Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

On JF:

Nawasalimu kwa Jina la Jamhuri ya Muungano ya Tz wanasheria wenzangu.Samahani kwa yeyote anayejua taratibu za kufuata ikiwa kuna mtu anayetumia cheti chako ( mfano).Na ameajiriwa serikalini na...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Habari za jioni wanajukwaa , Tafadhari naomba ufafanuzi wa maneno yafuatayo kama yanayovyotumika katika law of contract . 1.what is postal rule on acceptance 2.what is an invitation to treat...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakuu habar za uzima najua tupo kwenye pilika pilika kwa ajili ya maandalizi ya sikukuu. Nilikua naombeni msaada wa kisheria kwenye ufundi simu upande wa software je kuremove password kwenye simu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
HAKI YA KUZIKA, kaka wa Antigone Polyneices alikuwa kwenye kupambania miliki ya Thebes. Mfalume Creon akatoa amri kuwa asizikwe kwasabbu marehemu alimpinga. Antigon akamzika. Alipoulizwa na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Leo wa kazi wa mji mwema kigamboni walifunga barabara baada ya kuamriwa kuondoka kwenye eneo la machimbo ya mawe na wananchio hawa kugoma, jambo hilo la kugoma lililazimisha polisi kutumia mabomu...
5 Reactions
38 Replies
5K Views
kakangu anaye mtoto anasoma sheria katika chuo fulani hapa bongo, ameniomba list ya vitabu vilivyoandikwa Kitanzania vya sheria vinavyoweza kumsaidia dogo chuo amnunulie. Naamini Maprofesa wetu...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
  • Closed
Wasalaam Naombeni msaada wa kisheria kwa namna gani naweza kumchukulia hatua cameran ambaye amepatiwa kazi ya kupiga picha na video kwenye tukio la harusi/sendoff lakini akakiuka maadili kwa...
4 Reactions
11 Replies
3K Views
Habari wana JF. Nilikua naomba kupata clarification kidogo ya kisheria kuhusiana na jambo hili Kuna mtu(Mpangaji mwenzangu) amekua akinizingua sana kwa kunitukana kwa matusi na wakati mwengine...
3 Reactions
21 Replies
3K Views
Salaam Wakuu, Niende kwenye maada tajwa hapo juu. Nafahamu kwa sheria za Tanzania Mahakama ndiyo imepewa mamlaka ya kumkuta mtuhumiwa na hatia na si chombo kingine.Swali langu ni kuwa Mahakama...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Kuna kijana amempa mtoto wa shule mimba yule kijana akakamatwa chaajabu police wamemwachia bila kunipa taarifa yoyote,nilipomuuliza police aliyepewa kupeleleza hiyo kesi ameniambia mtuhumiwa...
0 Reactions
2 Replies
821 Views
Tangu kesi ya Mbowe na wenzie ianze upade wa utetezi umeweka mapingamizi kama sikosei matatu na yote yametupwa. Ningefurahi kama wangetokea wanasheria huru waweke ushabiki pembeni) na watusaidie...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kifungu cha 87 cha kanuni ya Adhabu sura ya 16 kama ilivyofanyiwa mapitio mwaka 2002 kinazuia watu kupigana adharani na mtu yeyote atakayepigana adharani, adhabu yake ni kifungo cha miezi sita...
2 Reactions
7 Replies
5K Views
Habari wadau,kumekuwepo mkanganyiko juu ya talalaka pande zote Islam na ukristo watoto haki yao ikoje wale walioko kwenye ndoa hebu mnisaidie mwanasheria hilo. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari wana JF. Nilikua naomba kupata clarification kidogo ya kisheria kuhusiana na jambo hili Kuna mtu(Mpangaji mwenzangu) amekua akinizingua sana kwa kunitukana kwa matusi na wakati mwengine...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Yapata miezi kama kama miwili imepita Tangu nilipobomolewa mlango wa nyumba ya kupanga mida ya mchana na nikaibiwa vitu kadhaa ikiwepo TV , radio, pesa , vyombo na vitu vingine. Wakati...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Habari, nilikuwa nikifanya kazi kwenye kampuni fulani ya uuzaji wa mafuta,nimefanya kazi kwa muda wa miezi 10 bila kupewa mkataba unaonifanya kujua haki na stahiki zangu kwa kipind chote mpka...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari za muda huu wana JF, Naomba tupeane habari kuhusu baadhi ya kesi maarufu zilizowahi kutokea ndani ya Tanzania ambazo kwa kiasi fulani zilitikisa na sasa zinatumika katika maamuzi ya kesi...
0 Reactions
28 Replies
26K Views
Habari wana Forum Tafadhali ninaomba materials ya sheria, hii ni pamoja na Case Law na Notice Ninaomba materials ya Contract Law, Arbitration and Dispute Resolution (ADR), Law of Evidence...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Naomba ufafanuzi wa hii skendo kwa wale waijuao. Je hii ni dalili ya nguvu mpya dhidi ya ujambazi au over confidence ya ma afande imezua soo...
1 Reactions
396 Replies
80K Views
Wakuu wanasheria natumaini mko poa. Nilinunua pikipiki juma tano na niliambiwa kuwa kadi haijafika tukapewa chases number tukarudi. Jumamosi nikiwa safarini nikaambiwa dogo amegonga mtu na huyu...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Back
Top Bottom