Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

On JF:

MMOJA wa watuhumiwa wa ugaidi katika kesi inayomkabili Kiongozi wa Jumuiya za Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu (JUMIKI) Zanzibar, Sheikh Farid Hadi Ahmed (43), amevunja ukimya mahakamani baada ya...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Je wajua kuwa una haki ya Kumshtaki Wakili wako Mzembe Ni bahati mbaya kuwa wanasheria ndiyo waelimishaji washeria, hivyo basi nivigumu kukuta wanatoa elimu inayowanyooshea vidole. Kupitia...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
wajuvi wa masuala ya sheria msaada tafadhali.Hivi huyu mkurugenzi mkuu wa mashtaka anashughulika na kazi gani mahakamani.Pili je,ni katika mahakama gani huwa anashughulika zaidi? Natanguliza shukrani
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Sheikh Ponda Issa Ponda (mwenye kanzu) akiwa chini ya ulinzi wa polisi mara baada ya kuahirishwa kwa kesi yake katika Mahakama ya Hakimu Mkazi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ni familia ya mke wangu wanahangaika na hii mirathi mpaka leo tangu mwaka jana. Suala ni kwamba watu wa hazina wamesema wameshatuma hundi tangu tr.21/09 kwa hiyo ikishafikia hatua hiyo what comes...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Issue ni kuwa nimemdhamini bwana mmoja mkopo kutoka benki ya CRDB. Jamaa kakimbia na kaniachia deni. Kwa kuwa kamshahara kangu kanaflow kupitia benk yao jamaa wananikata kila mwezi. Na jamaa...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari wanajamvini. Ninaomba mwenye vitabu vya sheria hasa llb vilivyo kwenye softcopy naomba anitumie niweze kutumia katika uwanja wa sheria email yangu ni alphredmahunja@gmail.com
0 Reactions
10 Replies
5K Views
Sidhani kama kuweka label kwenye kazi za wasanii kutatatua tatizo la kazi zao kuibia kwa sababu bado zinaweza kunakiliwa kama kawa na kuuzwa ukizingatia wateja wengi wanatafuta unafuu. Kwanini...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
habarini ndugu, naomba kujuzwa kazi ya bunge letu ni kutunga sheria au kupitisha sheria?
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Salaaamu, Kuna vifungu vya sheria vinavyohusu Wajibu wa kila raia katika suala la Ulinzi na Usalama wa Taifa ambavyo huwa vinatutatiza wengi tu na mimi nikiwemo. Labda kwa leo niviweke hapa ili...
0 Reactions
0 Replies
6K Views
Nimesikia Kila Wakitajwa Wanashelia(haswa Mawakili) Wanapambanuliwa Na Sifa Ya Usomi, Yaani Kila Likitajwa Jina La Wakili Linaambatana Na Sifa Ya Usomi Mf; Mwanashelia Msomi Tundu Lisu, Wakili...
0 Reactions
179 Replies
20K Views
kwa wale walo apply intakes za Feb 2013 na August matokeo yametoka,tembeleen web
0 Reactions
11 Replies
8K Views
Am looking for a place where I can do my Field work...Please!
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Poleni na kazi ngumu ya utafsiri sheria, hata hivyo nahitaji kujua au kupatiwa nakala (softcopy) kwa lugha ya kiswahili za vitu vifuatavyo: 1. mwenendo wa makosa ya jinai 2. Taratibu za sheria...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Wanasheria msaada, kuna stamp duty act 1972, which requires any instrument specified in the schedule to the act executed in mainland Tanzania to be chargeable with duty. Swali: Mkataba wa mauziano...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Mimi ni mwanafunzi niliyesoma Chuo cha Mwl Nyerere, nimeandamwa baada kutoa ushahidi wa Mwl aliyeniomba rushwa ya ngono. Nilirekodi tukio lote kwa kutumia simu na hadi nina sms niliyomtumia hela...
0 Reactions
34 Replies
5K Views
Habari huku wakubwa. Kuna tetesi kuwa wafanyakazi wapatao 200 na zaidi wamestaafishwa kinyama bila huruma wangali wadogo na mchango wa taifa bado unawategemea. Wamepewa taarifa ya maamuzi hayo...
0 Reactions
22 Replies
4K Views
Nimeulizwa swali juu ya mustakabali wa kisheria wa Wanafunzi wa Kidato cha Tatu huko Morogoro waliopeana mimba Je Kuna Mkondo wowote wa kisheria nyuma yao (hasa mvulana) Nini Hatma yao wote...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Nawaomba wataalamu wa sheria wanisaidie katika haya: 1. Sijalipwa mshahara na mwajiri wangu tangu Septemba 2013 mpaka sasa. 2. Nilistaafu tarehe 30.06.2014 baada ya kufikisha umri wa miaka 62...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Back
Top Bottom