Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mtumishi wa Mungu Mtume Boniface Mwamposa Bulldozer wa kanisa la Arise and Shine alipokuwa akitoa salamu za pole kwa wale wote waliopata madhila wakati wa uchaguzi mkuu. Pia Soma: Mtume Boniface...
3 Reactions
11 Replies
671 Views
ACA YAAHIRISHA MKUTANO WA 19 WA KILA MWAKA WA KOROSHO NA MAONESHO JIJINI DAR ES SALAAM, TANZANIA Bodi ya Wakurugenzi ya Muungano wa Korosho Afrika (ACA) imetangaza kuwa Mkutano wa 19 wa Kila...
2 Reactions
13 Replies
712 Views
Jopo la mawakili linalomuwakilisha Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA John Heche linaolongozwa na Wakili Selemani Matauka limeomba ahirisho kuhusu pingamizi lililowekwa na upande wa Jamhuri juu ya...
0 Reactions
2 Replies
245 Views
Mwanaume ambaye amekuwa akitrend kwa siku mbili mfululizo baada ya kuhusishwa na kikundi cha watu waliokuwa na silaha na wanaodaiwa kuhusika katika mauaji ya waandamanaji wakati wa maandamano siku...
4 Reactions
53 Replies
2K Views
Takwimu zinaonyesha mwenendo wa uchaguzi mkuu wa Tanzania kwa kipindi cha miaka 50, zikionyesha idadi ya wapiga kura, waliopiga kura na mgombea mshindi katika kila mwaka wa uchaguzi. Chanzo...
1 Reactions
5 Replies
478 Views
Makamu Mwenyekiti wa ACT Wazalendo - Bara, Isihaka Mchinjita emeelezea kuwa Katika Jimbo la Lindi Mjini, Vijana wa CCM walitumika kupiga mawakala wetu, kuchoma moto nyumba zao na wengine walitekwa...
1 Reactions
6 Replies
217 Views
Makamu wa Rais, Dkt. Emmanuel Nchimbi amesisitiza kuwa Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan imechukua hatua madhubuti za kulinda umoja wa kitaifa na kuhakikisha wananchi wanaishi kwa utawala wa...
4 Reactions
87 Replies
3K Views
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dkt. Hussein Ali Mwinyi amemteua tena Mhe. Hemed Suleiman Abdulla kuwa MAKAMU WA PILI WA RAIS WA...
1 Reactions
5 Replies
507 Views
Kijana huyu amesimama kizimbani akiwa na vest na boksa—baada ya kunyimwa hata ruhusa ya kupiga simu kuomba nguo za kubadilisha. Ni miongoni mwa vijana walioshtakiwa pamoja na Niffer kwenye kesi...
7 Reactions
48 Replies
2K Views
Wakuu, Mwanaharakati wa haki za kijamii na kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Godlisten Malisa kupitia ukurasa wake wa Instagram ameandika.... Sikuwa na interest ya kujadili...
4 Reactions
14 Replies
626 Views
Salamu kutoka gerezani Ukonga; Tundu Lissu yupo salama, anawasalimia wote na kuwapa pole Kwa mambo mabaya yaliyotokea kuanzia tarehe 29. Amesema CCM wanazima moto Kwa kumwagia petrol, wataungua...
5 Reactions
4 Replies
337 Views
MAKAMU mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), John Heche, amekimbizwa katika hospitali ya taifa ya Muhimbili, jijini Dar es Salaam, baada ya hali yake ya kiafya kuripotiwa...
9 Reactions
72 Replies
3K Views
Video ni Sheikh Sharif Majini siku chache kabla ya Uchaguzi, Majini anamtaka Amiri Jeshi Mkuu azime mtandao siku tano kabla ya uchaguzi. Badala ya kuhubiri HAKI, alihubiri AMANI. Ajabu Sheikh...
25 Reactions
59 Replies
2K Views
Wakuu nimekutana na andiko hili... Ni nani aliwapa ujasiri wa kuchoma mali za watu wasio na hatia?Ni nani aliwapa moyo mgumu kiasi cha kufunga barabara ambazo hata mgonjwa aliyehangaika na pumzi...
3 Reactions
25 Replies
677 Views
Baada ya vurugu zilizojitokeza kufuatia uchaguzi nchini na kupelekea baadhi ya vijana kupoteza maisha, uharibifu wa mali za umma na biashara, taasisi ya Everlasting Legal Aid Foundation (ELAF)...
2 Reactions
5 Replies
302 Views
Anandika kada wa CHAUMMA yericko nyerere....................... Kwa maoni yangu, kilichotokea 29/10/2025 lilikuwa JARIBIO LA MAPINDUZI LILILOFELI. Kila nikitazama tafsiri ya “maandamano ya umma”...
1 Reactions
34 Replies
1K Views
Mwanaharakati huru, Cyprian Majura Musiba, ametangaza rasmi kuachana na siasa na kuwataka Watanzania kutafakari upya kuhusu hatima ya taifa lao, akisisitiza umuhimu wa kudumisha amani, umoja na...
4 Reactions
35 Replies
1K Views
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Pwani na Mjumbe wa Kamati Kuu ya chama hicho Boniface Jacob (Boni Yai) muda mfupi uliopita leo, Jumamosi Novemba 08.2025...
3 Reactions
33 Replies
1K Views
Uzoefu unaonyesha CCM ni watu wa kujali sana madaraka, ila kwa haya mauaji, huenda wakajiongeza kwa wabunge baadhi yao kutangaza kujiuzulu huku Tulia akiwa wa kwanza. Mauaji haya ni wazi...
7 Reactions
61 Replies
2K Views
TAARIFA KWA UMMA Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Lindi kimepokea kwa masikitiko makubwa taarifa za uzushi na upotoshaji mkubwa zilizochapishwa kwenye mitandao ya kijamii zikielezea kuwa baadhi ya...
0 Reactions
2 Replies
319 Views
Back
Top Bottom