Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

On JF:

Bila kupoteza mda nawasalimu nyote na pole na majukumu ya kujiingizia kipato. Baada ya Baba yangu mzazi kupata ajali ya Gari Ghafla alikimbizwa kituo Cha Afya Kijijini kwetu na hatimaye juhudi za...
0 Reactions
8 Replies
6K Views
Moja kwa moja kwenye mada, itifaki imezingatiwa! Mwaka 2018 nilinunua kiwanja maeneo ya mtaa wa mawasiliano, Mkundi -Morogoro! Baada ya kununua na kuandikishana kupitia serikali za mitaa...
0 Reactions
6 Replies
786 Views
Mwalimu Omary & Another Vs Omari Bilal, Court of appeal of Tanzania @ Dar-es-salaam, Civil appeal no. 19 of 1996. Mwenye nayo anisaiie hapa au inbox, whatever!
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Kichwa cha habari cha husika. Mwaka 2020 daladala iligonga mtu na kusababisha kifo chamwanaume mmoja. Dereva akwekwa ndani, nyaraka zikapelekwa kam leseni ya dereva na cover note ya bima. Dereva...
3 Reactions
5 Replies
2K Views
Naomba mwenye sample ya extracted decree from a judgment aisaidie hapa. Nime google, there is none
0 Reactions
0 Replies
407 Views
Nilipata huduma kutoka kampuni moja inayouza Solar na vifaa vyake. Miongoni mwa bidhaa ilikuwepo TV set . Baada ya siku mbili sikuwa nimeridhishwa na huduma za kifaa chao niliwaarifu kwa njia ya...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Wakuu habari zenu? Mmeshindaje? Sasa Wakuu kuna shida kidogo nahitaji ushauri wenu kuna mdogo wangu alikuwa anasoma Arusha shule ya msingi sasa kule kulitokea shida kidogo akaamishwa shule...
2 Reactions
33 Replies
6K Views
Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imetoa onyo kwa wananchi kuepuka kukopa au kufanya Biashara na Taasisi, Kampuni, Mtu au Watu Binafsi ambao hawana leseni. Kifungu cha 16 (1) cha Sheria ya Huduma Ndogo...
1 Reactions
13 Replies
4K Views
Ndugu wanasheria salaam, Kwanza poleni na majukumu mbalimbali, naombeni msaada, kuhusu Jambo hili, Mimi Ni mtoto wa aliyekuwa mtumishi wa umma , baada ya kustaafu 2014 mama angu alilipwa kwa...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Sheria kwa ajili ya kuweka masharti kuhusu misingi ya ulinzi wa taarifa binafsi kwa lengo la kuweka kiwango cha chini cha matakwa ya ukusanyaji na uchakataji wa taarifa binafsi, kuanzisha Tume ya...
0 Reactions
0 Replies
359 Views
Wanabodi, habari. Ndugu yangu ni mtumishi Wa Umma. Alikuwa na kesi ya jinai ya kumtukana mtu. Kesi imeenda mahakamani na mahakama imempiga faini. AMELIPA. Mwajiri wake amepelekewa taarifa kuwa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Ndugu zangu naomba kuuliza: 1.Kesi ya maslahi ya wanahisa wa kampuni inaanzia kusikilizwa mahakama ipi? 2.inaweza endeshwa na wanahisa wenyewe bila wakili? ASANTENI SANA.
1 Reactions
5 Replies
577 Views
Habar wanajukwaa, naomba kufahamishwa ikiwa marehemu ameacha watoto aliozaa na mama tofauti na ikatokea mmoja wa hao watoto aliachwa na baba akiwa bado anasoma. Je, Kwenye utaratibu Wa mirathi...
0 Reactions
2 Replies
442 Views
Vyuo vya afya vimepanga ratiba ya mithani hadi siku ya siku kuu ya kiserikali. Vyuo hivi vina watumishi wa umma pia ambao kwa namna moja ama nyingine wanayo majukumu katika siku hii maalum ya...
0 Reactions
3 Replies
497 Views
Mwenye tatizo la sheria za kazi , mfano kufukuzwa kazi kimakosa, kukosa mkataba kisheria na matatizo yote ya kazi,bila kujali dini, kabila na jinsia nipigie simu namba 0782766657 au text whatsapp...
1 Reactions
0 Replies
626 Views
Ndugu members wa jukwaa la sheria! Kama thread head inavyojieleza hapo juu! Nahitaji mwanasheria ambaye yupo songwe au mbeya au Dare es salaam,ambaye anaweza kunisaidia kufatilia madai ya fidia ya...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari ndugu wana sheria! Ningependa kujua jambo moja kuhusu urithi wa mali za marehemu kwenye scenario hii! Kuna mzee mmoja alioa kwa ndoa na kupata watoto wa kwenye ndoa na mmoja nje ya ndoa...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Nina ndugu yangu alipata kazi kwa mkataba wa mwaka mmoja na kampuni x, mkataba ukaisha, lakini hakuwahi kupewa namba ya uanachama ya mfuko wa jamii pamoja na kuwa akikatwa mchango kila mwezi...
0 Reactions
3 Replies
587 Views
Habari za majukumu mawakili, kuna mkwaruzano umetokea kati ya mwenye Nyumba na mpangaji Sasa msaada wa ushauri kwenu mawakili. Ni hivi jamaa ameingia mkataba na baba mwenye Nyumba huo mkataba...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Waraka Na. CCB.228/271/01 wa tarehe 7 Agosti, 2012 Tafadhali, kwa yeyote mwenye waraka huo au anayejua maudhui yake naomba anisaidie Waraka huo unazungumzia: Utaratibu wa kuomba Kibali cha...
0 Reactions
2 Replies
785 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…