Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Tamko Kuhusu Matukio ya Ukiukwaji wa Haki za Binadamu Wakati wa Uchaguzi Mkuu wa 2025 (29 Oktoba hadi 04 Novemba) 1.0 Utangulizi Tamko la Mtandao Wa Watetezi Wa Haki za Binadamu Tanzania na...
3 Reactions
0 Replies
407 Views
Jeshi la Polisi Tanzania limetoa Taarifa kwa Umma likisema kuwa, Kufuatia maelekezo yaliyotolewa jaan tarehe 3.11.2025 na Mhe. Rais na Amiri Jeshi Mkuu Samia Suluhu Hassan, Amri iliyokuwa...
2 Reactions
27 Replies
998 Views
Katika jambo ambalo halikutarajiwa katika jimbo la Ukonga na wachunguzi wengi na watafiti wa siasa ni kitendo cha Mhe.Jerry William Silaa na aliyekuwa Waziri wa Habari Teknolojia na Mawasiliano ya...
2 Reactions
9 Replies
927 Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, leo Novemba 5, 2025, anatarajiwa kumwapisha Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Hamza Johari, katika hafla itakayofanyika saa 4:00 asubuhi...
0 Reactions
1 Replies
291 Views
Yaani kila siku tunaona maajabu ya mwaka😂😂😂. Mlianza kusema walioandamana sio Watanzania, haikutosha mkasema waliokufa sio Watanzania mkadhani wananchi ni wajinga! Video zikaanza kuibuliwa hadi na...
23 Reactions
57 Replies
2K Views
Bado tunaomboleza. Na tunatafuta miili ya ndugu zetu waliouwawa kwa risasi. Illegitimate President yuko ofisini siku ya pili. Hajajutia mauwaji aliyoyafanya. Wala kuomba msamaha. Au kuwafariji...
6 Reactions
29 Replies
1K Views
Inasikitisha sana kweli! Yaani ukipita kwenye media mtandaoni unachoka na roho yako. Vyombo vya nje vinafanya kazi ya kutuoa taarifa utafikiri wao ndio akina Azam yaani. Media zetu zimeufyata...
6 Reactions
11 Replies
327 Views
Licha ya kubeba vitambulisho vyao vya uangalizi, waangalizi wetu waliokuwa Mjini Tanga walikabiliwa na mahojiano makali kutoka kwa vyombo vya usalama, nyaraka zao rasmi zikiwemo pasipoti...
4 Reactions
1 Replies
266 Views
Hii inashangaza! Kuna wapuuzi huko mtandaoni wameanza kazi ya kusambaza ujumbe, kwa Kiswahili na Kingereza (ili kuvvutia mataifa ya nje ambayo mpaka sasa wana picha kamili ya yote yaliyofanyika...
3 Reactions
4 Replies
234 Views
Mkuu wa Mkoa wa Arusha CPA Amos Gabriel Makalla amewahakikishia wananchi wa Mkoa wa Arusha, wageni na Watalii wanaofika Mkoani Arusha kuwa hali ya ulinzi na usalama Mkoani Arusha ni shwari na...
0 Reactions
0 Replies
206 Views
Wasanii wa Bongo Flavour wameanza kutoa pole kwa familia na watu wote waliopoteza maisha katika maandamano ya kudai haki. Hata hivyo, ninaona ingekuwa vyema kama wasanii hawa wangetumia sauti zao...
1 Reactions
5 Replies
324 Views
Huyu anaitwa Kelvin Lameck alikuwa mwandishi wa radio inaitwa Baraka FM. Ameuawa akiwa kazini kufuatilia maandamano wakati wa Uchaguzi. Kifo chake kimeacha simanzi kubwa miongoni mwa familia...
11 Reactions
18 Replies
1K Views
Hili si jambo dogo kwa historia ya taifa letu. Katika tawala zilizopita, haijawahi kushuhudiwa idadi kubwa ya vifo kama inavyodaiwa kutokea katika kipindi cha utawala wa Rais Samia Suluhu Hassan...
0 Reactions
0 Replies
68 Views
Maneno yaliyopo mtaani ni kuwa kinachoendelea sasa ni kuwa polisi wanazika watu makundi kwa makundi ili kufuta ushahidi kwa yaliyotekea - mass grave, na maeneo mengine wanachoma maiti. Na hili...
1 Reactions
4 Replies
372 Views
Wakuu, Kinachofanyika sasa hivi ni kuhakikisha mawasiliano yanakata, wanafanya kila njia ili tusipate taarifa, tuwe disorganized kukataa udhalimu wa serikali hii. Tunatakiwa kufika TCRA ili...
4 Reactions
5 Replies
337 Views
Back
Top Bottom