Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

On JF:

Abbas Kandoro amewasilisha maoni ya wakuu wa mikoa ya katiba. akasema eti watu wenye mzazi mmoja ambaye si raia hawana haki ya uraia Tanzania. Eti allegiance yao itakuwa elsewhere!!! yeye mwenye...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari wadau Ili swali kwa walio USA tu. Nina rafiki yangu jina kapuni kaniagiza nimuulizie swali humu Kaoa mnyamwezi na wana miaka karibia 3 na anayo green card ya miaka kumi Tatizo bibie...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari wakuu, Naomba kujua kama wazazi wamehamia Tanzania kutoka nchi nyingine na Baba akapata uraia wa kuandikishwa na mama hajapata je mtoto atakayezaliwa Tanzania mzazi mmoja akiwa na uraia...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wadau wa JF na wanasheria, ningependa kufahamishwa hili; Sheria ya fedha inasemaje juu ya kiwango cha fedha tasilimu ambacho mtu anaweza kutembea nacho? Mfano: Fedha za Dodoma (alizokamatwa nazo...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Nimekuwa nikifuatilia chaguzi mbalimbali zilizofanyika hapa Tanzania kwa muda mrefu, kwa kweli nimekuwa nikitatizika na suala moja ambalo nimeona ni bora niombe msaada kwa wadau mbalimbali...
0 Reactions
1 Replies
5K Views
Wajuzi wa sheria naomba kusaidiwa hili! Hivi sheria inasemaje kuhusu uhamisho wa mfanyakazi kutoka Kituo kimoja hadi kingine hasa kama anafuata familia yake! Je kuna sehemu yeyote inayo mlazimisha...
0 Reactions
4 Replies
7K Views
wana jukwaa ninaomba mwenye soft copy ya Law of Contracts act (2002) na The bills of Exchange Act (2002) ninaombeni plz
0 Reactions
3 Replies
7K Views
Ile pesa unayomwekea ndugu ama rafiki kama dhamana polisi huwa inarudishwa au ndio imeenda?
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Kuna dada yangu mmoja alinunua kiwanja miaka ya 96 hivi na aliuziwa na mzee mwenye hilo shamba pamoja na mtoto wake wa kiume ambapo kwa sasa wote ni marehemu. Leo hii ndugu wanaanza kujitokeza na...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Poleni kwa majukumu ya kila siku. nafanya kazi katika shirika moja binafsi kwa mkataba wa miaka miwili na ktk mkataba huo ili uresign unatakiwa utoe notice ya miezi 3 au uache/ ulipe mshahara wa...
0 Reactions
1 Replies
896 Views
Waheshimiwa wanasheria, Kuna jambo ambalo linanitatiza kwa muda mrefu naomba msaada wenu Kuhusu Pride Price? Je, Kwenye sheria zetu imo, na zinasemaje? SHUKRANI
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mimi ni kijana wa familia, nina dada wawili baba yetu alipofariki aliacha urithi wa nyumba mbili na shamba la viwanja vidogo kama sita ukigawa) nje kidogo ya Dar es Salaam nafanyia kazi mikoani...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Poleni kwa majukumu ya kila siku. Nilikuwa nafanya kazi katika shirika moja binafsi kwa mkataba wa miaka miwili na ktk mkataba huo ili uresign unatakiwa utoe notice ya miezi 3 au uache/ ulipe...
0 Reactions
2 Replies
978 Views
Wadau naomba tusaidiane katika ili,nina shangazi yangu mdogo tu 24 ameachishwa kazi bila kufanyiwa haya na mwajiri wake kama taratibu na sheria za kazi . Shangazi ni mwalimu katika shule ya...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
NABII Josephat Mwingira na mwanamke anayedaiwa kuzaa naye, Dk. Phils Morris Nyimbi wameburuzwa katika Mahakama Kuu, Kitengo cha Ardhi mjini Moshi wakidaiwa kuchukua shamba la ubia kati ya Mzungu...
0 Reactions
25 Replies
9K Views
Kweli tunababaishwa dah
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Waziri wa zamani wa Nishati na Madini , Daniel Yona na Waziri wa zamani wa Fedha, Basil Mramba. KWA UFUPI Mawakili wao nao wanaandaa mchakato wa ‘kuwachomoa’ gerezani kwa dhamana Dar...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Tunaomba wanasheria wa CCM watufafanulie hapa. Kwa Mujibu wa Katiba ya CCM, Toleo la Mwaka 2012 Ibara ya (105), Inazungumzia Kazi za Mkutano Mkuu. Ibara Ndogo ya (03), ya Ibara ya (105), ya...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wakuu habari za leo? Naomba kwa mwenye kijua viwango vipya vya PAYE kwa Zanzibar kwa mwaka wa fedha 21015/2016. Ninavyo viwango vya zamani ila vya mwaka wa fedha 2015/2016 atundike humu...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Ndg, Kwa mtu mwingine yeyote anayeweza kunisaidia, Katika sheria za Tanzania, hususani mifugo, kuna kipengele kinacho husiana na ukadiliaji (ukubwa na thamani) ya marisho? Ikibidi...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Back
Top Bottom