Msaada wa kisheria namna ya kum serve notice of intention to sue Attorney General

Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
41,520
76,745
Ushahidi kuwa ulimpatia nakala Attorney General lazima uoneshe kwa ushahidi kuwa ulimpa nakala ya barua ya kushitaki say shirika la serikali. Unatumika utaratibu gani kumpa nakala Attorney General ya kushitaki say shirika la serikali
Je Registerd mail inakubalika kama ushahidi kuwa you served him with a copy?
 
kama raia mwema nikutumie GPA ambayo inatoa muongozo wa namna ya kuishtak serikali
 
Ushahidi kuwa ulimpatia nakala Attorney General lazima uoneshe kwa ushahidi kuwa ulimpa nakala ya barua ya kushitaki say shirika la serikali. Unatumika utaratibu gani kumpa nakala Attorney General ya kushitaki say shirika la serikali
Je Registerd mail inakubalika kama ushahidi kuwa you served him with a copy?
Jibu ni NDIYO.
 
Back
Top Bottom