Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Your are here » Home » Coast
Man charged with the murder of wife who is alive and wellUpdated Thursday, May 23rd 2013 at 21:32 GMT +3 By WILLIS OKETCH
Mombasa, Kenya: A port clerk was...
Ndugu wanabodi,
Kwa uelewa wangu, sheria ya Uhujumu Uchumi nchini inamnyima dhamana mtu "yeyote" aliyeshitakiwa mahakamani kwa kosa hilo. Lakini jambo la ajabu nilaloendelea kulishuhudia ni...
Ndugu wanajamii forum, ni mara yangu ya kwanza kuingia hapa na kuomba msaada wa kisheria.
Huyu mdogo wangu amepata kua mfanyakazi kwenye NGO kwa muda Fulani hadi pale mkataba wake ulipokwisha...
mimi ni mwajiriwa wa halmashauri ya ulanga, nimeanza kazi zaidi ya miaka 5 ilopita, sijapandishwa daraja kwa uzembe wa afisa utumishi wangu, je naweza kumshtaki na kumdai fidia kwa kunifanyia...
Juzi nilihadithiwa kisa hiki,kuna mwalim ambae aliwahi kusimamishwa kazi kutokana na kumpa uja jauzito Mwanafunzi,na baadae akarejeshwa kazi kwa kuweka katika ofisi ya ELIMU WILAYA YA MAGHARIBI...
Hivi kwa mujibu wa katiba,kanuni na sheria za nchi ni sahihi kwa serikali kutumia jeshi la wananchi kudhibiti fujo au ghasia za wananchi?
Kama sheria na taratibu za nchi kweli...
Wakati bunge likiendelea kujadili bajeti ya Wizara ya habari, vijana, jana jioni wabunge wawili Ester Bulaya na Vicky Kamata walichangia mzozo kati ya Lady JD na Ruge.
Wote wametoa maoni...
wana jf naomba kufahamu kama mtu mwenye umri uliozidi miaka 18 na ni mtoto wa nje ya ndoa ana haki ya kurithi mali za marehemu babake ikiwa babake hakuwahi kumthibitisha kuwa ni mtoto wake na...
Wana Jf Napenda kuleta kwenu wazo langu la muda mrefu, nimekua nalo kwa muda sasa nalo ni je kwa hivi sasa ninaweza kuanza kuandaa Mashitaka dhidi ya Chama kinachoondoka madarakani (ccm) watendaji...
If a person is judged not guilty, it does not mean that the person is proved innocent; it only means that there was not enough evidence to reach the guilty verdict.
Je ushahidi unatafutwa na nani...
Victor Ambrose ni kijana aliyekamatwa na jeshi la polisi na kushtakiwa kulipua kanisa huko Arusha. Kijana huyu ambaye anafanya biashara ya kuwabeba watu na pikipiki, maarufu kama bodaboda...
Kuna hali ya sintofahamu juu ya WILFRED LWAKATARE kufutiwa mashtaka ya UGAIDI huku wengi wakiamini kuwa maamuzi hayo ya mahakama yametokana na ukweli kwamba suala hilo lilitawala mijadala ya...
MAJINA YA WATUHUMIWA WALIOACHIWA HURU PAMOJA NA RIPOTI YA POLISI KUHUSU BOMU LA ARUSHA
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUHUSIANA NA MAENDELEO YA UPELELEZI WA TUKIO LA...
Hivi ina maana gani kusema kuwa Victor Ambrose anafikishwa mahakamani kwa shitaka la kurusha bomu Kanisani Olasite na kuua watu watatu, lakini wakati huo huo unaendelea kusema kuna donge la...
Wakuu ninaomba kupewa maelezo kuhusu sheria na taratibu zinazo simamia suala la kujenga nyumba mbili katika kiwanja kimoja. Kwamfano mtu mwenye kiwanja cha mita 30 (30m) kwa mita 50 (50m), je ni...
Jamani kama ilivyoripotiwa na vyombo vya habari kwamba Victor Ambrose mtuhumiwa wa ulipuaji wa kanisa kule arusha ambaye amesababisha vifo na majeruhi kibao jana alifikishwa mahakamani na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.