Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mgombea urais wa Zanzibar kupitia Chama cha ADA-TADEA, Juma Ali Khatib, amesema chama chake hakina dhamira ya kumpinga Rais wa sasa, Dk. Hussein Ali Mwinyi, bali kinalenga kupata nafasi ya Makamu...
0 Reactions
3 Replies
402 Views
Pole pole anadai membe alipatikana na tuhuma hizo nzito, tena dhidi ya JPM ambaye alikuwa hafikiri mara mbili. Eti kwamba alipanga kumuua, imagine upange kumuua JPM, ajue halafu akufukuze tu CCM...
7 Reactions
72 Replies
3K Views
Nauliza tu maana kwa huku Tanganyika mbunge anayetegemewa ni Zitto Kabwe pekee Ahsanteni sana
0 Reactions
1 Replies
190 Views
Moja kati ya falsafa kwenye medani za vita ni kukimbia ukiona unaelekea kushindwa kuliko kuendelea na kuishia kusambaratishwa. If you run away, you have lost the battle, not the war. Kwa sababu...
1 Reactions
5 Replies
701 Views
Habari wanajamvi. Nimeona nilete habari ya Mhudumu huyu wa kanisa katoliki ambaye kwangu mimi namuona akiuishi ukatoliki wa kweli na mwenye kuendelea kutukumbusha maana halisi ya wito. Japo media...
1 Reactions
24 Replies
1K Views
CCM imemteua Dk Asha Rose- Migiro, kuwa Katibu Mkuu wake kuchukua nafasi ya Dk. Emanuel Nchimbi, Mgombea Mwenza wa Mama Samia. Aidha Chama hicho kimemteua Kenani Kihongosi, Mkuu wa Mkoa wa Arusha...
7 Reactions
61 Replies
4K Views
“Siasa siyo nguvu ya misuli, bali ni busara ya akili. Haitaki mkurupuko, bali inahitaji utulivu na subira. Haitaki ufuate upepo au uongozwe kiholela, bali inataka uzingatie miongozo na kanuni...
1 Reactions
1 Replies
365 Views
Mgombea Urais kwa tiketi ya CUF Gombo Samandito Gombo anasema wananchi hawapaswi kukata tamaa na wanapaswa kwenda kupiga kura na kuchagua serikali itakayo rekebisha matatizo yanayowakabili.
2 Reactions
2 Replies
331 Views
hapa zamani kidogo nchi ya lebanon huko uarabuni ilikuwa ni majority Christian na pia ya kidemokrasia, leo hii ni majority muslim ... https://www.youtube.com/watch?v=XdmCH9WC1kA
0 Reactions
1 Replies
382 Views
Watanzania tumekuwa kama bendera fuata upepo,hatujipi muda wa kutafakari mambo kwa kina mbaya zaidi tumekuwa tukifurahia kusikia maneno tunayotaka sisi kusikia yawe ya kweli au yasiyo ya kweli...
0 Reactions
0 Replies
147 Views
Tunamshukuru sana Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kututembelea Chamwino leo tarehe 31 Agosti 2025, na kutupa matumaini pamoja na dira ya maendeleo. Tunaendelea kukuuombea kwa Mwenyezi...
0 Reactions
1 Replies
342 Views
Hivi kama wasingetoa haya magari ya bure unahisi huyu jamaa angetumia usafiri gani katika kampeni? 😂
1 Reactions
7 Replies
957 Views
Mgombea Urais kwa tiketi ya CUF Gombo Samandito Gombo anasema serikali yake itahakikisha kuna kodi moja tu kwa kila mtanzania na hakwamba kitambulicho cha NIDA kitatolewa siku moja mtoto anapozaliwa.
1 Reactions
2 Replies
310 Views
Mimi binafsi ulichokifanya kina matashi mema! Kina baraka za Mungu na wote wanaoipenda nchi yetu Tanganyika/Tanzania. Ukiacha vumbi lenu ndani ya CCM, ingawa linatugusa wote kwa sababu mnamiliki...
1 Reactions
4 Replies
450 Views
Mheshimiwa Nusrat kwa namna anavyokubalika duniani. Kura zote ni kwake Tu. Kidumu Chama Chetu
5 Reactions
38 Replies
3K Views
Wanashindana peke yao,walichoongeza ni kutoka kusomba watu kwa malori wametumia mabasi na treni,hata kama wameumganisha mawaya. Ndani kutoka Sauti ya polepole.
4 Reactions
8 Replies
456 Views
Watanzania. Kuweni makini. Huyu mgombea wa CCM hajawahi kutamka neno rushwa na ufisadi uliokithiri katika nchi yetu. Mnakwenda kumchagua ki vipi? Wote Hawa mgombea na mwenza wake wamechora ramani...
4 Reactions
4 Replies
404 Views
TUMSIKILIZE POLEPOLE, LAKINI TUSISAHAU. Enzi zile za Magufuli, Watu kama Jakaya walionekana ni Watu wazuri sana. Kwa sababu Jakaya alikuwa nie ya Mfumo ambao 'ulichukiwa na wengi na kupendwa na...
9 Reactions
15 Replies
1K Views
Petro alipomkana Yesu wale Wayahudi wakamwambia ‘ hata kuongea kwako na kutembea kwako unafanana naye’ Matendo Pamezuka mjadala mkubwa kuhusu Shujaa Magufuli baada ya Polepole kuongea mambo...
1 Reactions
0 Replies
140 Views
Ukweli waweza kuwa mchungu, lakini ndio ukweli hata kama hatuupendi. Na ukweli mchungu mojawapo kwa Balozi Polepole na wenzake, ni kuwa Dr. Samia ndio mgombea wetu wa urais. Mwalimu alituasa wana...
5 Reactions
44 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…