Thanks for sharing the frames. I’ll be careful and respectful in explaining what can be determined.
Is this AI-generated or real?
Based on the extracted frames, the video does not show typical...
Tulia Trust watoa vifaa vya ujenzi wa nyumba iliyoungua kwa moto, Kata ya Ilemi Mtaa wa Mwafute, waiomba jamii kuendelea kutoa taarifa kwa wenye mahitaji ili waweze kufikiwa pia.
Muwakilishi wa...
Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Karagwe, Benson Bagonza, amesema mazingira ya sasa nchini hayaruhusu mazungumzo ya maridhiano kufanyika moja kwa moja kwa...
Nimesikia amepanga kuonana na Maafisa wa Serikali, wawakilishi wa Mashirikia ya Kiraia, viongozi wa vyama vya siasa na wazee wa kimila, he is missing the target maana hao sio wahanga wakuu.
Dr...
Ni msemo niliuona mahali kwamba onyesha sumu yako mapema nyoka asingekuwa na sumu watu tungemgeuza kamba!
Kilicho tokea wakati wa kutangazwa mawaziri na manaibu wao alionyesha sumu yake mapema...
Neno political instability tulikuwa tunalitumia kujibu essay za bogus exams za Tanzania. Ila Sasa tunalishuhudia kwenye nchi yetu.
Uko Arusha Hali sio nzuri, wageni weeengi wame cancel safari za...
Wakuu....
Samuya alitupa kete yake kwenye hotuba ya ufunguzi wa bunge, akiamini atawatuliza wananchi wanaachane na suala la maandamano, wakubaliane na serikali ambayo hawakuichagua, maridhiano...
Kwa unyenyekevu, napenda kumshauri rais Samia, awateue Abduli na Salima Kiwete ili timu ya wateule ikamilike. Wewe unashaurije huu ufalme mpya wa Tanzania.
Katika video aliyo-post kwenye chaneli yake ya YouTube, aliyekuwa mwanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Godfrey Malisa ameeleza maazimio ya Kamati ya Kitaifa ya Kurejesha Haki na Amani...
Dkt Chakwera anaunga mkono uchaguzi batili uliofanyika hawezi kuongoza maridhiano ni maigizo.
Kama Samia ameshinda kwa 98% tuunde tume huru turudie uchaguzi sii anakubalika kwa asilimia 98%...
Rais Samia akizungumza na Waandishi wa Habari Ikulu Chamwino - Novemba 17, 2025
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ameunda Wizara 27 na kuteua mawaziri 27...
Kwa jeshi hili siku tukijichanganya kwa Burundi tutachapika vibaya mno, ndani ya masaa 8 nchi yote itakua mikononi mwa Burundi.
Wanajeshi wetu mnachoweza nikukamata vijana waliovaa sare zenu...
Samia na Kikwete kuweka watoto wao serikalini ni kutu tukana wataanzania.
Hakuna nchi ya kidemokrasia duniani iliyofanya vitu kama hivi vya matusi, kuna watu wamejimilikisha hii nchi hatutakubali.
Hawa watu ni muhimu sana kwa uchumi na maendeleo ya taifa. Sio rahisi ila wanapambana. Binafsi nina uhakika ni wafanyabiashara wachache sana nchini ambao wanafanya biashara zao pasipo kuwa na...
Gen Z wamesema mjumbe yeyote atakayekubali uteuzi ni msaliti sawa na kushirikiana na wauaji, wawe wanambea na familia zao maana watawatembelea kwenye nyumba zao au biashara zao kama...
Wakuu,
Wakati huu tumekuwa tunashuhudia matukio ambayo kwakweli haya-make sense, lakini ukiyaangalia kwa karibu, yote yanaelekea kwenye kuonyesha nchini kuna machafuko na viasharia vya hatari...
Nimesikia habari za Maridhiano na nimesikia ujio wa Rais Mstaafu wa nchi jirani kujaribu kukutana na vyama vya siasa nchini na kufanya mazungumzo ya maridhiano. Mazungumzo hayo yanatarajiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.