Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Habari,
Kuna shauri la talaka na kugawana mali linaendelea mahakamani, ktk shauri hilo mdai ni mwanamke. Huyo mwanamke anadai talaka kwa kuwa mume wake(mdaiwa) anamnyanyasa na kamletea bi mdogo...
Dah.
Katika hali ya kushangaza nimetishwa na kutukanwa na mtu ambaye ananidai ambako alianza kuvurumisha matusi makubwa pamoja na vitisho, huku akiniambia nitakuharibu.
Hali hii imekuja nikiwa...
Wasalam,
Ninasikiliza redio hapa wanafafanua kua kikomo cha Waziri serikalini ni baada ya raisi kuvunja Bunge.
Je kuna ukweli hapa? Au kuna ufafanuzi zaidi?
Pili ukomo wa raisi aliye madarakani...
Wapendwa wanasheria,
Je bado ni halali Mhe. Hamad Rashid kundelea kuwa Bungeni. Mwanzoni pamoja na CUF kutomtambua ilikuwa sawa kwa kufuatia amri ya Mahakama ambayo hakuwa na uwezo wa kufikia...
Huyu dada kaja huku ninakoishi, akaja hadi gesti, tukafanya yetu, wakati anaondoka hatukuwa na mawasiliano mazuri kwasababu ya mkwanja.
Baadae jioni nikapigiwa simu kituo jirani kwamba nahitajiwa...
Jaji Mkuu Augustine Ramadhani kama kiongozi mkuu wa mhimili wa serikali, MAHAKAMA, pamoja na wenzake wamefanyakosa la wazi(sijui walikuwa wanajua au hawajui) la kuuwa mhimili huu pale walipotoa...
Wakuu naomba kujua sheria yetu inasemaje kuhusu waongoza wageni, je inaruhusiwa mtu ambaye si raia wa Tanzania kuongoza wageni ndani ya Tanzania ufafanuzi kuhusu guiding act inasemaje.
Salaam wana jukwaa!!Naomba msaada wa ushahuri wa kisheria wa namna ya kumshitaki mtu niliyemuuzıa malı zangu kwa mkopo lakıni amegoma kunilipa.Ni mfanyabiashara na ana uwezo wa...
Wadau habarini za jioni,
Ninataka kujua vitu vya kufanya kabla sijauza eneo langu ambalo bado sijapata hati ya kiwanja kutoka wizara ya ardhi, kwani kwa sasa zile documents (nafikiri ni letter of...
Habari za Jumapili waungwana,jamani naomba wataalam wa sheria mnisadie kwa hili.
Nafaham kuwa kwenye nyumba za kulala wageni kuna vitabu vya kusajili kila mgeni anayelala kwenye nyumba hiyo na ni...
Wadau wa jukwaa la sheria kuna jambo linanitatiza, kuna shida yeyote mtu akibadilisha hati ya saini yake alokuwa akitumia awali na kutumia saini jipya?
Nimeliona jambo hili uku wilaya ya Iramba- Singida.
Hivi hawa walinzi wa amani wanaongozwa na sheria hipi kutoza faini hizo? na kama hipo kikomo chake ni shilingi ngapi?
Mfano kuna mtu kakamatwa...
habari zenu wanajamii,
i am planning to buy a small drone (syma x5-1) which costs aroung $60 for my younger brother. it is very small with 2mp of camera. the flying duration is 7mins only. he...
Wanamuziki Nguza Viking na Papii Kocha wanaotumikia kifungo cha maisha jela, wamemuomba Rais Jakaya Kikwete awasamehe kwa makosa waliyofanya.
Nguza na mwanaye Papii walitoa ombi hilo kupitia...
Kwa kifupi.....Kuna family friend ambaye nilimjua kutokana na yeye kufahamiana na wazazi wangu, huyu jamaa anaishi kwenye wilaya moja za mkoa wa Mtwara ambapo pia ndipo nyumbani kwetu kwa wazazi...
Habari ndugu zangu?
Jana nimepokea wito wa kwenda mahakamani bila kukosa. Kuna taasisi ina nidai, sasa imekosa uvumilivu na kuamua kunibuluza mahakani!
Kwasasa hiyo pesa ya kuwalipa haipo, je...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.