Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

On JF:

Anayejiita Nabii Mwingira amemalizia Kuvunja Kiwanda Cha Zain Shaarifu Mwenge baada ya Kukivamia na kuchoma moto katika tukio la kwanza lililofanyika siku ya jumatatu ya pasaka Mwaka huu...
0 Reactions
157 Replies
17K Views
Forensic experts in East Africa have underscored the need for convergence in institutional set ups in the partner states, noting the importance of optimal utilisation of forensic capability within...
0 Reactions
0 Replies
964 Views
nisaidien facts na held ya kesi Christopher Mtikila ihusuyo constitutional.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari zenu? Naitwa Giuseppe Zingaro, raia wa Italia, nimezaliwa Ragusa – Italia, tarehe 26/11/1960. Mwezi wa 4 mwaka 2004 pamoja na mchumba wangu wa enzi ile, Edna Boimanda (kwanzia sasa...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Kwa wale wenye taaluma ya sheria. Ikatokea umetajwa katika kesi, ambayo au husiki. Mfano, Mie: Abadala naojiwa, nika mtaja Ismail Kuwa ndio alitoa ruhusa ya mie kuiba, huku Ismail haja husika, na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Jana tukiwa ktk benki moja ndani ya eneo la chuo cha Udom akatokea askari mlinzi wa hiyo benki akawazuia akina dada kuingia benki kisha kuwamuru kupiga magoti kitu kilichotufanya wadau wa haki za...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Kumfukuza mwanafunzi masomo moja kwa moja kwa kufeli somo moja,au kwa kufanya udanganyifu katika somo moja ni halali?kama ndiyo haki ya mtu kupata elimu ipo wapi?
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Hivi adhabu ya kunyongwa mpaka kufa ilianzia wapi na lini?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hello, How are you doing dear learned brothers and sisters, I am joining you.
0 Reactions
0 Replies
738 Views
Nianze kusema kuwa mimi sina utaalam wa mambo ya sheria. Siku hizi kumezuka mtindo wa mahakama zetu kumdhamini mtuhumiwa mahakani eti ni mpaka aje mdhamini ambaye ni mfanyakazi wa serikali. Huwa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
kwa wataalamu wa sheria naombeni darasa juu ya maana halisi ya case law
0 Reactions
3 Replies
1K Views
1.police anaekaa counter na kuandikisha maelezo kitaalamu anaitwaje? 2.police aliesoma sheria anaekaa mahakamani na kupokea majalada ya watuhumiwa kitaalamu anaitwaje 3.mkuu wa kituo cha police...
0 Reactions
7 Replies
12K Views
Women/Law: "Police in mini-skirt arrest threat in Swaziland" Women in Swaziland risk arrest if they wear mini-skirts or tops which expose part of their stomach, police spokeswoman has said...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau na wanasheria tunaomba ufafanuzi iwapo wabunge hawa wa chadema wamefanya kosa kisheria kupiga picha na yule askari kwenye mkutano wa kisiasa. Hivi kama yule mwanajeshi alifanya vile kwa...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Nilikuwa nasafiri kwa gari binafsi kama dereva kutoka Chalinze kwenda Tanga,Nilipofika check point ya KABUKU nikazuiliwa na maaskari nikituhumiwa kulipita gari la mbele yangu(overtaking) sehemu...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Wakuu, hapa chini nimejaribu kuwadondoshea na kuwafunghashia kwa rejea yenu baadhi ya hukumu za hivi karibuni zilizotolewa na Mhe. Jaji Rwakibalira na kutenguliwa na Mahakama ya Rufani ya Tanzania...
2 Reactions
12 Replies
3K Views
Nimeona nijitokeze hadharani kuelezea idadi ya kadi za vyama vya siasa ninazomiliki ili kama kuna sheria inayokataza mtu kuwa na kadi zaidi ya moja za vyama vya siasa nisifungwe bure. 1. Kadi ya...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
with the advance of technology in tz cybercrimes may also increase.how does penel code reflect messures aganist cyber crimes?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mimi nime kaa na mke kwa miaka kumi na nne sasa na tuna watoto wanne, lakini mwanzoni mwa mwaka huu mke alitoroka nyumbani na kwenda kwao na kukaa huko kwa miezi saba hivi, lakini aliporejea...
0 Reactions
22 Replies
4K Views
While some torts are also crimes punishable with imprisonment,the primary aim of tort law is to provide relief for the damages incurred and deter others from committing the same harms,citing with...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Back
Top Bottom