Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
habari zenu kuna mtoto wa jirani mwenye umri wa miaka mitano amebakwa na mtoto mwenzake wa miaka 10 , swali langu ni sheria inasemaje kuhusu ubakaji uliofanywa na mtoto ? nini hukumu yake?
Wadau habari,
nina rafiki yangu,alipewa kazi ya kusimamia bidhaa flani mpaka iishe kutoka Stesheni DAR hadi mikocheni ofisini kwa muda wa wiki 1.akamaliza vizuri kazi ile,kabla ya hapo alichukua...
Wana JF naomba mnisaidie kwa kutumia uziefu WA kila mwana JF. NImeteuliwa kuwa mwanasheria mkuu WA sreikali ya wanafunzi katika Chuo kikuu mojawapo hapa Tanzania, lakini kwa bahati mbaya ofisi hii...
Wadau,
Naomba ufafanuzi wa sheria juu ya mikopo ya taasisi za fedha.
Nilichukua mkopo Stambic Bank kwa dhamana ya mshahara kutoka kwa mwajiri wangu lakini kabla sijamaliza mkopo huo kumetokea...
Hbr wanajamvi kuna ndugu yangu kaolewa na raia wa kigeni ambaye anaishi nchi kwa kibari kilicho isha mda wake na juzi katiwa mbaron yy na mme wake.je sheria kwa upande wake muolewaji inasemaje?
Habari zenu. Naombeni kujua kisheria kama nitakuwa na kesi kwenye hili. Mfano, nina ugomvi na mtu, tumepigana kisha akaanza kukimbia nami nikawa namkimbiza. Katika kuvuka barabara yeye haangalii...
Wana Jamii habari za siku njema ya leo
Naomba wataalamu wa sheria wanisaidie hapa. Mzee wangu kanunua kashamba kadogo kijiji fulani hivi. Kwa kuwa aliyemuuzia ni swahiba wake walilipana mbele ya...
Nina mtoto alizaliwa tukiwa Ghana, na tukapewa birth notification na Ghana kwa ajili ya kuombea temporary travel document ili kurudi Tanzania. Tulipofika Tanzania tulimwombea birth certificate...
Mnamo tarehe 4/8/2014 ndugu Gaden Mhagama mkazi wa Ilinida,Ludewa ametiwa hatiani kwa makosa mawili ya kushawishi kutoa rushwa 30,000 na kutoa rushwa 50,000 kwa askari polisi koplo Samson Hango...
Wana forums
kwa manufaa ya nchi yetu ningependa tujadili suala hili la umiliki wa ardhi kati ya system mbili Lease hold ambayo inatumika sasa na nyingine ni Free hold. nimeona makundi mbalimbali...
Wanasheria naomba ufafanuzi. Wanavijiji walioambiwa wahame vijiji vyao baada ya kushi kwenye vijiji hivyo tangu 1961 (over 53 yrs), sheria inawatetea vipi? Haki zao ni zipi. hata kama walivamia...
Wanajanvi naomba kujuzwa kama kuna sheria inayomlazim mtu kuomba kibari ili kifanya maandamano yawe ya arusi au ya chama au unatoa taarifa tu vyombo husika kama polisi?
Habari zenu wadau. Mimi naombeni kujuzwa tu kiudadisi, je sisi wapangaji wa eidha chumba au nyumba tuna haki yoyote ya kisheria baada ya kukubaliana ya kwenye mkataba? Asanteni.
POLENI SANA WAANDISHI MLIOCHAPWA NA ASKARI JANA
Ndugu watanzania wenzangu naomba nianze kwa kuwapa pole wale wotewaliofikwa na matatizo ya kuchapwa na Askari jana pale Makao makuu ya Jeshi la...
Inaonekana wengi tumeaminishwa na Tamko la TCD kuhusu maazimio ya kikao chake na Mh Rais, najiuliza;
Hivi TCD kina mandate gani ktk nchi hii? (naamini ni NGOs
Hivi tamko hilo lina legality...
Dada mmoja amenishtaki ustawi wa jamii kuwa nilimpa mimba mwezi mmoja kabla ya kuolewa na mume aliye nae sasa
Japo ametoka kwa mumewe muda mrefu bado ansendelea kunizonga na kunisumbua...
Habari wanajamvi, nimekuja huku leo ninahtaj msaada wenu. Japo sio mwandishi mzuri lakin naamin mtanielewa.
Mimi ni msichana niliolewa na nikabahatika kuzaa watoto wawili (mapacha) wa kike na wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.