Edson Mbogoro mpiganaji wa kweli aliyemwakilisha vema Mnyika katika kesi yake. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Edson Mbogoro mpiganaji wa kweli aliyemwakilisha vema Mnyika katika kesi yake.

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by TUNTEMEKE, May 24, 2012.

 1. TUNTEMEKE

  TUNTEMEKE JF-Expert Member

  #1
  May 24, 2012
  Joined: Jun 15, 2009
  Messages: 4,582
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  Jina lake kamili ni Edson oswald Mbogoro.Ni mwanasheria wa kujitegemea aliyepitia machungu mengi ikiwa pamoja na kuporwa ubunge na Nchimbi kule Songea lakini bado ameendelea kuwa mpiganaji na katika kesi ya Mnyika yeye ndiye aliyeshika kesi ya Mnyika na leo kaleta furaha kwa wanamapinduzi.Bravo Mwanasheria Mbogoro.
   
 2. Fredrick Sanga

  Fredrick Sanga JF-Expert Member

  #2
  May 24, 2012
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 3,148
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Mbona ubunge wake umecheleweshwa tu, na ni kwa miaka mitano tu. Imebaki mitatu sasa
   
 3. m

  matawi JF-Expert Member

  #3
  May 24, 2012
  Joined: Mar 29, 2010
  Messages: 2,055
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Mr Mbogoro usikonde kuanzia 2015 utafanya vyote kama tundu lisu yaani ubunge na kutetea watu(wakili)
   
 4. TUNTEMEKE

  TUNTEMEKE JF-Expert Member

  #4
  May 24, 2012
  Joined: Jun 15, 2009
  Messages: 4,582
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  Yap jamaa ni bonge moja la wakili,Ni miongoni mwa mawakili walioenda shule na wanaitumia elimu yao vizuri..
   
 5. Lawrence Luanda

  Lawrence Luanda JF-Expert Member

  #5
  May 24, 2012
  Joined: Nov 19, 2011
  Messages: 706
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Big up wakili Mbogoro
   
 6. MwanaCBE

  MwanaCBE JF-Expert Member

  #6
  May 24, 2012
  Joined: Sep 23, 2009
  Messages: 1,773
  Likes Received: 544
  Trophy Points: 280
  Jamaa namfahamu vizuri huyu nilipiga naye kazi Songea kipindi flani ni kichwa katika sheria anatishaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!
   
 7. by default

  by default JF-Expert Member

  #7
  May 24, 2012
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 843
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Nilimuona mchana jamaa yupo fit
   
 8. Pukudu

  Pukudu JF-Expert Member

  #8
  May 24, 2012
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 2,970
  Likes Received: 735
  Trophy Points: 280
  alinifundisha adminstrative law tumaini iringa n bonge la mwanasheeria yko fit na yuko very humble
   
 9. Advicer

  Advicer JF-Expert Member

  #9
  May 24, 2012
  Joined: Nov 21, 2010
  Messages: 429
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 45
  Mbogoro uzuri wake pamoja na kwamba ni wakili wa kujitegemea bt bado anatumika kama mfano hapa mjini songea.
   
 10. darison andrew

  darison andrew Member

  #10
  May 24, 2012
  Joined: Apr 5, 2012
  Messages: 66
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  atakumbukwa na wana watanzania wenye nia njema na nchi hiii lakini pia tufikilie mbali zaidi ya hapa ambapo watu hupenda mda mwingi upotee mahakamani pasipo sababu za za msingi ni ahtua gani stahili dhidi upuuzi huu
   
 11. idawa

  idawa JF-Expert Member

  #11
  May 24, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 18,540
  Likes Received: 10,465
  Trophy Points: 280
  mbogoro namfahamu sana nilimpaga kura yangu 2005 dhidi ya mchimbi jamaa anapointi sana avyoongea huchoki kumsikiliza na ni msomi wa ukweli ameporwa ubunge mara tatu mara mbili na mchimbi mara moja na Gama.lakini 2015 jimbo lake magamba wenyewe wanajua.!
   
 12. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #12
  May 25, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,617
  Likes Received: 401
  Trophy Points: 180
  Namkubali m2 wa aina hii
   
 13. M

  MAKAWANI Senior Member

  #13
  May 25, 2012
  Joined: May 3, 2012
  Messages: 101
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Bravoo Wakili Msomi Mbogoro!
   
 14. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #14
  May 25, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,202
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Vip Yule proffesor njaa kwenye kesi ya mahanga ?
   
 15. B

  Bobuk JF-Expert Member

  #15
  May 25, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 5,876
  Likes Received: 481
  Trophy Points: 180
  Kama wamempora ubunge mara mbili bado anafanya nini huko CCM? kwanini usijiunge na M4C?!
   
 16. B

  Bangoo JF-Expert Member

  #16
  May 25, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 5,594
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Anastahili pongezi bg up
   
 17. Micha

  Micha JF-Expert Member

  #17
  May 25, 2012
  Joined: Sep 12, 2011
  Messages: 269
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Big up sana, hope 2015 utarudi kuchukua jimbo lako Songea.
   
 18. N

  Nandoa Member

  #18
  May 25, 2012
  Joined: Mar 22, 2009
  Messages: 68
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 15
  Na sasa hivi anasoma hapa UDSM. Anafanya PhD ya sheria. Jamaa ni kichwa ile mbaya
   
 19. Maundumula

  Maundumula JF-Expert Member

  #19
  May 25, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 7,055
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Kwani alimtetea Mnyika bure bure bila malipo?
   
 20. B

  Baba Jose Senior Member

  #20
  May 25, 2012
  Joined: Nov 29, 2010
  Messages: 158
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  alinifundihsa adminstrative Law na Civil,nimejisikia raha kwa kweli
   
Loading...