Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Habari zenu?? Nlikua naomba soft copies za "The employment and labour relations (code of good practice) rules 2007 na labour institutions(mediation and arbitration) rules 2007 km kuna mtu anazo.
Mods naomba msinchanganye hii:
Wanasheria mnasemaje ktk hili?Ugaidi umekuwa ukilazimishwa in a predatory ways..Je ni halali?
Tumeona majaribio mengi ya kulazimisha ugaidi yakifanywa na polisi,kwa...
Wadau wa Sheria katika jukwaa hili, Mimi ni Kijana niliye hitimu elimu ya kidato cha sita mwaka huu na kupata ufaulu wa daraja la pili kwa point 11. Nimechelewa kufanya maombi TCU na HESLB kwakuwa...
Kama kuna siku niliokaribia kupata mshutuko wa makalio ni jana niliposiki mh dpp ameamuru kesi ya idd isimba a wenzake kufutwa ..binafsi nimewiwwa kupenda hiki cheo na natamani siku moja kama si...
I am a South African citizen,offically married both in SA and Tanzania to a Tanzania citizen.I recently ,end of march,delivered our new baby boy,a new tz citizen.My visa was intitally only...
KWA WALE WANASHERIA NA MNAO ZIFAHAMU VIZURI SHERIA NAOMBA MNIFAFANULIE HILI
Sheria ya nchi yetu inasemaje kuhusu (ugaidi)?
Na niwapi kesi huwa considered kama kesi ya ugaidi? Je kosa la...
WASHINGTONThe Supreme Court dramatically advanced gay rights Wednesday (June 26, 2013) in rulings that direct the federal government to provide equal treatment to same-sex spouses and allow the...
kwa kuwa pinda amevunja katiba ya jmt aliyoapa kuilinda kwa kuaziga mtu anayevunja katiba apigwe, nawashauri wanasheria wa chadema wafuate taratibu za kumuondolea kinga ya bunge ili aburuzwe...
Mkurugenzi wa kampuni ya Principal Company Limited, Godfrey Mosha ambaye ni mmoja wa washitakiwa wa kesi ya wizi wa pesa katika Akaunti ya Madeni ya Nje (Epa) katika Benki Kuu ya Tanzania (BoT)...
naomba kufahamu kama ni sawa kukatwa hela ya nssf wakati nipo kwenye kipindi cha matazamio.nimepata nafasi ya kufundisha shule fulani ndiyo mwenye shule kanimbia hivyo.wataalamu naomba kufahamu.
Kiubinadamu,ni kosa kubwa na kinyume cha utawala wa kisheria na haki za binadamu kuruhusu mauaji ya raia wakaidi.Kwa mujibu katiba ya nchi ibara ya 6(b),(c) na (e),kutokana ibara hii Mh Pinda...
Nimefuatilia kwa karibu repoti ya Haki za Binadamu iliyotolewa wiki liyopita na mienendo ya wanaharakati dani na nje ya nchi hasa mkutano wa mashoga na wabunge wiki hii. Tujiandae kuletwa sheria...
waungwana, je ni utaratibu gani wa kufuata pindi ninapotaka kubadili hati ya kiwanja yenye majina mawili na libaki moja na mm mwenye ni mmojawapo wa majina hayo yalipo kwenye hati, msaada tafadhali
Hatimaye kilio cha muda mrefu cha wanachuo wa the Law school of TZ kujua hatima yao kimefikia ukingoni. Zaidi ya mawakili 300 wanatarajia kuapishwa hivi karibuni...
Nawatikia kila la heri na...
Wanabodi naomba maoni yenu.
Sheria inasemaje:Polisi wakifika kwa raia km wahalifu walio tayari kuhatarisha maisha ya raia?Je raia anawezakujilinda hata ikibidi kuua hao polisi?
Samahani wa dau wa sheria naomba mumsaidie huyu dada alizaa na mwanaume lakini mwanaume akamtelekeza pamoja na mtoto baadae msichana akampelekea mtoto ili amlee kwakuwa alikuwa aleti matumizi leo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.