Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Salaaamm..!
...naomba kufahamishwa kwa mujibu wa sheria za tanzania,katiba inasema nini endapo rais atatoa kauli au matamshi yoyote yatakayothibitika si ya kweli..??? kwa mfano kauli ya uwongo au...
Asema yapo mengine wanayakubali
Kamati Kuu ya CCM kukaa Jumatatu
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimesema hakiungi mkono rasimu ya katiba mpya...
Helo wanajamvi,
Jamani naomba mwenye kufahamu vizuri majukumu ya hawa watu katika nchi hii. Hivi viongozi wabovu katika taasisi za umma wanaweza kushitakiwa kwa tume hizi na wahachukuliwa hatua...
Ibara ya 39 (3) 'Raia wa Jamhuri ya Muungano hatapelekwa katika nchi ya nje yoyote kujibu mashtaka au kufanya mahojiano yoyote kinyume na ridhaa yake'.
Je Ibara hii haikinzani na sheria za...
Habari wote,ni mara ya kwana kuingia jukwaa hili naomba kujuzwa sheria makazini.je sheria inaruhusu mke na mume kukaa ofisi moja,mfano wote mabanker,madoctor nk...na pia je sheria inakataza mke...
wanajamvi polen na kazi.mi nilikuwa naomba msaada ,sina cheti cha kuzaliwa na kinahitajika na bodi ya mikopo ya vyuo vikuu haraka,sasa nimeambiwa kuwa naweza chukua affidavit ya muda.mi ni mgeni...
Wadau wa sheria nina swali nataka msaada wa kisheria.
Kuna mtu kanitoroshea binti wangu wa kazi na kwa bahati nzuri katika pitapita za vijana wangu hapa mjini wakafanikiwa kukutana naye. Baada ya...
Hivi rasimu ya katiba imesema chochote kuhusu Mahakama ya Kadhi wakuu? Mimi siku zote nilikuwa nafikiri Waislam wanataka kuwe na mahakama ya Kadhi, sasa nimeshangaa kuona tangazo kwenye gazeti la...
Mkurugenzi wa Mashtaka nchini (DPP),Dr.Eliezer Mbuki Feleshi amewasilisha Taarifa ya Kusudio la kukata Rufaa dhidi ya Sheikh Ponda Issa Ponda na wenzake 49.
Taarifa ya Kusudio la Kukata Rufaa...
Habari zenu wadau!
Nimekutana na changamoto katika laini yangu ya Mpesa!. awali niliitumia laini hiyo kufanya kazi nikiwa Mwanza, baadaye nikaamua kuihamishia zanzibar. niliacha kufanya kazi kama...
Wakuu mnisaidie katika hili kama email ni legal communication, kuna mtu aliniambia ilitoka circular kwamba yatumike kisheria lakn juzi mtu mmoja akaniambia serikalini bado ni haramu (illegal)
Habari wanajamvi, naomba mnipe msaada wa hatua za kuchukua kwa mtu aliyekiuka makubaliano ya kibiashara. Mtu huyu ni rafiki yangu niliyefahamiana naye siku nyingi, alinihusisha kwenye biashara...
Ndugu wanjamvi, naomba msaada wa kisheria juu ya mashtaka aliyofunguliwa rafiki yangu na ofisi ya TSD, MASHTAKA ni haya; 1;kuvunja kanuni za utumishi wa umma kwa kusema serikali imeoza...
Move industry inakua haraka sana Tanzania na kati ya waajiriwa ni watoto(umri chini ya miaka 18).Sheria ya ajira kwa watoto under these circumstances inasemaje?is it legal?na inelezea mipaka ya...
Habari wanajamii., naomba kujua nini kitatokea kwa raia anaegomea amri ya askari polisi. Kwa mfano anatuhumiwa kwa kosa fulani na askari akamweka chini ya ulinzi lakini kwa makusudi raia huyu...
Wakuu ni vipi naweza kukokotoa na kujua kiasi cha transport na subsistence allowance ninazotakiwa kupata wakati wa kuajiriwa (first appointment) na taasisi ya serikali?
Wana JF,
Assalaam aleykum !
Chuo cha kiislamu cha Al - jazeera cha jijini Mwanza kimelifikisha mahakamani gazeti la Mtanzania kikidai fidia ya shilingi Bilioni mbili kufuatia kuripoti habari...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.