Kwa Wataalam wa Sheria

Kwa Wataalam wa Sheria

hp4510

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2012
Posts
8,984
Reaction score
9,938
Kama file la kesi ya Madai likiwa halionekani mahakamani ni madhara gani mm mlalamikaji naweza kuyapata?

1. Kesi inafutwa
2. Linafunguliwa Lingine
3. Pesa Ambazo namdai mtuhumiwa ndio sitalipwa tena?
 
Back
Top Bottom