Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

On JF:

How to get new Labour Laws of Tanzania and the new wage orders regularly. Kindly help
0 Reactions
4 Replies
7K Views
Habari ndugu zangu? Jana nimepokea wito wa kwenda mahakamani bila kukosa. Kuna taasisi ina nidai, sasa imekosa uvumilivu na kuamua kunibuluza mahakani! Kwasasa hiyo pesa ya kuwalipa haipo, je...
0 Reactions
17 Replies
4K Views
Habari zenu ndugu zangu Naomba kujua pale mtu anapo shitakiwa na mahakama ikamtia hatiani kisha ikamtaka kulipa faini au kwenda jela kwa kipindi fulani. Je mtu huyo...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
habari ndugu zangu poleni na majukumu na pia asanteni kwa ushauri na elimu mnayotoa kwa wananchi kupitia jukwaa hli, suala langu ni moja tu mim ni mwalimu na kama ilivo kawaida sehemu za kazi watu...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wadau, nina mdogo wangu wa kiume ambaye yupo kidato cha nne sasa, juzi nilipewa taarifa kutoka shuleni kuwa amekamatwa na polisi na kuwekwa ndani, nilipofuatilia shuleni nikaelezwa kuwa mdogo...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Habari WanaJF Kuna huyu ndugu yangu amepata matatizo, kama kuna mwenye kujua namna ya kumsaidia apate msaada wa haraka nitashukuru. Kisa chenyewe ndiyo hiki; Jamani ndugu zangu matatizo...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Wakuu kuna nyumba ya urithi iko maeneo mazuri hapa Jijini Dar es Salaam, mgao ni kupanga mimi pamoja na ndugu zangu wawili, na ni nyumba ya kuuza ni zaidi ya M 300, yaani million mia tatu...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
kifungu namba ngap kinakuhumu??
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Hallow wandugu, Mimi ni miongoni mwa wale ambao ni mbumbumbu ya sheria, je nikitaka kumshitaki mtu/kikundi/kampunu nk natakiwa nifanyeje, is it just a matter of going mahakamani na kutoa maelezo...
0 Reactions
7 Replies
8K Views
Hizi laws ni zenye majina gani?: Cap. 317 Cap. 390 Cap. 391 Cap. 392 Cap. 393 Cap. 394 Cap. 395 Cap. 413
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari zenu wanajamvi wote katika jukwaa hili. Ni muda mrefu nimekuwa nikijiuliza kuhusiana na uhuru wa mhimili huu unaoitwa mahakama bila kupata ufumbuzi. Swali langu linakuja pale ninapokuta...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari zenu wanajamvi ..Inafahamika yakuwa dhamana ni haki ya mtuhumiwa je wale askari wanaodai pesa ndio watoe dhamana nitawashtaki wapi? pia kama walinishika pesa kwa ajili ya dhamana na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Naomba kuuliza na kusaidiwa: a)kuna rafiki yangu amesingiziwa kumtukana shemeji yake kwa ujumbe wa simu(sms) b)alipoenda polisi,na kuandika jalada,polisi wakachukua simu zake mbili kama ushaidi...
0 Reactions
7 Replies
5K Views
Wakuu habari zenu, Naombeni msaada wa kisheria kujua kuhusu hatimiliki na taratibu zake, na gharama zake zikoje pia!! Kama kuna mwanasheria ambaye atataka kunisaidia zaidi..naomba anitafute...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mimi nataka kujiunga na chuo mwaka huu na tayari nimeshachukuwa application form.Tatizo langu ni pale ambapo majina ya vyeti vyangu vya O'level na A'level ni tofauti na majina yaliyo kwenye...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Makongoro Nyerere aunganishwa kwenye kesi ya Abubakar Marijani “Papaa Msofe”13/02/2013 0 Comments Imeandikwa na Happiness Katabazi, Dar es Salaam via blog -- MFANYABISHARAmwingine na Mkazi wa...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Haya yamejili Leo alipokuwa akiongea na wajumbe waliofika Dodoma Leo. Amehudhunishwa na hali ya Chuo hicho kuwa chini ya kiwango, ameonyesha kutolizika kabisa na kiwango cha elimu kitilewacho na...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari. Nimedhamiria kufungua kesi kuishitaki taasisi ya mikopo ya faidika kwa kufoji mwandiko wangu na kunikata makato makubwa zaidi ya kiwango tulichokubaliana. Kwa sasa sina fedha ya kuendesha...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari zenu wadau mimi ni mtunzi wa riwaya chipukizi nilikuwa nahitaji.msaada wenu katika kuaandaa riwaya mpya ambayo inahusu mambo mbalimbali yanayohusu sheria. Nimekuja katika jukwa hili la...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Naomba msaada kwa mwenye kujua hatua za kuchukua mpaka nikapata cheti cha ndoa na sitarajii kufanya harusi. namaanisha nataka kufunga ndoa ya kimila
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom