Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Wapendwa wana JF,
Mimi na wenzangu kumi na moja (11) ambao ni Walimu kwa taaluma - tumesimamishwa kazi ili kupisha uchunguzi wa tuhuma zinazotukabili za kuto-mtii mwajiri wetu mahala pa kazi...
Kiongozi wa Jumuiya za Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu Zanzibar (Jumiki), Sheikh Farid Hadi Ahmed amemuomba Rais kuunda tume itakayowahusisha watu kutoka Tanzania Bara, Zanzibar, wanasheria na...
Habari wanasheria,
Kuna jamaa wawili wanangoma nawafahamu ila wanaishi maeneo tofauti,tatizo la hawa jamaa yani wanakula watoto wadogo hovyo hovyo! Kama kuna taasisi yoyote wani PM niwape namba...
Wakuu hawa jamaaa ni noma sana. Leo watu wamepata elimu kubwa sana kuhusu rasimu ya pili ya katiba maeneo ya kata ya Kiranyi Arumeru. Kwa kweli wanajitahidi sana wanatoa vipeperushi na cd zenye...
MMOJA wa watuhumiwa wa ugaidi katika kesi inayomkabili Kiongozi wa Jumuiya za Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu (JUMIKI) Zanzibar, Sheikh Farid Hadi Ahmed (43), amevunja ukimya mahakamani baada ya...
Je wajua kuwa una haki ya Kumshtaki Wakili wako Mzembe
Ni bahati mbaya kuwa wanasheria ndiyo waelimishaji washeria, hivyo basi nivigumu kukuta wanatoa elimu inayowanyooshea vidole.
Kupitia...
wajuvi wa masuala ya sheria msaada tafadhali.Hivi huyu mkurugenzi mkuu wa mashtaka anashughulika na kazi gani mahakamani.Pili je,ni katika mahakama gani huwa anashughulika zaidi? Natanguliza shukrani
Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Sheikh Ponda Issa Ponda (mwenye kanzu) akiwa chini ya ulinzi wa polisi mara baada ya kuahirishwa kwa kesi yake katika Mahakama ya Hakimu Mkazi...
Ni familia ya mke wangu wanahangaika na hii mirathi mpaka leo tangu mwaka jana. Suala ni kwamba watu wa hazina wamesema wameshatuma hundi tangu tr.21/09 kwa hiyo ikishafikia hatua hiyo what comes...
Issue ni kuwa nimemdhamini bwana mmoja mkopo kutoka benki ya CRDB. Jamaa kakimbia na kaniachia deni. Kwa kuwa kamshahara kangu kanaflow kupitia benk yao jamaa wananikata kila mwezi. Na jamaa...
Habari wanajamvini.
Ninaomba mwenye vitabu vya sheria hasa llb vilivyo kwenye softcopy naomba anitumie niweze kutumia katika uwanja wa sheria email yangu ni
alphredmahunja@gmail.com
Sidhani kama kuweka label kwenye kazi za wasanii kutatatua tatizo la kazi zao kuibia kwa sababu bado zinaweza kunakiliwa kama kawa na kuuzwa ukizingatia wateja wengi wanatafuta unafuu.
Kwanini...
Salaaamu,
Kuna vifungu vya sheria vinavyohusu Wajibu wa kila raia katika suala la Ulinzi na Usalama wa Taifa ambavyo huwa vinatutatiza wengi tu na mimi nikiwemo. Labda kwa leo niviweke hapa ili...
Nimesikia Kila Wakitajwa Wanashelia(haswa Mawakili) Wanapambanuliwa Na Sifa Ya Usomi, Yaani Kila Likitajwa Jina La Wakili Linaambatana Na Sifa Ya Usomi Mf; Mwanashelia Msomi Tundu Lisu, Wakili...
Poleni na kazi ngumu ya utafsiri sheria, hata hivyo nahitaji kujua au kupatiwa nakala (softcopy) kwa lugha ya kiswahili za vitu vifuatavyo:
1. mwenendo wa makosa ya jinai
2. Taratibu za sheria...
Wanasheria msaada, kuna stamp duty act 1972, which requires any instrument specified in the schedule to the act executed in mainland Tanzania to be chargeable with duty. Swali: Mkataba wa mauziano...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.