Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Habari waungwana, nahitaji msaada kwa mtu yeyote aliye na mawasiliano na ofisi za N.I.T tafadhali kama ataweza anitumie moja kwa moja 0657496629.
Natanguliza shukrani
Ndugu wanajamii,
Mimi ni mtumishi wa umma katika taasisi fulani. Naombeni kufahamishwa Kama kuna waraka wowote wa serikali uliobadilisha viwango vya posho ya kujikimu. Mfano kumekuwa na tetesi...
Naomba kufahamu hili jambo kisheria,, inakuwaje pale mwananchi anapokosa haki yake ya kimsingi kwa mujibu wa katiba kutokana na uzembe wa mamlaka za kiserikali?
Je malalamiko ya kisheria...
Habari,naomba mnisaidie kuna kibarua wa miaka 6 nauliza hivi kuna sehemu nafanya kazi kwa Wahindi kuna watu wapo wanafanya kazi zaidi ya miaka5 lakini ni vibarua je hii ni haki,na kama si haki...
habarini wana jamiiforums, poleni na majukumu ,ombi langu ni kutaka kupata ushauri kwa hili ninamdogo wangu wa kiume ni mtumishi serikalin ,kwa bahati mbaya alikuwa anauhusiano wa kimapenzi na...
habari wanajf.
nlikopa shs 1.2milioni toka faidika july mwaka jana, nikapiga simu kwa wahusika mwezi october wakanisms kuwa nitawalipa shs 3.3milioni kwa miezi 36. zilipotoka salary slip za dec...
Heshima wakuu
Naombeni wataalam/ wajuzi kwenye tasnia ya kisheria mnielekeze mambo yafuatayo;
1. Mtu akipatikana mahakamani na kosa la "Dangerous Driving", hukumu/ faini yake itakuwa nini?
2...
Nimeliita ni janga kwani ukiandika barua ya kuomba uhamisho wa kituo chako cha kazi unaambiwa tafuta mtu wa kubadilishana naye.
Sasa mimi nimpate wapi? na ikiwa nikamtafuta na nikamkosa,that...
Habari zilizotufikia hivi punde zinadai kuwa Mahakama kuu ya Tanzania imemwachia kwa dhamana msanii wa filamu nchini Tanzania, Elizabeth Michael aka Lulu aliyekuwa mahabusu katika gereza la...
Kuna kijana tulimwajiri Saluni kwa miaka kama 2 hivi.
Tulimuamini kupita kiasi ,kuna kipindi alihitaji generator akasema lipo lina uzwa used linafaa ,tukampa laki 4 akanunua .Alitumia GENERATOR...
Wapenzi wanajamvi na wasomi wa sheria ninaomba nakala au sample ya documeht ya power of attorney( genearal and special power of attorney)
ni muhimu sana
Nyamwero Co.Ltd are considering inserting an ''honour clause'' in their agreement with their major supplier, Benedicto Co Ltd. Advise them as to the advantages and disadvantages of such a course...
Wataalamu wa sharia naomba mnisaidie hili
Mtumishi wa uma anasemeheka kodi kwa sharia hii kama ataamua kununua chombo cha moto kama gari,trekta,pikipiki,na vinginevyo kutoka nje?
Baada Ya Kuwa Na Vitisho Kutoka Kwa Mwajiri Na Wajumbe Wa Chama Kilichokuwepo Cha Tpawu, Sasa Tuico Wamepewa Kibali Cha Kuwepo Kwny Ajira Ilyoanza Juzi.
Jamani Tunaomba Msaada Wa Kisheria Maana...
habari wadau
ninahitaji msaada wa kisheria,nyumba ninayokaa huwa nalipa kodi 280,000 per month,sasa mwezi huu nimelipa kodi ya miezi saba nikamwomba mwenye nyumba anivumilie hadi mwisho wa mwezi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.