Ndamwe
JF-Expert Member
- Jun 11, 2008
- 203
- 123
Helo wanajamvi,
Jamani naomba mwenye kufahamu vizuri majukumu ya hawa watu katika nchi hii. Hivi viongozi wabovu katika taasisi za umma wanaweza kushitakiwa kwa tume hizi na wahachukuliwa hatua zozote? naomba kujuzwa kwa vile nchi yetu wakati mwingine imezidi kulindana, hawa wana meno ya kutosha? Nawasilisha