Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kwa ukatili kama huu na mauaji ambayo mmefanya kwa Watanzania leo mnasema mtaongoza? Mnataka kumuongoza Nani? Mnazungumza eti maendeleo ya nini? Kwaajili ya nani kama mmeua watanzania na kuwatesa...
1 Reactions
7 Replies
321 Views
KatIba ya mwaka 1977 ina-mapungufu mengi sana moja wapo ni kutokusema exactly numbe ya mawaziri na manaibu wao hii inampa Rais madaraka makubwa sana Mfano kuna one time tulishakuwa na mawaziri na...
0 Reactions
25 Replies
725 Views
Kwa muda mrefu sana, Bara la Afrika limegeuzwa uwanja wa majaribio ya diplomasia ya malaika wanaojifanya wanakuja kuleta amani, lakini nyuma ya pazia wanashughulikia maslahi yao wenyewe. Na sasa...
4 Reactions
7 Replies
255 Views
"Tunatoa wito kwa serikali na taasisi za ulinzi na usalama kutumia utaalamu busara na weledi katika kudhibiti misuguano kuepuka matumizi ya nguvu kupita kiasi, kushughulikia sababu badala ya...
0 Reactions
1 Replies
181 Views
Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo akila kiapo kuwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki.
0 Reactions
1 Replies
312 Views
Yaani, Ni mshangao kwa walio wengi. Ila, we saw it coming. Matumizi yake ili kuhakikisha Majaliwa hana nguvu sana yameisha. Siasa hizi! Na mseme kuna maridhiano?
12 Reactions
123 Replies
6K Views
Huyu ndiye anakuja kutusuluhisha. Birds of the same feather flock together. Mwaka 2020 lipoteuliwa kuwa rais kwenye baraza lake la Mawaziri aliwajaza ndugu zake huku akimteua Mtu na Mke wake kuwa...
0 Reactions
1 Replies
186 Views
Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila leo Novemba 18, 2025 amesema kuwa Serikali bado inaendelea kufanya Tathmini ya Uharibifu wa Miundombinu yake pamoja Watu Binafsi, ikiwemo madhara...
0 Reactions
13 Replies
529 Views
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ametangaza Baraza la Mawaziri huku wakiwekwa kando baadhi ya mawaziri waliokuwamo kwenye baraza lililopita. Walioachwa na wizara zao walizoziongoza kwenye...
8 Reactions
65 Replies
3K Views
Kuna Ushahidi wa polisi kufyatua risasi ovyo kwa raia baada ya hapo wakatuma meseji tusisambaze video hizo eti tunatweza utu wao na tunavunja sheria. Hivi hawa watu wana akili timamu kweli ...
7 Reactions
11 Replies
457 Views
Rais Samia akiwaapisha Mawaziri Wateule Ikulu Chamwino, Dodoma - Novemba 18, 2025 https://www.youtube.com/live/KMmk3T1ShPA?si=DJZZW4e-cy57-R7U
1 Reactions
4 Replies
299 Views
Miaka ya karibuni, Siasa za Tanzania zimekuwa zikikumbwa na mabadiliko makubwa ya kimtazamo kutokana na mfululizo wa matukio ambayo hayakupata uwajibikaji wa wazi. Tukio moja baada ya jingine...
0 Reactions
0 Replies
179 Views
Tukio la mauaji na machafuko yaliyotokea nchini Tanzania tarehe 29–31 Oktoba 2025 limeacha jeraha kubwa katika taifa. Wananchi wengi wamepoteza imani, wengine wamepoteza ndugu, na nchi imeingia...
4 Reactions
5 Replies
333 Views
Thanks for sharing the frames. I’ll be careful and respectful in explaining what can be determined. Is this AI-generated or real? Based on the extracted frames, the video does not show typical...
2 Reactions
1 Replies
297 Views
Tulia Trust watoa vifaa vya ujenzi wa nyumba iliyoungua kwa moto, Kata ya Ilemi Mtaa wa Mwafute, waiomba jamii kuendelea kutoa taarifa kwa wenye mahitaji ili waweze kufikiwa pia. Muwakilishi wa...
0 Reactions
3 Replies
298 Views
Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Karagwe, Benson Bagonza, amesema mazingira ya sasa nchini hayaruhusu mazungumzo ya maridhiano kufanyika moja kwa moja kwa...
4 Reactions
5 Replies
334 Views
Nimesikia amepanga kuonana na Maafisa wa Serikali, wawakilishi wa Mashirikia ya Kiraia, viongozi wa vyama vya siasa na wazee wa kimila, he is missing the target maana hao sio wahanga wakuu. Dr...
4 Reactions
12 Replies
464 Views
Bila kuongeza maneno mengi video na tamko la mzee Malisa hili hapa:
9 Reactions
50 Replies
1K Views
Ni msemo niliuona mahali kwamba onyesha sumu yako mapema nyoka asingekuwa na sumu watu tungemgeuza kamba! Kilicho tokea wakati wa kutangazwa mawaziri na manaibu wao alionyesha sumu yake mapema...
6 Reactions
5 Replies
251 Views
Neno political instability tulikuwa tunalitumia kujibu essay za bogus exams za Tanzania. Ila Sasa tunalishuhudia kwenye nchi yetu. Uko Arusha Hali sio nzuri, wageni weeengi wame cancel safari za...
43 Reactions
72 Replies
3K Views
Back
Top Bottom