Sheikh Ponda ameeleza kuwa watawala nchi hii wamekaa madarakani zaidi ya miaka 60 wamefikia hatua wanaona kuwa hii nchi ni mali yao.
Ameeleza kuwa ni muhimu kufanya mabadiliko kama mataifa...
Wakuu ,unaweza jiuliza ,tuna USALAMA WA TAIFA KWELI? Yaan Taasisi nyeti inayomlinda Rasilimali za Nchi?.
Fikiria, Serikali imeshapata Pesa za kununua Hisa za Mgodi huo, Kisha Mamlaka ya Juu...
Kuna DHULUMA kubwa sana CCM wamewatendea wananchi.
Msikilizeni alichokisema huyu Shekhe wa Kilwa Kivinje ktk mkutano wa Chadema.
Kwa kweli Reforms,haswa katika masuala ya uchaguzi, haziepukiki...
Hii ndio Taarifa ya Sasa
AyoTV imepokea barua kutoka kwa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA ) ikitaka Chombo hiki cha habari kuondoa maudhui yaliyochapishwa May 24 2025 yakihusisha nukuu ya...
Mfanyabiashara maarufu nchini Rostam Aziz akihojiwa na kituo cha Azam cha UTV amesema mtandao ni kitu cha kawaida kwenye uchaguzi. Amesema uchaguzi wowote hata kama ni wa Diwani, Mbunge au Rais...
Polepole anasema japokuwa hiki ni kipindi cha kampeni lkn Lumumba pamepoaaa na makao makuu ya ccm taifa pale Dodoma pia pamepoaaa!!!
Harakati zinafanyika kwenye ofisi za familia ya rais, moja...
Mwenyekiti wa CCM mkoani Njombe, Deo Sanga amesema Humphrey Polepole amechanganyikiwa kutokana na utendaji mzuri wa Rais Samia Suluhu ambao hakuutegemea.
Akiongea leo Septemba 05, 2025, mjini...
Mgombea wa kiti Cha Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi(CCM)ambaye pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema kuwa Serikali inaenda kufanya tathimini ya...
Jamani thinking tank ya CCM haipo? au kama ipo inauwezo mdogo sana wa kufikiri !
Ina maana wao hawaoni kuwa Samia amepotea kiasasa juu ya No Reform No election, pamoja na kumkamata Lissu na...
Wakuu,
Kupitia mitandao ya kijamii, chama cha ACT Wazalendo wamedokeza kuwa leo wana jambo lao zito ambalo wanataka kuwawasilishia wananchi.
Ni jambo gani? Fuatilia uzi huu, ujue nini...
Waziri wa Maji Jumaa Aweso ametembelea na kukagua ujenzi wa Miradi ya Majisafi katika Kata ya Nala na Nkuhungu ili kuona maendeleo ya ujenzi wa miradi hiyo.
Katika ziara hiyo Waziri wa Maji...
Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, Kenan Kihongosi amesema wanaohamasisha maandamano wana mahali pa kukimbilia vurugu zikitokea, hivyo amewasihi wananchi kutowasikiliza.
Mbunge wako ameshawahi kuwasilisha hoja kama hizi bungeni?
Huyu ni mmoja wa aliyewahi kuwa mbunge katika bunge la kenya miaka iliyopita na hapa alikuwa akiwasilisha hoja zilizolenga kuboresha...
Sasa hivi kila mkoa na wilaya wakuu wa wilaya sijajua ni maagizo au vipi wana kundi la vijana wanaita jeshi la akiba hao vijana wanapatiwa mafunzo ya kijeshi kabisa na wakufunzi wa jeshi sasa sote...
Kampeni zao zimedorola hazina mvuto. Na hawafuatilii kampeni zao kabisa ila labda kama kuna tukio kama ile ajali ya Lori na wafuasi wao Morogoro.
Kwa ujumla hakuna upinzani.
Swali la msingi ni...
Wakuu!
Nimekuta na hii Video ikimuonyesha mmoja wa walinzi walioambatana na Rais Samia ameanguka ghafla wakati Rais anawasili kwenye mkutano wa kampeni Mbalizi mkoani Mbeya asubuhi ya leo.
Kauli Mbiu ya Maadhimisho Miaka 61 ya Muungano
"Miaka 61 ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania: Muungano Wetu ni Dhamana, Heshima na Tunu ya Taifa: Shiriki Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025".
Kwa sababu tumewekeza heavily kwenye kulalamika basi hakuna kitu kitakacho badilika katika hii nchi na hakuna mageuzi yalio wahi letwa kupitua kulalamika, labda ianzuea Tanzania na wengine waje...