Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

On JF:

wiki hii kuna miswada imepelekwa bungeni kufanyiwa marekebisho, ikiwemo sheria ya kwamba polisi hawaruhusiwi kumpeleka mtu mahakaman had wakamilishe upelelezi. Je na ile sheria inayowapa nguvu...
2 Reactions
3 Replies
2K Views
BAADHI YA MWASWALI YALIYOULIZWA NA WADAU WA JF Ndugu WanaJamiiForums naomba mnisaidie katika hili swala. mimi ninamwanake ambaye nimeishi naye muda wa miaka 6, tukabarikiwa kupata mtoto mmoja ana...
0 Reactions
114 Replies
39K Views
Wakuu naomba maoni na ushauri wenu kuhusu uzuri au ubaya (Manufaa) wa kusoma kozi hiyo
1 Reactions
6 Replies
3K Views
Watu wanachanganya mambo na kuwa waoga wa mambo sana. Mwanasiasa yoyote yule akipata kushitakiwa, upande Mashitaka huwa wanaleta mashahidi na kama Hakimu au Jaji akiona huo ushahidi una mantiki...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Katika Utumishi wa Umma,Kuna Watumiahi wanaitwa Kamishna...Kuna Kamishna wa Magereza, Uhamiaji, Kazi, Ustawi wa Jamii nk Je kwa nini viongozi Hawa wanaitwa Makamishna? Naomba kujua vigezo...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Nachofahamu ni watu kuweka fedha mahakamani katika kumdhamini mtu ila kuhusu mali ndio sina uelewa inakujaje? Kwa mfano, unaweza kuweka kitu kama hati ya kiwanja badala ya fedha katika kumdhamini...
2 Reactions
14 Replies
3K Views
Excerpt from the CA judgement........... Consequently, we invoke the provisions ofsection4(2)of the AJA to revise and nullify the proceedings of the CMA with respect to the evidence of PW1 and DW1...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Habarini za wakati huu waungwana! Naomba kujuzwa kenye mambo ya migogoro ya ardhi je mlalamikaji anahaki yakuanzisha kesi upya katika ofisi za kata ya serikali za mitaa, ilihali kesi ilisha fika...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Baada ya kufuatilia kesi ya ugaidi inayoendelea nimeona Mashahidi wa serikali wakipata wakati mgumu mpaka wengi kuomba kwenda faragha mara kwa mara na jana moja aliokolewa na wakili wake , sasa...
3 Reactions
21 Replies
2K Views
Wakuu salaam! Wakati tukiendelea kumtafuta Paul Makonda a.k.a BASHITE ili akapate haki yake kamili pale Mahakamani iwe kusafishwa mbele ya umma au kupelekwa gerezani. Yanayoendelea kwenye kesi...
3 Reactions
16 Replies
2K Views
Mimi ni mwanafunzi wa sheria mwaka wa kwanza mnanishauri nisome vitabu gani ambavyo vitanisaidiaa?
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Nimekuwa nikisikia kuhusu kesi za jinai, namba mnieleze jinai ni nini? Nini tofauti ya kesi ya jinai na kesi zinezo.
3 Reactions
18 Replies
4K Views
1: Kama unahojiwa na Wakili Mahakamani usijibu bila kutafakari alichokuuliza 2: Wakili asikuogopeshe kwa ukali, anapokuuliza kwani ukali hulenga kuleta paniki na kukusahaulisha ulichopanga kusema...
10 Reactions
16 Replies
4K Views
- Money laundering to remain unbailable - Introduces counter terrorist financing and counter proliferation financing - Beneficial ownership definition to be expanded - Even 5% shareholding is...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Naomba kujua sheria inasemaje juu ya mwanamke anayejenga nyumba kwa siri akiwa ndani ya ndoa
3 Reactions
49 Replies
7K Views
Ndugu wanajamvi. Napenda kujulishwa endapo watumishi wawili wamekubaliana kubadilishana vituo vya kazi kutoka mkoa 1 kwenda mwingine. Barua zao zikaenda kunakohusika lakini ikabainika mtumishi 1...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wakuu habari, Nina mshkaji wangu yupo Morogoro, wana kesi walishtakiwa ya kiofisi Tangu mwaka 201, upande wa Jamhuri walileta shahidi mmoja tu, ishapita miezi hawajaleta shahidi mwingine, Sasa...
0 Reactions
3 Replies
615 Views
Naomba kufahsmishwa na wajuvi wa sheria nafasi ya mwananchi anayegundua kuwa shahidi aliyeapa mahakamani amedanganya taarifa zake binafsi, taarifa husika ni jina kamili, umri, kabila na elimu.
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Wakuu, Poleni na majukumu ya kila siku, nisiwe na maneno mengi naomba nijikite moja kwa moja kwenye mada husika. Kama kichwa cha uzi kinavyojieleza, binafsi kadri siku zinavyosonga najikuta...
3 Reactions
32 Replies
10K Views
Sheria ya kulinda siri ina sehemu inazokuzuia kuropoka siri za taasisi yako unayofanyia kazi,,,sehemu hizo ni kama ukiwa baa, sokoni,msikitini,kanisani,kwa mchepuko nk, ukiwa sehemu hizo ikaropoka...
1 Reactions
1 Replies
949 Views
Back
Top Bottom