Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

On JF:

ninamgogoro wa ardhi katika baraza la wilaya kesi bado japo nimemaliza kutoa ushahidi kwa upande wa mdai na pia mdaiwa anatarajia kutoa ushahidi wake. yapo mambo ambayo naomba msaada wenu...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Ni msemo mzuri na wenye maana yake inayojipambanua. Lakini ktk uhalisia ni kwamba kuna watu wako juu ya sheria hasa hapa TZ. Kwa namna walivyojipanga na kuzitafasiri sheria mbalimbali...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu. Natuhumiwa na kesi ya kutotunza kumbukumbu za dereva. Mambo yalikua hivi, tarehe 8/6/2014 jamaa alichukua pikipiki yangu kwa ajiri ya shughuli zake binafsi huwa namuazima kila...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Je ukikamatwa na kizibiti/ushahidi mfano unauza bangi,ukakutwa na gunia 5 au unauza gongo,ukakamatwa na dumu 20 za lita 20. 1. Je ukifikishwa mahakamani kizibiti chako chote kinaletwa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Ndg wanasheria, Kuna rafiki yangu mmoja alimpaga ujauzito binti yeye akaenda masomoni,imepita miaka mitatu hajarudi lakini wazazi wake walimtoleaga mahari huyo binti na akaenda kuishi kwao na...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Tumesikia Serikali ya Uganda ikiwekewa vikwazo na inayoitwa jumuiya ya kimataifa kwa kuweka sheria inayoharamisha ndoa na vitendo vya mapenzi ya jinsia moja. Serikali ya Uingerza pia imetangaza...
1 Reactions
6 Replies
6K Views
Habari zenu wandugu! Kuna jamaa kaniuliza swali kuwa RB ile ambayo mtu akiripoti tukio polisi huwa anapewa kirefu chake ni nini? Sikuwa na uhakika na jibu langu lakini nilijibu nadhani itakuwa...
0 Reactions
29 Replies
46K Views
Kwa kuwa mpaka sasa mchakato wa kupata katiba mpya umevurugwa kwa makusudi kukidhii masilahi ya makundi machache katika jamiii haswaa WANASIASA nashauri TLS (Chama cha wanasheria Tanganyika)...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nina mpwa wangu kaolewa miaka mitano iliyopita. Kabla ya kuolewa alikuwa mfanyabiashara, na alipoolewa mumewe akamwambia afunge biashara yake wawe wanafanya pamoja akakubali. Baada ya muda...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
wana JF naombeni mnijuze hv ili uwe mwanasheria unatakiwa uwe umesomea kombi gani???
2 Reactions
19 Replies
9K Views
Wana JF poleni na mihangaiko ya toka asubuhi. Leo baada ya kutoka kanisani nilimkuta mama mmoja jirani yangu, akaniomba ushauri ila ilikuwa ngumu sana kwangu kumpatia jibu la moja kwa moja. Mama...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
CHADEMA wana wanasheria makini kama Tundu Lissu,Marando,prof. Safari,Kibatara,Kichere,Kimomogoro nk. Walioishinda serikali dhidi ya kesi za uchochezi,uchaguzi,ugaidi nk. Mawakili hawa...
0 Reactions
67 Replies
7K Views
Mahakama Kuu ya Tanzania, Kanda ya Dar es Salaam imeweka zuio la muda kwa uongozi wa muda wa Kampuni ya Uwekezaji ya Taifa (Nicol) kwa kuitaka kutojihusisha na biashara au shughuli yoyote ya...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
KAMANDA wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Kamishna (CP), Suleiman Kova, amewataka madereva wanaoendesha vyombo vya moto, kutoa taarifa za askari wanaodai rushwa pindi wanapobainika na...
0 Reactions
0 Replies
989 Views
Jamani naomba kujuzwa mambo haya. 1. Mtu anapo nunua gari kutoka kwa mtu binafsi maandikishano yanatakiwa kimsingi yafanyikeje? 2. Ni vitu gani vya msingi anatakiwa avipata kutoka kwa muuzaji...
0 Reactions
4 Replies
7K Views
Ndugu zangu naombeni ushauri,ndugu yangu amesababisha ajali ya basi na imeua mmoja,baada ya ajali alikimbia hadi sasa ila anatafutwa na polisi na basi lipo kituoni.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kuna thread ipo jukwaa la habari mchanganyiko,huko Morogoro mikese kuna mtoto wa miaka kumi na nne amelawiti watoto wadogo yani wadogo zaidi yake.Swali langu ni je sheria inasemaje mtu wa umri...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
habari za majukumu wana jamii forum; naomba ushauri kadri inavyowezekana, mm ni mtaalamu wa miamba yaani mjiolojia nilipata mteja akiomba kuandikiwa ripoti ya kijiolojia katika eneo lake...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Nilienda jela miaka10 iliyopita kwa kosa la kumpa mimba mwanafunz.Kimsingi mimba haikuwa yang ilikuwa ya mwanaume mwingine Kwa sababu ya binti kutaka kumhifadhi aliyempa mimba wakapanga dili...
0 Reactions
38 Replies
4K Views
Habari zenu wakuu! Binafsi naishi nyumba ya kupanga uswahilini na nimegombana na wenye nyumba, wamenikatia umeme kwenye vyumba vyangu, je nitawezaje kupata tena umeme kumbuka mkataba unasema...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom