wanachama wapya 900,000 wamejiunga na Mifuko ya Kinga ya jamii.
Kutokana na usimamizi na maelekezo ya Rais Samia utekelezwaji wa Sera ya Taifa ya Kinga ya Jamii ya Mwaka 2023...
Wakati wa mchakato wa kutia nia kwa wana CCM kuomba kugombea ubunge kwa majimbo mbalimbali ya Tanzania, mwana-CCM Alex Msama Mwita alikuwepo akilitaka Jimbo la Ukonga ambalo lipo jijini Dar es...
Edward Kakwale ambaye ni Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM Taifa kutokea Wilaya ya Momba Mkoani Songwe kutokana na Rais Mstaafu wa awamu wa nne Dkt. Jakaya Kikwete kujibu hoja ya Polepole siku ya...
Kinachosababisha watu wampuuze Polepole kile anachokisema kuhusu siasa ni ile historia yake ya kuwa kiongozi muhimu wakati wa serikali ya Magufuli. Polepole angeweza kumshauri Magufuli aandike...
Mjadala kuhusu bei ya gesi ya majumbani nchini Cuba umeendelea kuchukua sura mpya baada ya kurushiana maneno kati ya mwanahabari na mchambuzi wa siasa Ezekiel Kamwaga na aliyewahi kuwa Balozi wa...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi amesema mafanikio makubwa ya maendeleo yaliyopatikana katika uongozi wa awamu ya Nane yamechangiwa na kudumu kwa...
Kwa mawazo yangu nafikili nch tutakuja kua huru pale taasisi mbili muhimu zitakapokuja kupata viongozi wenye akili na wenye kujielewa. Wenye kujali maslai ya taifa zaidi kuliko kujali maslai yao...
Dar could buy Dowans under proposed law
Tanzania has come up with a Bill, the proposed Public Procurement Act, 2010, that if passed by parliament, will pave the way for the amendment of...